wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ukimsikia rais Samia anaita watu wanaofichua ufisadi sio wazalendo mwambie wasio wazalendo ni hao mafisadi waliofichuliwa na sio watumishi wa umma

    Hivi karibuni kuna fichua fichua ya ufisadi imeonekana cha ajabu, nikamsikia samia badala ya kulaani ufisadi huo na uovu huo anaanza kulaumu mtumishi wa umma aliye fichua ufisadi huo heti "jitu sio mzalendo" hii ni ya wapi ? inasikitisha sana hapana tunataka mabadiliko ya raisi, tunataka...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Salum Mwalim hakuhamia ACT Wazalendo ambapo angeweza kupata chochote upande wa Zanzibar?

    Nikitafakari hili swali ndiyo napata uhakika kwamba CHAUMMA ni CHAMA CHA UDALALI NA MAPANDIKIZI YA MAMA. Mtu angeweza kupata kanafasi hata ka uwakilishi kule viunga vya Kizimkazi kupitia ACT ila unaona kwa kuwa ni mkataba lazima utekelezwe. Kazi kwenu madalali wa MAMA.
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ipi ni CCM 'B' ACT Wazalendo au CHAUMMA?

    Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkulima aliyewaburuza mahakamani Mwigulu, Bashe ajitosa ubunge na ACT Wazalendo

    Mwanaharakati mashuhuri Kanda ya ziwa,Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama cha ACT Wazalendo kugombea ubunge katika Jimbo la Maswa Magharibi wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu. Amekabidhiwa fomu hiyo leo na Katibu wa chama hicho jimbo la Maswa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi

    Tutengeneze wazalendo ndani ya vyombo vya usalama kukomboa nchi na sio vyama au vyeo. Tutaona mabadiliko makubwa. Walinde kura badala ya kuiba, walinde watu badala ya kuwateka na wapiganie haki
  6. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Zitto ni mjanja sana, Ofisi za ACT Wazalendo mikoani zina picha yake ukutani na sio picha ya Kiongozi wa sasa Dorothi Temu

    Staili za Vladimiri Putini wa Urusi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wakili msomi Peter Madeleka achangia shilingi milioni moja kufanikisha kufanyika mkutano mkuu wa ACT Wazalendo

    Wadau hamjamboni nyote? "Ahsante sana Wakili Msomi Peter Madelek kwa mchango wako wa kufanikisha Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo mkutano ambao ni hatua muhimu sana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025"
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shamra shamra Miaka 11 ya Chama cha ACT Wazalendo ya kupigania Taifa la wote kwa maslahi ya wote

    https://www.youtube.com/live/ofrr-5ZXSAM [Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu Dorothy Jonas Semu kwenye Maadhimisho ya Miaka 11 ya Kuzaliwa kwa ACT Wazalendo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, Makao Makuu ya Chama, Dar es Salaam] Ndugu viongozi na wanachama wote mliohudhuria...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo, Omar Said Shabani anazungumza na Wanahabari, Mei 5, 2025

    https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja. Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
  11. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Our Man in Damascus, Tunajiuliza kwanini viongozi wetu sio wazalendo?

    Wakuu, Moja ya true story ni juu Kipenyo Eli aliejipenyeza from Israel hadi kufika kwenye mamlaka za juu kabisa nchini Syria. Kipindi cha miaka ya 60s, Syria iliisumbua sana Israel sambamba na kuua raia wake. Mossad wakaingia mzigoni na kumuandaa kijana E. Cohen as Kamel Thabeet na kumpa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tuipiganie nchi yetu: "bila wazalendo wa aina ya kina Ibrahim Traore, tungali tupo tupo sana!"

    Nani angedhania Ibrahim Traore anaweza kutokea kama mtu mwingine? https://youtu.be/LAZvEVvWbz4?si=3p_Us_YL6BWaNWpc Crew wa Air France na mwekezaji uchwara wa kifaransa wajikuta korokoroni kwa kumkejeli rais wa nchi wakidhani ni kidampa. Kwamba kina Traore wanasafiri kama abiria wa kawaida...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tuirudishe nchi kwenye kujenga wazalendo kwa Taifa na sio wazalendo kwa mtu au chama, hii itasaidia sana kulirudisha Taifa kwenye mstari

    Kwa sasa naona serikali iko busy sana kuzalisha wazalendo wengi wawe na uzalendo kwa mtu au watu au chama,badala ya kuzalisha wazalendo kwa Taifa, naiona hatari sana kwenye hili Taifa letu hapo baadae. Ikiwa Kila mwenye nguvu iwe ya fedha au ya dola akiweza kujitengenezea wazalendo wake kama...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kusaini maadili na kanuni zake. ACT Wazalendo watoa Mlio, kanuni zina mapungufu

    Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo inachambua bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu

    https://www.youtube.com/live/boUBc1geEE0 UCHAMBUZI WA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI 2025/26 “Serikali inaogopa uchaguzi huru na haki” Utangulizi Tarehe 09 Aprili 2025 Waziri Mkuu aliwasilisha Bungeni mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la ajira laibua mjadala wa Kitaifa, ACT Wazalendo wanazungumza muda huu

    https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Ratiba ya Ligi Kuu ya Zanzibar (PBZ) iheshimiwe

    RATIBA YA PBZ PREMEIR LEAGUE IHESHIMIWE Shirikikisho la Soka la Zanzibar ZFF lilikuwa limepanga Ligi Kuu ya PBZ iendelee kuchanja mbuga kuanzia Aprili 5, 2025 na kutafuta vidume vya Zanzibar ili kuweza kuwakilisha katika michuano ya vilabu barani Afrika ambapo bado ZFF ina uwanachama...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
Back
Top Bottom