Pre GE2025 LGE2024 Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
595
1,385
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima.

Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili asubuhi na utamalizika saa 10 jioni.

Soma Pia: Waziri Mchengerwa akitoa Tangazo la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024


 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima.​

Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili asubuhi na utamalizika saa 10 jioni.
Kwa Sheria zipi? Mgombea Binafsi yupo? Nani anasimamia uchaguzi? Nani analinda kura?
 
Back
Top Bottom