waziri mchengerwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, inayodai kuwa vyama vyote vya siasa, ikiwemo CHADEMA, vilishirikishwa na kukubaliana na taratibu...
  2. Mindyou

    LGE2024 Waziri Mchengerwa Kwa Wagombea: Acheni kufanya Propaganda zisizo na ukweli, zitakazoleta taharuki

    Wakuu, Waziri Mohamed Mchengerwa hivi karibuni amedokeza kuwa malalamiko yanayoendelea hivi sasa kwenye Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa kwa wingi wake ni propaganda zisizo na msingi. Soma pia: Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura Wakati...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa: Wanaodai kukatwa ni propaganda, Wagombea hawakati Rufaa kama Kanuni zinavyotaka

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi. Aidha,amesema kanuni zina ruhusa...
  4. H

    KERO Mwanza: Soko la Buhongwa, upande ni Soko, upande ni Dampo ndani ya fensi moja. RC Said Mtanda na Waziri Mchengerwa ingilia kati

    Viongozi wa Serikali Mkoa wa Mwanza ebu angalieni Afya na utu wa wananchi wenu. Hivi kweli Wilaya ya Nyamagana tena Jiji kabisa mmekosa sehemu nzuri ya kuwaweka wafanyabiashara wadogo wadogo na machinga wa Buhongwa, hadi mkaamua kuwapeleka kwenye dampo la kumwaga uchafu na taka mlilojenga...
  5. ngara23

    LGE2024 Waziri Mchengerwa jiuzulu, umeshindwa kusimamia mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa

    Waziri Mchengerwa ni kiongozi ulijibebea sifa nyingi kutokana na utendaji wako Hivyo Kwa tu wa chini yako kuharibu mchakato huu muhimu Kwa maendelea ya vijiji na Miata ni busara achia ngazi. Mchakato umegubikwa na upuuzi ufuatao 1. Kuandikisha watoto chini ya umri wa 18 Watoto wa kigamboni...
  6. Waufukweni

    LGE2024 Godbless Lema ahoji usahihi wa takwimu za uandikishaji zilizotolewa na Waziri Mchengerwa "Nahisi ameshirikiana na mke wake"

    Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amesema kuwa Waziri Mchengerwa alitangaza idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Dar es Salaam kuwa milioni 3.483...
  7. Cute Wife

    LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

    Wakuu, Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike! Dar es Salaam Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni Mwanza Sensa 1.95 Milioni –...
  8. Roving Journalist

    LGE2024 Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024

    https://www.youtube.com/live/iqytGMZ2IcA?si=lDqC4sL9BZTHvY1J Muhtasari wa matokeo ya uandikishaji Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura. Hii ni sawa na asilimia 94.83 ya lengo la kuandikisha watu 32,987,579, ambapo wanaume ni takribani 15,236,772 sawa na asilimia...
  9. Mindyou

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza rasmi kukoma kwa madaraka ya viongozi wa vijiji na mitaa Tanzania

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameelekeza madaraka ya wenyeviti wa vijiji, wajumbe wa Halmashauri za Vijiji na Wenyeviti wa Vitongoji katika mamlaka za Wilaya, Miji na Mamlaka za miji midogo kukoma Oktoba 19, 2024 na nafasi zao...
  10. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya Ukomo kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa, watakiwa kukabidhi nyaraka za ofisi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza rasmi tarehe ya ukomo wa viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa ngazi ya Vijiji, Vitongoji na Mitaa. Hatua hii inakuja kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu. Mchengerwa amesisitiza kuwa...
  11. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa atangaza tarehe ya kuchukua na kurudisha Fomu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, siku zaongezwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, ametangaza rasmi tarehe ya kuchukua na kurejesha fomu za kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa ni kuanzia tarehe 26 Oktoba hadi Novemba 1, 2024. Mchengerwa amewasihi wananchi wote wenye sifa za kugombea, kama...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Waziri Mchengerwa: Hakuna Uthibitisho wa madai ya Uandikishaji Wanafunzi Kupiga Kura

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa ameeleza kuwa hajapata uthibitisho wa madai kuwa kuna vituo vya Uandikishaji Wapiga Kura nchini vimeandikisha baadhi ya watu (Wanafunzi) ambao hawajakidhi vigezo kikanuni kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Akizungumza na waandishi...
  13. Roving Journalist

    LGE2024 Waziri Mchengerwa afafanua kuhusu mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utakaofanyika Novemba 27, 2024

    https://youtube.com/live/CblBhVLNuYE?feature=share Kutoka mkoani Mwanza, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ameamua kuzungumza na Waandishi wa Habari kujibu madai kadha wa kadha yanayo husishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  14. Suley2019

    PreGE2025 Rais Samia awapa onyo Watendaji wa Serikali wanaoingilia maeneo ya malisho ya Wafugaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo kwa watendaji wote wa Serikali kuanzia ngazi ya Mkoa hadi vijiji kutowaingilia wafugaji wote hapa nchini katika maeneo yao ya malisho kama ilivyo elezwa kwenye GN. Aidha Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa...
  15. Waufukweni

    Waziri Mchengerwa: Arusha Mlijichelewesha Wenyewe Kwa Siasa za Majitaka

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Omary Mchengerwa, akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kuhitimisha ziara yake ya kikazi, uliofanyika leo Ijumaa, Oktoba 04, 2024, katika Uwanja wa Kituo cha Mabasi cha Kilombero Jijini Arusha, amesema...
  16. Roving Journalist

    Bila kadi sasa hupandi Mwendokasi. Waziri Mchengerwa awataka DART kutoa fursa Kwa Watanzania kuwekeza kwenye Mwendokasi

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
  17. R

    Je, Waziri Mchengerwa atatumbuliwa kama alivyotumbuliwa DC wa Longido?

    Nimeona taarifa ya kutuambuliwa DC wa Longido kwa kauli kwamba uchaguzi wa 2020 ulifanywa na dola. Lakini pia Waziri Mchengelwa ametumia kauli hiyo hiyo wakati akizungumza na wananchi pamoja na wana CCM? Je, waziri atatumbuliwa? Nini madhara na faida ya tumbua tumbua? Waliotumbuliwa mishahara...
  18. Roving Journalist

    Kigoma: Waziri Mchengerwa aagiza uchunguzi ujenzi wa Shule iliyotengewa Tsh. Bilioni 4.1

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa ameagiza kufuatiliwa, kuchunguzwa na kuchukuliwa hatua kwa watendaji wote walioshiriki kukwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayosimamiwa na ofisi yake na kusababisha ishindwe...
  19. Ngongo

    Waziri Mchengerwa na maamuzi ya ovyo ovyo!

    Heshima sana wanajamvi, Mbunge wa Rufiji Mohamed Omary Mchengerwa amehudumu katika Wizara kadhaa za Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Wizara zote alizohudumu kaacha kilio kikubwa na simanzi zisizo na kipimo kwa WATANGANYIKA wote. Akiwa Waziri wa Utawala Bora na Utumishi alihakikisha...
  20. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 LGE2024 Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima. Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili...
Back
Top Bottom