waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Stahiki za Waziri Mkuu mstaafu

    Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo, **Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi. Mengineyo 1. Mshahara (80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu aliyepo madarakani), 2. Ulinzi (mpaka kifo), 3. Gari na dereva...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa, hata wakisoma VETA Baada ya kuhitimu wanahitaji aidha mtaji au waajiriwe

    Salamu ndugu Watanzania! Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa Watanzania wengi wamesikia Kauli yako ukiwataka Wasomi wenye degree waende sasa VETA wakasome tena. Ndugu Waziri Mkuu, huenda hujui maumivu ya vijana hawa, na zaidi hujui huzuni walizonazo Wazazi waliowasomesha kwa jasho na damu kwa Miaka ya...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu: hii slogan itawaondoa watu waliotumiwa kudhalilisha utu kazini

    Slogani hii inaenda kuleta ubinadamu, utu, upendo, heshima katika kazi. Ushalilishaji, uonevu, ukandamizaji katika kazi sasa umefikia mwisho. Iwe katika kilimo, bei nzuri ya mazao, viwandani na ma ofisini, udhalilishaji ukome, mambo ya kusimama jukwaani kudhalilisha watumishi au...
  4. JamiiForums Tanzania Nimestushwa na Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Je ni kufilisika ki Maono kwa CCM?

    Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhusu vijana wenye degree kwenda Veta ikiwa ni sehemu ya kukabiliana na changamoto ya Ajira ni kauli ya kukosa maono na ni red sign kuwa CCM ni MUFILISI...... Ni kitu cha ajabu sana kumsikia kiongozi wa Serikali kuwaambia vijana mjiajiri wakati yeye carear...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

    MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3, Nzega Mjini

    Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327. Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu yupo sawa kuwashauri wahitimu wa degree kwenda Veta, Kiburi cha wahitimu kimesababisha wawe watu wasio na mbele wala nyuma mitaani

    Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !! huko vyuoni wamedanganyana vitu vingi sana, Uhalisia wa Tanzania ni X wao wanapeana matumani tofauti kabisa Z. Kijana...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nachingwea Girls wamshukuru Waziri Mkuu kwa fedha ya futari

    Uongozi wa Shule na Wanafunzi wa Sekondari ya Wasichana ya Nachingwea iliyopo Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, wamemshukuru Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa kwa kuwapa kiasi cha Shilingi Milioni 4 kwa ajili ya futari Soma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa Milioni 4 kwa wanafunzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu akizindua mradi wa maji Igunga asema mazoea ya maji kukauka baada uzinduzi yakome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga mkoani Tabora ambao umegharimu shilingi milioni 840.8 Akizungumza baada ya kuzindua mradi huo, ambao...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inatambua usawa wa kijinsia

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi. Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
  11. JamiiForums Tanzania waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

    akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
  12. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi bwawa la Kidunda Morogoro

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunda litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi maji lita bilioni 190 ambalo linatarajiwa kugharimu shilingi bilioni 335.8 hadi kukamilika kwake. Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kidunda, Wilayani...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa Mpe Mama Nafasi ya kupumua, ajiteulie Mwingine kuwa Waziri Mkuu baada ya uchaguzi mkuu

    Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho. Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza yaan running mate, ni salamu tosha alarming sign ya kuwa zama za "Mjomba" zinaenda ukingoni...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Paul Christian Makonda ni chaguo lao kwenye nafasi ya Waziri Mkuu

    Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....) Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho. Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Bangladesh waliomuondoa Waziri Mkuu madarakani wanatarajia kuzindua chama chao wiki hii

    Wanafunzi wa Bangladesh ambao waliongoza maandamano yaliyomwondoa Waziri Mkuu wa zamani Sheikh Hasina mwaka jana wanatarajia kuzindua chama kipya cha siasa wiki hii. Kundi hilo, linalojulikana kama Wanafunzi Dhidi ya Ubaguzi (Students Against Discrimination - SAD), lilianza kama harakati ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kero: Leo huku Moshi tumesimamishwa kwa dakika 45 ili msafara wa Naibu Waziri Mkuu upite

    Leo wakazi wa moshi na viunga vyake, tumesimamishwa zaidi ya dakika 45 ili tu kupisha msafara wa Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko. Naambiwa Biteko alitoka kwenye Kili Marathon, sasa alipokuwa anatoka huko kuelekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) ndio wanyonge tukawekwa pembeni...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa azindua kampeni ya Mama Samia Legal Aid mkoani Lindi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Februari 19, 2025 atazindua kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Mkoani humo. Lengo la Kampeni hiyo ni kuwafikia wananchi wenye uhitaji na wasio na uwezo wa kumudu gharama za huduma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…