wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukifungua macho yako, kila kitu kiko wazi

    No one will be part of the New World Order unless he carries out an act of worship to Lucifer. No one will enter the New Age unless he receives Luciferian initiation. Maana yake: Hakuna mtu atakayekuwa sehemu ya New World Order Hadi afanye kitendo cha ibada kwa Lusifa. Hakuna atakayeingia...
  2. D

    Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  3. S

    Polepole ni wazi anaungana na Lissu juu ya uwezekano wa kuwepo watu wanaongooza Serikali kwa mlango wa nyuma

    Katika video iliyoko You tube, Humphrey Polepole anaongelea hatari ya kutokea kikundi cha watu wanaongoza serikali kwa mlango wa nyuma na anaonya kikundi hicho ndio kinaweza kuwa kinaamua kila kitu na serikali kubaki kama mwanasesere tu. Polepole ametoa mfano wa kuwa na CCM A na CCM B ambapo...
  4. Sijapenda upotoshaji wa mwandishi uyu dhidi ya timu ya hii,upingwe huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki

    Wa jamii jana tuliomsikia mmoja wa watu wa biashara united ,ndg wabare,lakin cha ajabu uyu mwandish alibadilisha maneno ambayo ndg wabare alisemea wapinzani wake ,kuwa alisemea timu yake.huu ni uchonganishi wa wazi kwa mashabiki, na haukubaliki
  5. Mambo yako wazi, tunakwamba wapi wanadamu?

    UINGEREZA Kwa mujibu wa ripoti yao: Asilimia 80% ya waliokufa kwa ugonjwa wa sasa Mwezi uliopita (Agosti) walikuwa wamechanjwa. Maana yake ni kuwa, kwa kila vifo 100, vifo 80 ni waliochanjwa. Vilevile, kiwango cha wanaolazwa ni asilimia zaidi ya 70% kwa waliochanjwa. SOURCE: Public Health in UK...
  6. P

    Baada ya uteuzi wa Stagomena Tax, ni wazi Prof. Kitila Mkumbo anaenda na Maji

    Wizara ya Viwanda na Biashara apart from Dr. Abdalla Kigoda, Na Dr. Chami ni wazi haijapata mtu sahihi. Hasa awamu ya tano na sita. Kwa awamu ya tano, Mh. Mwijage zile kelele zake za kuanziasha viwanda alionekana bora. ila baada ya hapo wizara haijapata mtu sahihi na makini kabisa. Prof...
  7. B

    Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao. Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini. Mabalozi...
  8. Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  9. N

    Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

    Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni. Ameendelea kuwaeleza kuwa ya...
  10. Dar: Waziri wa Habari na michezo, Innocent Lugha Bashungwa atembelea ofisi za JamiiForums

    Bado haijafahamika alichoteta na Mkurugenzi wetu Maxence Melo , bali muda wote wa mazungumzo yao wote walionekana kuwa na nyuso zenye bashasha , jambo lililoashiria amani kutawala . Mungu ibariki JF ==== Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa @innocentbash leo...
  11. Uongozi wa Yanga umeweka bayana majukumu ya Haji Manara

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa amesema Manara ataingia kwenye Kitengo cha Uhamasishaji wakiamini atasaidia kuimarisha kitengo hicho...
  12. S

    Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

    Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga. Rejea kisa cha...
  13. R

    Kwa mpira wa jana mapengo ya Chama na Miqueson yapo wazi

    Jana simba imecheza mechi ya kirafiki na kutoa sare, kwa mpira ule kocha anakazi ya ziada kukijenga kikosi, tumefungwa magoli ya offside alafu mpira tumecheza kama chandimu, nimeamini itatuchukua muda kuyaziba mapengo ya chama na luis Nb: kama hujaona clip za mchezo ule katizame kwanza ndo...
  14. Ni kweli hizi chanjo milioni moja hazina muda wa kuharibika (expiry date) hata ikifika mwakani? Kwanini hili suala haliwekwi wazi?

    Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika? Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani...
  15. Kama nchi tunasemaje tunaanza upya bila mjadala wa wazi pakuanzia?

    Nchi yetu imepitia vipindi kadhaa vigumu kwa nyakati tofauti. Kuna watu wamefaidika na wengine kuumizwa na vipindi hivyo. Hawa wote wapo,kwa maana waliofaidika na walioumizwa. Anatoka mtu mmoja anatangaza tuache yoote tuanze upya! Na anayesema vile ni yule mnufaika. Je, siyo busara na...
  16. Vunja Mbavu: Barua ya Wazi ya shabiki wa Arsenal, Yanga kwa Sa Godi

    C&P From mwanaspoti REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba. Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
  17. Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

    Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi. Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada. Gwajima kwa sasa ni ama...
  18. Barua ya wazi: Tutasema Freeman Aikael Mbowe sio gaidi

    Tutasema " FREEMAN AIKAEL MBOWE SIO GAIDI" Kwako mhe. Freeman Aikael Mbowe. Ninapokuwa katika umri wangu huu wa karibu robo karne hakuna siku imewai kupita sijasikia jina Freeman au Mbowe maishani mwangu aidha niwe ndani ya nchi au nje ya nchi, aidha niwe online au offline. Tutasema " FREEMAN...
  19. NEC: Jimbo la Konde lipo wazi

    Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imelitangaza Jimbo la Konde huko Pemba kuwa wazi baada ya mbunge mteule, Sheha Mpemba Faki kutangaza kujiuzulu kabla ya kuapishwa na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk...
  20. C

    Ushauri: Rais Samia Suluhu na timu ya Corona fanyeni haya kuboresha mapambano dhidi ya COVID19

    Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya 5 Rais John Pombe Magufuli. Muendelezo huu ni pamoja na kuboresha pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…