waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulikuwa Waziri wa Fedha leo ni Waziri Mkuu inakuwaje kusema kuna kijana kalipwa Bilion 5 kwenye simu kwa maandamano!

    Hii nchi kunashida ya genetic za waafrika halafu anajiita dokta sijui wa nini?. Yani katika vitu tanzania vitakuja kusababisha matatizo ni hawa CCM wanaotawala kwa kujipa vyeo na elimu ambazo zinatupa mashaka. Leo hii unasema vijana walilipwa ina maana Tanzania nzima hizo pesa zilizotolewa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anasema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouawa, tuhesabu vitu vilivyoharibiwa

    Imenisikitisha sana kuisikia clip ile inayomuenesha akisema hakuna haja ya kuhesabu watu waliouwawa 29 October, kwani kufanya hivyo ni kuwahesabu watu kama vile tunahesabu vitu. Nasema inasikitisha saaana kusikia haya kutoka kwa mtu ambaye alipaswa kuwalinda na kuwaheshimu watanzania.
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kukiri hadharani kwamba "Wanaharakati wanalipwa" ni kukiri "Serikali Imefeli" vita. Siku hizi maadui hawatumii bunduki tena

    Yes. Hilo ni bonge la boko ametoa PM. Boko la 2 ni kukataa kubeba accountability ya kilichotokea na kinachoenda kutokea D9. Kosa la 3 ni kuendelea kutumia mbinu ya cheap propaganda kuzuia tatizo lilelile lililotokea MO29. Sisi wananchi inatuhusu nini kushawishiwa (hata kama ingekuwa kweli...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri mkuu mwenye Saini kubwa ya pesa unasema watu wamelipwa naomba majibu na mumutagi hapa

    1.Magoli ya mama 2.Wasanii mpaka kuona wananchi na mashabiki zao kuwa ulikuwa waziri was wapi. 3.Mapikipiki,baiskeri,pesa za machawa na Kila waliotaka kupoza tumbo Kwa biriyani na bia ya kichwa pesa ilitoka wapi na wewe ulikuwa waziri wa Saini. 4.Media zimepata pesa mpaka kuitwa wafuwasi wenu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu Nchemba afahamishwe kwamba kukiuka sheria za barabara ni dalili ya maovu makubwa tunayofahamu ndani ya serikali

    Mwigulu Nchemba sasa anazunguka kama waziri mkuu, ingawa hali ilivyo, yuko ktk serikali ilisiyotambuliwa. Ameanza kuonesha kwamba anajali hali za wanyonge, kwamba yeye ni mtu makini, kwamba anasimamia haki. Alichokisema juu ya tabia ya viongozi wakiwa barabarani, tulishajadili hapa JF. Kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Nestory Clever: Waziri mkuu anasema Tanzania ina rasilimali za kutosha. Mbona Watanzania hatufanani na rasilimali hizo?

    Bado watawala hawajui vijana wanataka nini?....bado watawala wanaamini kwamba Maandamano ya Oktoba yalitokana na vijana kufuata mkumbo?....Bado watawala hawajui ni haki gani vijana wanadai?...Endeleeni kukaza mafuvu. Ziara ya Mh. Nanauka inaendelea katika mikoa mbalimbali nchini, ikiwa na lengo...
  9. JamiiForums Tanzania Duru zinaonesha Kuna uwezekano mikubwa Mwigilu nchemba akawa waziri Mkuu atakaestafishwa mapema kabla ya muda wake kuisha

    Duru zinaonesha Kuna uwezekano mikubwa Mwigilu nchemba akawa waziri Mkuu atakaestafishwa mapema kabla ya muda wake kuisha . Ni aina ya kiongozi ambaye ameshindwa kutumia Ile mbinu ya collective responsibility badala anamgeuka aliemtuma kupoza dhoruba...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na Waziri Mkuu roporopo kama huyu!

    Julius Nyerere Rashid Kawawa Edward Sokoinne (mara mbili) Cleopa Msuya (mara mbili) Salim Ahmed Salim Joseph Warioba John Malechela Frederick Sumaye Edward Lowassa Mizengo Pinda Kassim Majaliwa Halafu kuna: Mwigulu Nchemba Hatujawahi kuwa na waziri mkuu anayeropoka hovyo hovyo kama huyu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, Waziri Mkuu hatuna hapa! Ni kichekesho na kasheshe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwanza anaongea kama kakatwa kichwa Pili hajitambui Tatu hajielewi Nne anajaribu kwenda na beet za anko Magu lakin hiyo karama hana Tano ni mshamba na limbuken Waziri mkuu hatuna Full stop LONDON BOY
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo

    Tahakiki ya Tamko la Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kwa Wahariri, 25 Novemba 2025: Mazingira, Maudhui, Mapengo, Tathmini na Mapendekezo 1. UTANGULIZI KUHUSU TAMKO Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, ameongea na wahariri wa vyombo vya habari vya Tanzania mchana wa leo, tarehe 25...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza tuna Waziri Mkuu chawa na serikali

    Kwa mara ya kwanza tuna waziri mkuu Chawa na serikali fake! Mwigulu ndiye waziri mkuu ambaye kazi yake kubwa sio uendeshaji bali ni uchawa uongo uongo na kujipendekeza. Majaliwa alijitahidi sana kuwa kiongozi ambaye anajiepusha na utekaji, uongo, lakini alishidwa naye lakini hakuwa chawa!
  14. JamiiForums Tanzania Sijajua vigezo vilivyotumika kumteua Mwigulu kuwa Waziri Mkuu, hafai

    GT, Hii ni maajabu huyu jamaa hana haiba ya Uwaziri Mkuu hata kidogo, anaonekana muhuni tu tofauti na wenzake waliopita. Wangetafuta figure nyingine lakini siyo huu jamaa maana hayuko mioyoni mwa watanzania. Mwigulu ana msururu wa kashfa, hiyo nafasi haimfai hata kidogo. Japo Kadogosa ni...
  15. JamiiForums Tanzania Huwezi kumaliza tatizo kama hutaki kuwa mkweli, Mwigulu unatuonaje?

    Unaposema nchi zinatuonea wivu ndio maana zinachochea fujo unakua unatuona hatuna akili au? Malalamiko ya watanzania yanajulikana Hawataki utekaji, hawataki ufisadi na kufuja hovyo mali za umma, hawataki chaguzi za kiini macho wanataka tume huru, wanataka katiba mpya! Wameongea haya mambo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Kwanini tuwape faida wenye mapenzi mabaya na nchi yetu, tukae tuongee yanayohitaji kufanyiwa kazi

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema tayari Rais Samia na wasaidizi wake wako tayari kusikiliza na milango ipo wazi ya mazungumzo hivyo hakuna haja ya kuwapa faida wenye mapenzi mabaya na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali kupitia Waziri Mkuu tumesikia idadi ya mali zilizoharibiwa kwenye maandamano, basi tunaomba na idadi ya vifo

    Vitu vilivyochomwa vilivyoainishwa na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni pamoja na 1. Ofisi za Serikali 756 2. Vituo vya mwendokasi 26 3. Vituo vya Polisi 159 4. Vituo vya mafuta 672 5. Magari Binafsi 1642 6. Pikipiki binafsi 2268 7. Magari ya Serikali 976 Lakini jambo la kushangaza, serikali mpaka...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu ahoji maandamano ya Oktoba. Maandamano gani watu walikuwa well armed?

    Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili. Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu? === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu: Tunatambua kuna watumishi wa umma wazembe na wala rushwa tutashughulika nao

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari leo Novemba 25, 205 amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa Wafanyakazi wa umma wanaofanya kazi kwa weledi inayochangia maendeleo ya miradi ya nchi lakini pia wanatambua uwepo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…