wazanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Endapo Muungano utavunjika, mali za Wazanzibar wanazomiliki Tanganyika zitataifishwa au zitaendelea kuwa mali halali za nchi nyingine iitwayo Zanzibar

    Uhai wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unakaribia kufika ukingoni. Kuna manung’uniko makubwa sasa kutoka pande zote mbili za Muungano; mwanzoni yalikuwa zaidi upande wa Zanzibar, lakini hivi karibuni Watanganyika wameanza kuona hasara za Muungano huu. Waliotufikisha katika hali hii si...
  2. MFALME WETU

    Yajue mambo 22 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Je, Muungano umekuwa na tija gani kwa pande zote mbili?

    kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
  3. digba sowey

    Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yalitokea pia Zanzibar mwaka 2001. Hakuna jipya! Je, tuamini ni kisasi cha wazanzibar dhidi ya watanganyika?

    Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida, Sawa mauaji ni mauaji lakini huwezi halalisha mauaji kwa mauaji mengine na kutaka tuone kuwa kuuana ni jambo la kawaida. Napata...
  4. DuaZaMama

    Video: Rais Samia ashauriwa Kujifunza historia ya Mapinduzi ya Zanzibar

    Wazanzibar walifanya mapinduzi ya mwaka 1964 kwa sababu walinyimwa haki ya kuunda serikali yao. Baadhi ya wananchi wanazungumzia hatua za kisiasa za sasa chini ya Samia Suluhu, wakidai kuwa tume ya uchaguzi aliyounda imetoa matokeo yasiyo ya kweli, huku jeshi likitumika vibaya na kutumia mitutu...
  5. G

    Kama wazanzibar wakilazimisha kuvunja Muungano wajiandae kuwa mkoa wa Tanzania au Jimbo la TANZANIA hutuwezi kuruhusu magaidi waingie hapo karibu nasi

    Huo ndo uhalisia Zanzibar isingekuwa ndani ya Muungano ungekuta tayari Kuna vikundi vya kigaidi vimechukua utawala Tutakua wajinga kuwaachia ndugu zetu wanzibar wabaki bila ulinzi wa TANZANIA Kama viongozi wao Kwa ulevi TU wa madaraka watavunja Muungano Kwa namna yoyote hatakubali ulafi wao wa...
  6. M

    Eti wazanzibar? ndio wanaohusika? Are you seriously?

    Je, Wazanzibari Wamehusika? "Kuangalia tatizo bila kuona ukweli wote ni kama kujaribu kupiga msumeno ukiwa na mwinuko mmoja tu." Kuna mjadala mkubwa unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu yaliyojiri Oktoba 29, kabla na baada ya siku hiyo. Mojawapo ya hoja zinazojitokeza ni kwamba...
  7. Lord Denning

    Watanganyika mliopo TCRA simameni kuiokoa Tanganyika kuangamizwa na Wazanzibar. Rudisheni mtandao

    Ujumbe kwa Watumishi wa TCRA ambao ni Watanganyika. Wazanzibari wanataka kuiteka Tanganyika na kututawala kwa nguvu. Wamelazimisha Samia atangazwe kwa uchaguzi ambao haukufanyika ba matokeo ambayo yametengenezwa na kila mtu kaona. Simameni kuiokoa Tanganyika dhidi ya huyu mshenzi mzanzibari...
  8. Poa 2

    GE2025 Wazanzibar wawili wajibakisha kuwania urais wa JMT

    Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu. Watanzania...
  9. Msanii

    Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  10. The Zanzibar Echo

    Tanzania kutolewa na Morocco tumefurahi

    Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA na kadhalika ila kwasababu ya Muungano huu wa dhulma tumekosa. TANGANYIKA KUTOLEWA NA MOROCCO...
  11. Egnecious

    Maria Sarungi na chuki dhidi ya Rais Samia na wazanzibar

    Inasikitisha kuona mtu kama Maria Sarungi anayejiita mwanaharakati wa haki za binadamu, akiendelea kuonyesha chuki waziwazi dhidi ya Rais Samia na Wazanzibari kwa ujumla. Kila jambo linalotokea nchini kwake linageuzwa lawama kwa Rais Samia, hata yale yasiyomhusu moja kwa moja. Mbaya zaidi...
  12. Yoda

    Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
  13. DR HAYA LAND

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani

    Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani . Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata . Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
  14. S

    Wazanzibar wanalalamikia sana muundo wa muungano na kusahau muungano ulifanywa haraka sana bila majadiliano ya kina ili kuwaokoa wasichinjwe

    Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
  15. C

    Wazanzibar wamejipanga dhidi ya watanganyika, cha kusikitisha watanganyika wenzetu wamekuwa wasaliti dhidi ya watanganyika wenzao

    Kwa Mfumo wa CCM ulivyo na unavyo endeshwa, ni dhahiri kabisa wanaweza kukubali hata ikija ajenda ya nchi kuuzwa na kila kitu kuuzwa na wana CCM wa Tanganyika Wakashangilia kwa kupiga makofi na vigeregere. Na nilicho gundua CCM yenyewe humilikiwa na kundi dogo sana lenye maslahi lakini hawa...
  16. Ngongo

    Watanganyika ajira za TRA 1574 Wazanzibar wametengewa 21%

    Heshima sana wanajamvi. TRA wametangaza ajira mpya 1,574. Hili ni jamba zuri sana vijana wetu watapata ajira za uhakika zenye mishahara mizuri na nafasi kubwa ya kutengeneza kipata cha ziada kupitia urefu wa kamba zao. Kitu wasichakijua WATANGANYIKA katika ajira hizo WAZANZIBAR wametengewa...
  17. MSAGA SUMU

    98% ya Wazanzibar wanafahamu kuwa Karume ndio aliongoza mapinduzi

    Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita. Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo. Siku ya mapinduzi bwana Karume alikuwa upande wa bara hasahasa mitaa ya Magomeni. Huku katika kipindi hiki cha sherehe za mapinduzi...
  18. Inside10

    PreGE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata...
  19. Ngongo

    Wazanzibari ni raia daraja la kwanza katika JMT

    Heshima kwenu, Sasa ni wazi kabisa katika Muungano wetu Wazanzibar wana uraia pacha (uRaia wa Zanzibar na uRaia wa JMT). Mosi Wazanzibar wana uRaia wa Zanzibar, kupitia sheria zao ambazo wamezipitisha katika BLW (Baraza la Wawakilishi) ambalo WaTanganyika hawaruhusiwi kutia mguu. Kupitia BLW...
  20. Mganguzi

    Serikali iitishe kura ya maoni Wazanzibari waamue upya kama wanautaka muungano ili isionekane tunawalazimisha

    Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
Back
Top Bottom