waziri mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde na Waziri Mchengerwa Kukutana Kushughulikia Tozo za Halmashauri Kwenye Madini

    WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI -Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro -Waziri Mavunde awapongeza Morogoro kuvuka lengo la makusanyo ya maduhuli -Serikali kuongeza nguvu ya Utafiti...
  2. Suley2019

    PreGE2025 Waziri Mchengerwa, leo hii bodaboda wamekuwa “Maafisa Usafirishaji”?

    Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mchengerwa: Hatutasita Kuchukua Hatua kwa Kiongozi Anayewanyanyasa Wananchi

    WAZIRI MCHENGERWA: HATUTASITA KUCHUKUA HATUA KWA KIONGOZI ANAYEWANYANYASA WANANCHI Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI haitasita kuchukua hatua kwa kiongozi yeyote anayewanyanyasa wananchi kupitia ukusanyaji wa ushuru wa mazao kwani...
  4. B

    Waziri Mchengerwa kufanya Mkutano na Vyombo vya Habari asubuhi ya leo 30/5/2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mtu Kazi) asubuhi hii ya leo Alhamisi Mei 30, 2024 atakuwa na Mkutano na Vyombo vya Habari katika Ukumbi wa Video Conference katika Jengo la Sokoine- TAMISEMI Dodoma. Mkutano utaanza saa 5...
  5. Suley2019

    Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  6. Ngaliwe

    Waziri Mchengerwa aagiza Wakuu wa Mikoa kusimamia usambazaji wa sukari

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Akitoa agizo hilo leo Februari 21, 2024 Ofisi ndogo...
  7. GENTAMYCINE

    Waziri Mchengerwa acha Kutudanganya Watanzania kuwa TAMISEMI imeoza sasa, kwani wenye Akili tunajua ilishaoza tokea 2005

    Halafu GENTAMYCINE nikusaidie tu kwa Kukuambia kuwa Dagaa na Samaki wa Kawaida hawawezi kuwa Wakorofi na Wajanja Wajanja ndani ya Bahari halafu Mkubwa wao Nyangumi ama asijue au asiwe anashirikiana na baadhi yao. Acha kutafuta Sifa kwa Wananchi kuwa leo hii una Huruma mno na Fedha za Watanzania...
  8. C

    Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia. Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
  9. BigTall

    DOKEZO Responded Waziri Mchengerwa njoo Halmashari ya Ngara Watumishi Wapya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu. Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira, hatujalipwa fedha za kujikimu na tunazungushwa sana, fedha zikiingia Halmashauri wanazipangia vipaumbele vyao...
  10. JanguKamaJangu

    Waziri Mchengerwa aagiza wanaodaiwa kuhusika na tukio la moto Mnadani Kariakoo wafikishwe Mahakamani

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kuwachukulia hatua za kisheria wale wote wanaodaiwa kuhusika na uchomaji wa moto kwenye baadhi ya majengo yaliyopo Kariakoo. Agizo hilo...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mchengerwa aagiza Fedha za Kujikimu za Ajira Mpya zilipwe kabla 30 Oktoba, 2023

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed O. Mchengerwa (Mb) amewaelekeza Wakurugenzi wote wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanalipa fedha za kujikimu kwa Watumishi wa ajira mpya za Ualimu na Afya walioripoti kwenye vituo vya kazi kuanzia mwezi...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Waziri Mchengerwa kazia hapo hapo, TAMISEMi ni shamba la bibi

    Waziri wa TAMISEMI endelea kuwatimua watumishi wa ovyo, hiyo Tamisemi ni shamba la bibi, imekuwa ni kawaida kwamba bila kutoa chochote hupati chochote, uhamisho kwa mtumishi ilikuwa ni suala na haki ya mtumishi lakini leo bila kutoa chochote mtumishi kuhama kutoka kituo kimoja kwenda kituo...
  13. R

    Nani anamtuma Mchengerwa kazi ya kusimamisha watumishi kazi? Mbona huko wizara nyingine hakuwa anasimamisha watu kazi? Hizi tume zake anazilipaje?

    Waziri kusimamisha watumishi kazi siyo ishara ya ufanisi bali ni ishara ya kushindwa kuwa mbunifu. Mchengerwa anatoka wizarani kwenda kuwasimamisha kazi watumishi wakati huo wapo watumishi wanalipwa salary kwa ajili ya kusimamia miradi na matumizi ya fedha. Wakuu wa Wilaya mbona wapo ofisini...
  14. Watchaman255

    Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri Mchengerwa kwa taifa lake

    G.O.A.T Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake! Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa, "Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
  15. Roving Journalist

    Waziri Mchengerwa amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Busega, kupisha Uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mohamed O. Mchengerwa (Mb), amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega moani Simiyu, ndugu Veronica Vicent Sayore, kuanzia leo tarehe 22 Septemba, 2023 ili kupisha chunguzi. Mheshimiwa Mchengerwa...
  16. R

    DOKEZO Waziri Mchengerwa, nenda Nasibugani Sekondari Mkuranga, shule haina umeme, maji, madawati, walimu, vitanda wala barabara nzuri

    Shule hii kidato Cha I-VI, shule imepelekewa wanafunzi 400+ wa kidato cha tano huku hakuna miundombinu inayotosheleza kupokea idadi hiyo ya wanafunzi. Shule ni kama imetelekezwa hakuna anayejali, watoto wetu wanalala chini, umeme hakuna shule ipo gizani wakati ipo porini, shule haina walimu wa...
  17. ChoiceVariable

    Waziri Mchengerwa aanza kuwawashia moto TAMISEMI. Asema ana taarifa watu wame-relax maofisini

    Moto umeanza kuwaka huko Tamisemi baada ya Waziri Mohammed Mchengerwa kuwasha moto Kwa kusema watu Wame relax hawafanyi kazi,awanyooshea kidole Ma DC. --- Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwafuata Wananchi na kusikiliza pamoja na...
  18. ChoiceVariable

    Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

    Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza. - "Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele...
  19. S

    Kwanini bajeti ya Waziri Mchengerwa haina kelele za rushwa kama wizara ya Makamba?

    Bajeti ya Waziri Mohamed Mchengerwa imewasilishwa bungeni leo hadi sasa hakuna kelele zozote za rushwa kwa wabunge kama ilivyokuwa kwa wizara ya nishati. Heko wizara ya maliasili kwa kuendesha mambo yenu kwa uwazi na kuacha wabunge waichambue bajeti yenu kwa manufaa ya watanzania sio wenzenu wa...
  20. Blasio Kachuchu

    Waziri Mchengerwa aipongeza CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha usalama kwa watalii Arusha

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa (wa pili kushoto) akiwa katika pikipiki zilizokabidhiwa na Benki ya CRDB kwa Kituo cha Polisi cha Utalii na Diplomasia jijini Arusha kwa ajili ya kusaidia katika doria na kuimarisha ulinzi na usalama kwa watalii. Wengine pichani ni Mkurugenzi...
Back
Top Bottom