wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu Anasbo na shimba ya buyenze wazee wa makebo makubwa wamepotelea wapi😁

    anasbo na Shimba ya Buyenze natumaini mko poa na salama. ule uzi pendwa sasa hivi mwenye kiti ni Swahili AI, amewakaimu kwa muda😁
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu vipi huko? Ni Mimi pekee ndiye nashindwa kutumia hii app mpya?

    Hii App ni shida sana hasa kwa sisi wazee wa vijijini. Nimejuta kuipakua, sasa hivi naingilia chrome. Wazee wa mjuni nasikia mnadunda nayo tu. Maxence Melo fanya kanamna basi!
  3. JamiiForums Tanzania Leo asubuhi wazee niliokuwa nawaheshimu sana hapa Kijijini wamefanya jambo la hovyo sana; wameshindana kutangaza msiba. 🤔

    Wakuu, Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne. Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia). Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

    Aliyemtuhumu Heche akiomba radhi"Narudia kuomba msamaha tena kwa viongozi wote walio hapa, kwa Makamu Mwenyekiti. Na imani nimekosea. Basi kama pale nilipokosea na nimeamini nimekosea, naomba anisamehe. Viongozi wote naomba mnisamehe. Nitakuwa wa kwanza kumwalika ziara Makamu Mwenyekiti aje...
  5. JamiiForums Tanzania Una mshauri Binti aachane na wazee, una uhakika huyo Binti ana uwezo wa kujihudumia?

    Punguzeni kihelehele, sifurahishwi na hayo mambo,mapenzi kati ya tusichana tudogo na vibabu yanashika Kasi sana, sasa una Kuta mdada sijui mmama kakoma eti hafurahishwi na hayo mahusiano. Binti anajielewa ye anajua anacho kipata Kwa huyo Mzee wee soko lako limepita unalazimisha aachane nae...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sioni Mwanasiasa wa Kuwapambania Wananchi. Wengi ni Wazee Waliojichokea na Madingi wenye Njaa.

    Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona...
  7. JamiiForums Tanzania HOJA Kuna haja ya kuwa na vituo vya kulea wazee mikoa yote Tanzania

    Baadhi ya sehemu wazee wanapitia changamoto mbalimbali kutokana na kukosekana uangalizi wa karibu unaosababishwa na ubize wa maisha katika jamii na kupelekea upweke na kutengwa kwao. Kuna haja ya kuwa na makazi maalumu ya wazee katika kila mkoa ili kuweza kuwahudumia kwa karibu na kunufaika na...
  8. JamiiForums Tanzania Roho Kuukuu: Watoto Wenye Busara za Wazee

    Ushawahi kuona mtoto mdogo wa miaka mitano, lakini akiongea, pointi anazotoa ni za mtu mzima wa miaka 60? wakati hata shule hajaanza? Hawa ndio wale watu wanasema roho zao zilishawahi kuishi duniani zamani, zikafa, zikarudi tena kwenye miili ya watoto. Wanapenda kukaa na watu wazima kuliko...
  9. JamiiForums Tanzania Heche akutana na Wazee wa Mkoa wa Mara leo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya...
  10. JamiiForums Tanzania UFISADI: Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA kanda ya Kati Amshauri Mnyika kuunda Tume kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho

    John Wegese Heche akiwa bado ananuka Ufisadi wa pesa za Tone kwa Tone uliofanywa akiwa makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CHADEMA Kanda ya Kati, Aquilin Claud ameshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika aunde tume ya kumchunguza Makamu Mwenyekiti wa chama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma wazee ndio walikuwa na taitizo la nguvu za kiume. Now days ni vijana wadogo sababu ya Pombe na madawa ya kulevya

    Miaka ya themanini mpaka miaka ya tisimi mwishoni tatizo la nguvu za kiume lilikuwa linawasumbua sana wazee na ilikuwa ikisemekana kuwa sababu kubwa ni umri. Lakini sasa hivi vijana wadogo kabisa una kuta hawezi kupafom hii ni kwa sababu ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya.
  12. JamiiForums Tanzania Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

    Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito. Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week? 1...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  14. JamiiForums Tanzania Kupeleka wazee kushangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali ni jambo lisiloeleweka

    Wakuu nimeangalia video na picha kadhaa wazee wakiwa kwenye ndege kuishangilia Serengeti Boys kwa gharama za serikali. Hii sikubaliani nayo kabisa. Hawa wazee kwenye ajira na uongozi hawaachii ngazi ila bado hata nafasi ya vijana kwenda kushangilia vijana wenzao wanabana.. HII NI AIBU. Ila...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wazee na uchawi wa mapenzi. Hii imekaaje?

    Jana mtaani kwetu kulikuwa na mechi ya timu ya mtaani kwetu vs timu kutoka Mbande. Sasa Upande nilio kuwa nimekaa kulikuwa na wazee wa kiislamu kadhaa wakawa wanapiga story kuhusu wanawake.. Mada ikawa kuhusu uchawi wa mapenzi.. Kati Yao kuna mmoja ana kama miaka 60 akawa anasema anawashangaa...
  16. JamiiForums Tanzania Matukio na Masimulizi ya Wazee wa Mwaka 47

    UTANGULIZI Kila mwanadamu ana masimulizi ya matukio kadhaa katika safari yake ya maisha, matukio hayo yanaweza kuwa ni mkusanyiko wa harakati za kiuchumi, kisiasa ama kijamii alizopitia msimuliaji. simulizi hizo, zinaweza kuwa ni matukio yake binafsi, ndugu ama marafiki zake wa karibu ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Unaambiwa huko uchagani wazee 20 wanaweza maliza pipa la mbege

    Yaani kama mbege ya bure au ya mahari wakiitana itaisha na hakuna hata utakae mwona akibeba kupeleka nyunbani . Je?wachaga hili lina ukweli?
  18. JamiiForums Tanzania Hivi wazee ni nini chanzo halisi Cha shinikizo la juu la damu yaani blood pressure especially for young people in their 20's

    Hivi wakuu hili suala lipo aje vijana normal wadogo pressure zinawapata Cha ajabu wengine wanatumia medication kabisa. Karibu tuchangie mada kikaangoni.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwagharamia Wazee na Watoto Bima ya Afya

    Bima ya Afya kwa Wote kugharimu shilingi 150,000 kwa kaya (watu sita). Wasio na uwezo (wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu) watagharamiwa na serikali.
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi: Si kweli Vurugu za Oktoba 29 zilisababishwa na 'Gen Z' ni sababu za Wazee kushindwa kuwajibika

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. "Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…