wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Awamu hii ni ama ivuke Chadema sanaa au ivuke Chadema wazalendo. Haiwezi kuvuka imechangamana

    Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja. Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  3. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025

    Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani. Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kutimkia ACT Wazalendo kama watamletea fitna kwenye uchaguzi.

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ndani Chadema kunawaka moto kwa sasa kutokana na Uchaguzi wa ndani wa viongozi, kuna tetesin Mbowe na kundi lake kina Wenye hawawezi kumpa uongozi wa chama Tundu Lissu. Kuna tetesi za ndani kabisa kuwa Tundu Lissu na wafuasi wake kutimkia ACT Wazalendo. Chadema...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

    Nizahiri sasa Tindu Lisu amejipanga na wafuasi wake wanaomuunga mkono iwe jua iwe mvua ni lazima agombee na awe mwenyekiti wa CHADEMA Pia mwenyekiti wa sasa wa chama hicho Freeman Mbowe naye amejipanga na watu wake wanaomuunga mkono kutetea tena nafsi yake kama hiyo. Kwa hali inavyoonyesha...
  6. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Polisi Wanaendelea Kuwatesa na Kuwasumbua Wanachama wa ACT Wazalendo

    MUENDELEZO WA VITISHO NA MATENDO YA UKIUKWAJI NA UVUNJWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YANAYOFANYWA NA JESHI LA POLISI NCHINI. Idara ya Haki za Binaadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi ya ACT Wazalendo Taifa imepokea taarifa mbalimbali kutoka kila pembe ya nchi juu ya Muendelezo wa Vitisho na...
  7. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi Limezuia Mkutano wa ACT Wazalendo Kilwa

    Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara Kilwa Kusini uliokuwa uhutubiwe na Kiongozi wa @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy. Katazo hili ni mwendelezo tu wa jeshi hilo kukubali Kutumika Kisiasa na chama tawala. #TaifaLaWote #PolisiwaWote #MaslahiYaWote
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kilwa: Jeshi la Polisi lapiga marufuku Mkutano wa Hadhara wa ACT Wazalendo kwa Sababu za Kiusalama

    Mkutano wa hadhara wa Chama cha ACT Wazalendo uliotarajiwa kuhutubiwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu ambao ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Maalim Seif Garden, Kilwa Kivinje, mkoani Lindi leo, Ijumaa Desemba 06.2024 umepigwa marufuku na Jeshi la Polisi kwa kile kinachoelezwa kuwa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tuwape PhD za heshima wazalendo kama Salim Bakhresa, sio wanasiasa wala rushwa

    Tanzania ni nchi ya maajabu sana vyuo vimejaa siasa. Mtanzania mzalendo kama Salim Bakhresa sijasikia vyuo vikitaka kumpa PHD ya heshima badala yake inawapa wanasiasa ambao hawana sifa. Salim Bakhresa amejenga biashara na kutoa ajira kwa mazingira magumu sana. Hajawahi na wala hana sifa ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Abdul Nondo amekutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini

    Abdul Nondo akutwa na kiwango kikubwa cha sumu mwilini Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT-Wazalendo Taifa Ndg. Abdul Nondo jana tarehe 03 Disemba 2024, alifanyiwa upasuaji mdogo kwenye unyayo baada ya madakatri wanaomuuguza katika hospitali ya Aga Khan kubaini uwepo wa mivunjiko midogomodogo...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Hatuna sababu ya kulishukuru Jeshi la Polisi kutekwa kwa Abdul Nondo, wameishia kutoa matamko ya jumla jumla

    Chama cha ACT Wazalendo kinatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo, nakutelekezwa usiku wa kuamkia leo katika fukwe za Coco Beach, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi, Nondo alisaidiwa na dereva wa bodaboda aliyemfikisha katika ofisi...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba ACT wazalendo wamemtendea vyema kiongozi aliyetekwa kuliko CHADEMA kwa wafuasi wao

    Ndani ya Muda mfupi wametoa taarifa muhimu ambazo zitasaidia kupatikana kwa mfuasi wao CHADEMA sasa hivi wangekuwa kwenye media wakitoa matamko kuna kitu wajifunze .
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ubatilishwe na kuitishwa upya

    TAARIFA KWA UMMA UCHAGUZI UBATILISHWE NA KUITISHWA UPYA TAARIFA YA AWALI YA KAMATI YA UONGOZI TAIFA YA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI 2024 Kamati ya Uongozi Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha dharura jana tarehe...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ACT Wazalendo, wana nia nzuri sana na nchi yetu, tatizo liko kwa CCM na Watanzania, hivyo wanapaswa kubadili mbinu za kuinusuru Tanzania

    Bila kuwa mwanachama wa Chadema au ACT Wazalendo, nakiri kwamba Chadema, hawa kina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Mbowe, na wakati fulani kina Msigwa, Dr. Slaa, Mtikila, Mrema, Dr. Kaborou na wengine, siku zote wamekuwa na nia nzuri sana na nchi yetu. Sina shaka juu ya hilo. Sasa tatizo ni kwamba...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Wakala wetu wa Bunda ameshambuliwa na kuumizwa kisha amepelekwa Polisi, wanadai amefanya fujo

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema Wakala wao katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, TINGA TOGORO KERANGA kutoka Kata ya Hunyari, Kijiji cha Mariwanda, Kituo cha Kilimani alifanyiwa fujo kwa kunyang'anywa karatasi za Kura na Wakala wa CCM ambaye alizichana baada ya kuona kuwa Wakala wa ACT...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo waitupia lawama CCM, changamoto Uchaguzi Geita

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoa wa Geita, Lucas Tibengana amesema kuwa zoezi la uchaguzi wa Serikali za mitaa limekumbwa na changamoto kutokana na mfumo wa majina, hali Iliyosababisha baadhi ya wananchi kushindwa kushiriki katika upigaji kura. Akizungumza katika kituo cha kupigia...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo yatoa tamko kuhusu Erick Yugalila Venance kushambuliwa

    Hali ya upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji leo tarehe 27, Novemba 2024 mpaka muda huu wa saa 8 kamili mchana. TUKIO LA SHAMBULIZI Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuujulisha umma kuhusu tukio la kusikitisha lililotokea ambapo Katibu wa Jimbo la Igunga Ndugu...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea wa ACT Wazalendo: Hatutakubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani

    Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni sehemu ya kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Maendeleo haya Chama, wekezeni katika kiongozi bora

    Katibu Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu , amewataka wananchi wa Kijiji cha Katanda, Kata ya ML. Magharibi, Jimbo la Tunduru Kaskazini, mkoani Ruvuma, kuzingatia vigezo vya uongozi bora badala ya kushikilia itikadi za vyama vya siasa wakati wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ado ametoa...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo Tunduru: Kuna vijana wamepangwa kupiga kura za mapema, tunawaonya...

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo wa Jimbo la Tunduru Kaskazini mkoani Ruvuma, Yasin Mohamed Mawila, ametoa onyo kali dhidi ya jaribio lolote la udanganyifu katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza Jumapili, Novemba 24, 2024, kwenye mkutano wa kampeni...
Back
Top Bottom