Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,116
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
 
Tuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
Sasa umeshakiri Mwenyewe hapa kuwa kumbe ameshiriki / alishiriki tu Kuokoa ( ukimaanisha hakuwa peke yake ) huo Ushujaa wa ghafla mliompa hadi Kumchangia Pesa na Magodoro ya GSM mmeutoa wapi?

Halafu GENTAMYCINE nikiwaambia kuwa hamna Akili na Nikiwadharau mnakataa na Kukasirika.
 
Mimi ninachokisema mtu akifunguliwa njia za mafanikio hakuna atakayeweza kuzifunga ndicho kilichotokea, na hapo juu sijakiri bali nimeleta assumptions tu kulingana na vile mnapenda kusikia.

My take: majaliwa ameshapata ajira na zawadi kutoka kwa wadau tumuache ale mavuno ya ujasiri wake.
 
Tutajie hao Wahudumu waliokufa Mkuu.
Ww unae sema ali sema yeye ndie alie fungua mlango. Mtaje jina na weka picha. Ali hojiwa na media gani? Weka video. Coz majina ya Marehemu na majeruhi wa ajali yote yapo hapa ktk uzi mmoja hapa JF na huyo mhudumu hajawahi jitokeza.
 
"Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera.

"Huyu Kijana tena Wajina wangu Majaliwa Jackson ni Shujaa kweli na lazima tumpe Asante kwani Yeye ndiyo alienda ilipo Ndege na kwa Kutumia Makasia aliyokuwa nayo akafungua Mlango wa Ndege na peke yake Kuokoa Abiria wote" Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.

Kazi ipo hakyanani.
Product za SAUT mnashida sana
 
Tuache wivu wakuu, huyo dogo bahati yake tusiilalie mlango wazi kwa hali yeyote hata kama hajafungua yeye basi ameshiriki kuokoa watu hilo linatosha kuutambua msaada wake.
Dogo wamemkalia kidedea kweli hawafikirii tofauti na hilo! ukifanya jambo lolote la kimaendeleo wapo watu watataka kukuloga ili ufel kwa namna yoyote, lakin haitowezekana
 
Back
Top Bottom