waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

    Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine. Anaona haitoshi kupewa silaha na...
  2. Tuwapuuze wakosoaji vipepeo wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Waziri Mkuu ni nafasi nyeti sana katika muundo wa kiutendaji, je katika muundo na mamlaka na uhuru wa kimamuuzi hasa autonomy kwa muktadha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikoje? katika nafasi hii. Ina nikera sana kuona kwamba Waziri Mkuu nchi hii ni nafasi inadharauliwa sana na haina heshima...
  3. Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
  4. Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

    Wenye Macho tunaona!, "Rosti-Tamu"imeingia jikoni....asiyekubali kula. "Rosti-Tamu" Atafungwa na "Kamba" za "Makamba" Naona "Mjomba" Cheff maarufu wa "I-Go-Unga"sasa ameamua kufunga mahesabu ya Mwaka,ni wazi sasa "Katelephone" anaandaliwa zengwe ili adondoke! "Ma-ajali -waa!" yamesakamwa toka...
  5. Nasimama na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Kumekuwa na nyuzi nyingi sana ambazo zinaanzishwa kwa hoja ya kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu hivi Hawa watu wapo nyuma ya Nani? Hivi hawaoni jinsi anavyojitajidi kupambana na mchwa inayoligharimu Taifa. Kama sio Majaliwa unadhani huko kwenye halmashauri Hali ingekuwaje japo wanamzidi akili...
  6. Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

    Wanajamvi wenzangu Nakusalimu sana na poleni nyote humo mlipo najua mko mkilitumikia Taifa letu. Mim Kibori Nangai Nitamtetea ,nitasimama na Majaliwa Kasimu Mh Waziri Mkuu wa Taifa letu. Sihitaji kupangiwa , Hawa wanaharakiti Uchwara hatuwataki hata kidogo Kuna huyu anayejiita Tito Magoti...
  7. Unadhani ni nani anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake?

    Hili ni swali tu ndugu zangu, wala halina Uhusiano na jambo lolote lile. Cheo ni dhamana ya Muda mfupi sana ni kama mbio za kupokezana vijiti tu, leo huyu, kesho yule . Kiongozi aweza kuachia madaraka kwa kuondolewa na Mamlaka ya Uteuzi, aweza pia kuachia madaraka kwa hiyari yake, ama aweza...
  8. M

    Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
  9. Maafa ni ajali za aina gani ktk nchi hii?

    Waziri Mkuu Majaliwa, Asante kwa kufika mjini Bukoba haraka baada ya ajali ya ndege. Hata hivyo kuna ajali nyingi zilizopoteza maisha ya wengi kuliko hata hii ya Precision, lakini hazikupata nafasi ya kiserikali kama hii. Hazikupewa hadhi ya maafa ya kitaifa kwa uharaka. na hasa kutembelewa na...
  10. K

    Rais, Waziri Mkuu, Mkuu wa Navy, Waziri wa maafa, waziri wa mawasiliano uchukuzi na wengineo Tunaomba mjiuzuru

    Ndugu viongozi, kwa matatizo tuliyoyaona Bukoba kutokana na ajali ya precison, imeonyesha bila shaka viongozi wet na wasimamizi wa serikali wamekuwa hawajali kuwekeza katika kupamabna na majanga wakati pesa nyingi zinatumika kwenye safari na posho na wizi mkubwa. Marubani walikuwa hai kwa masaa...
  11. Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  12. Pakistan: Waziri Mkuu Mstaafu Imran Khan anusurika kuuawa wakati akihutubia

    Katika hali ya kushangaza, inaripotiwa kwamba waziri huyo mkuu wa zamani ambaye kwa sasa anaipa serikali iliyoko madarakani upinzani mkubwa ameshambuliwa kwa risasi akiwa kwenye maandamano karibu na mji wa Punjap. Itakumbukwa kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani aliinyooshea kidole Marekani...
  13. Hivi suala la kugawa vishkwambi linahitaji sherehe kweli?

    Moja kwa Moja kwenye mada. Sipingi kutolewa Vishikwambi ila naona sio sawa kuweka sherehe jambo la kutoa maelekezo na maagizo tu. Kila kitu viongozi wanataka kongamano hafla nk,vya nini hivyo? Kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Uzinduzi wa ugawaji...
  14. B

    Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

    Habari wakuu, Kwa hali inavyoendelea hvi sasa, naona Kuna cheche za chini chini kwamba mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kujiuzulu uwaziri mkuu au kupigwa chini baada ya mh Rais kusema atabadili Baraza la Mawaziri. Binafsi napendekeza watu wafuatao wanaweza kushika vzuri nafasi yake na...
  15. Kwa Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassimu Majaliwa

    Waziri mkuu kwa niaba ya wanakijiji wa Mtera staff mpwapwa DODOMA nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kukupa afya njema na kuendelea na majukumu yako ya kitaifa. Mheshimiwa Waziri Mkuu kwa unyenyekevu mkubwa naomba nifikishe malalamiko yetu kwako juu ya mradi wa maji ambao umehujumiwa kwa muda...
  16. Rishi Sunak: Waziri Mkuu tajiri kuliko Mfalme Charles III

    Waziri Mkuu mpya wa 79 wa Uingereza, Rishi Sunak ametajwa kuwa na utajiri kuliko wa Mfalme Charles III. Sunak na mkewe, Akshata Murty wanaelezwa kuwa na utajiri wa Pauni 730 milioni, ambao ni mara mbili ya utajiri wa Mfalme Charles III wa Pauni 370 milioni. Utajiri wa Sunak umeelezwa umetokana...
  17. Hongera Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza

    Hongera Mhe. Rishi Sunak, Waziri Mkuu mteule wa Uingereza na karibu tena Afrika Mashariki. 🇹🇿 #africa #tanztrust #tanzania #eastafrica
  18. Waziri Mkuu wa UK adumisha tamaduni kabla ya kuingia ofisini

    Katika kudumisha tamaduni na asili yake, bila kujali umaarufu wa jina la taifa analoongoza au umaarufu wake mwenyewe binafsi, Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Rishi Sunak alifanya tukio hili la kitamaduni kabla ya kuingia katika ofisi yake mpya. The new UK PM performing his spiritual/traditional...
  19. Waziri Mkuu wa Uingereza ndiye mwenye nguvu zaidi kuzidi Mfalme/Malkia

    Mwenye nguvu zaidi ni Waziri mkuu, ndie kiongozi wa shughuli za Serikali, Executive power ipo kwa Waziri Mkuu, pia akiwa kama kiongozi wa chama chenye majority Bungeni hii ni nguvu ya ziada kuwa na legislative power Mfalme yupo zaidi kama figure head lakini real power ipo kwa Waziri Mkuu.
  20. Rasmi: Rishi Sunak Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza

    Rishi Sunak, (42) ameshinda Kura za Uongozi wa Chama cha Conservative na atakuwa Mhindu wa kwanza na Mtu wa kwanza ‘wa rangi’ kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak anakuwa Kiongozi mwenye Umri Mdogo zaidi kushika Wadhifa huo kwa zaidi ya Miaka 200 na Waziri Mkuu wa 3 wa Nchi hiyo Ndani ya Miezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…