Katika kusikiliza hotuba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ujumbe wake umebeba uzito mkubwa unaweza kugusa hali halisi ya sasa na maono ya nchi yetu kwa miaka ijayo. Kauli hiyo, yenye kina cha uongozi na uchambuzi wa mwenendo wa taifa, inapaswa kutazamwa kama mwanga...
Wakuu,
Akiongea leo kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema:
"Wanaokuja kujieleza na kuwashawishi mjiridhishe kuwa lugha zao haziwapelekei na nyie kuingia kwenye machafuko yakapoteza usalama na amani ya...
Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi.
BREAKING:
Netanyahu is running away from Israel for now.
According to a special...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi.
"Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana.
Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua
1. kwa nini kuna nchi zipo vitani
2. kwa nini vita hutokea
3. Na ni namna gani vita uanza
Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka.
Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
WAZIRI MKUU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA TBS MAKAO MAKUU DODOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la TBS (VIWANGO House) kesho Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo.
Amekutana na...
Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.
Kumbukumbu yao iwe baraka.
Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
Wataalam wa Katiba mnisaidie hili!
Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika?
Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika!
Isitoshe, nchi ya Zanzibar...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo...
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni.
Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan.
Waziri Mkuu...
Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?.
Daahhh hii mbona ni hatari sana !!
Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS.
Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo.
"Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu...
Nimeshasema mara kadhaa humu huyu mzee wa watu amefanya maajabu makubwa sana Ruangwa tofauti na waheshimiwa wengine kwenye maeneo yao. Mwenye macho haambiwi tazama
WanaRuangwa nawakumbusha tu kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mtu sahihi ambaye anatakiwa kutuwakilisha tena bungeni kwa...
Nieleweke, simchukii Rais wangu, nampenda sana.
Ila Rais huyu kiujumla, anawaogopa wasanii.
Wasanii wengi hawana hata maadili—watamsaidia nini? Mbele ya Rais wa nchi, mhuni mmoja anasema Harmonize amerudiana na Kajala, Rais anacheka. Nchi tunaipeleka wapi?
Kimsingi, baada ya Samia kuwa Rais...
Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:
"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.