wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ili Rushwa kwa Askari wa Usalama Barabarani iweze kuisha, Waanze kuadhibiwa mbele ya Vyombo vya Habari

    Rushwa kwa askari wa usalama barabarani ni tatizo kubwa ambalo linaweza kuwa na sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa uwazi na uhakika katika utekelezaji wa adhabu. Kuna mambo kadhaa yanayoweza kuchangia rushwa kwa askari wa usalama barabarani: 1. Adhabu Zisizoeleweka: Kama adhabu...
  2. JamiiForums Tanzania Najiweka pembeni juu ya huu Unafiki na Kuonewa wazi wazi kwa KMC FC ili tu Simba SC yangu itengenezewe Mazingira ya Kimagumashi iwe Mshindi wa Pili

    Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
  3. JamiiForums Tanzania Machafuko ya middle east na uchokozi wa Israel ni wazi kuwa inataka kutengenezwa vita ya 3

    Hakuna asiyefahamu kuwa Bara la Asia ndiye tajiri mkubwa wa imani za kidini takribani asilimia 60 ya dini zimetoka katika bara la Asia niwazi kuwa ndiyo bara lenye ustaarabu mdogo kuliko mabara mengine hapa duniani,na kwasababu hizi imetengenezwa mfumo wa dini ili kuzitawala akili mbovu za hawa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kijiji cha Idibula, Kilino (Nzega) hawajawahi kupata maji safi

    Tatizo la maji bado ni kubwa sana. Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru. Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
  5. JamiiForums Tanzania Baada Ya Yanga Kunyimwa Goli La Wazi Kabisa Dhidi Ya Mamelodi Na Refa Kukataa Kureview VAR Niliikosa Mantiki Ya Huu Mfumo. Mdau We Unasemaje

    Mdau we unasemaje? Waingereza nao huu mfumo umewachosha. https://www.bbc.com/sport/football/articles/c4n1ndlknk1o
  6. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele. Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya kampuni haziweki mishahara wazi?

    Habari wakuu.
  8. JamiiForums Tanzania Mambo Matatu yatakayokuacha kinywa wazi nchini Tanzania

    Amini usiamini mambo haya yanatokea kwenye nchi yetu hivi hivi tukiwa tunaona! Tuanze 1. Unaambiwa bodi ya Mishahara iliundwa mwaka 2017 na ikamaliza muda wake bila mishahara kubadilishwa! Na Sasa tunasikia itaundwa bodi nyingine maalumu kwa ajili ya kuangalia pensheni za Wastaafu!! Hapa source...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi

    Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
  10. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Palestina ni wazi kuwa dunia haiko fair, kapuku hauna wa kukutetea

    Imagine karne moja iliyopita kulikuwa na vita za kidunia Hitler na wenzake walihukumiwa na kuchorwa katika picha ya ugaidi, kiongozi wa kiimla, iddi amini dada alionekana ni the same, Gadadi na wengi neo. Kwa bahati mbaya zaidi hakuna mtu ambaye amepinga vitendo vya jeshi la NATO dhidi ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa wazi wa Kidijitali kufatilia utekelezaji wa miradi ya Serikali

    Mfumo wa kidijitali wa ufuatiliaji wa Miradi ya Serikali Ili kuongeza uwazi. (Government Projects Tracking System). Maendeleo ya Sayansi na teknolojia yamerahisisha utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi wake, huduma mbalimbi kama Elimu, Afya, Nishati ya umeme, Mawasili na usafirishaji n.k...
  12. JamiiForums Tanzania Mfano wa wazi kuwa nidhamu inalipa ni MC Eliud

    Huyu Jamaa kwa sasa nadhani ndo anatrend nafasi ya kwanza kwenye upande wa macomedy lakini ni wazi hata kwenye maisha ya kawaida ili upende usiboe watu inafaa uwe na nidhamu ya hali ya juu. Nidhamu itakuletea Michongo ile ya muda mrefu ukiaminika ila ukiwa huna nidhamu utaweza kukubalika ila...
  13. JamiiForums Tanzania Kama asili ya Wazanzibari ni bara, kwa nini wasihamishiwe huku bara kwenye maeneo ya wazi kupisha watalii

    Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache). Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa. Nashauri...
  14. JamiiForums Tanzania Makalla: CCM nafasi zote zipo wazi isipokuwa ya Urais

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT. Akizungumza leo Aprili 20 hapa Songea mkoani Ruvuma, Makalla amewataka wana CCM kuhamasisha Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu...
  15. JamiiForums Tanzania Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka. Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Teknolojia inaonyesha wazi hakuna offside, Tukubali yaishe Yanga wamepata ushindi kihalali

    Ni goli la wazi kabisa hakuna offside
  17. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro

    Kwanza kabisa nianze kwa salam na kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai pamoja na changamoto tunazo zipitia wananchi wa Tanzania. Lakini pia naomba kukupongeza sana Mh. Mtatiro kwa kuteuliwa tena na Mh. Rais kua mkuu wa wilaya ya Shinyanga. Najua na kuamini utendaji kazi wako ndiyo msingi wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ezekiel Wenje tunakuhitaji jimbo la Rorya jimbo liko wazi 2025

    Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuikamilisha...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan. Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
  20. JamiiForums Tanzania MOI yaandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika Aprili 20, 2024

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya MO Dewji Foundation imeandaa kambi ya upasuaji kwa Watoto 50 wenye vichwa vikubwa na mgongo wazi itakayofanyika 20/04/2024 katika Taasisi ya MOI. Akizungumza na waandishi wa habari, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…