The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Wakuu,
Sijapenda kabisa kuwaona hawa Wachina kwenye mkutano wa ACT Wazalendo.
Hawa Wachina wako AGAINST DEMOCRACY na ni marafiki wakubwa sana wa chama cha tawala.
Hawa wachina ndio ambao wana kile chuo cha Uongozi kule Kibaha kwa ajili ya "kutrain" viongozi wa CCM
Mfumo mzima wa demokrasia...
DAR. Mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina ni mwanachama halali wa Chama cha ACT Wazalendo na tayari ameshakabidhiwa fomu ya kugombea urais wa chama hicho.
Taarifa za uhakika ndani ya ACT-Wazalendo zinasema, mwanasiasa huyo tayari amekabidhiwa kadi ya chama hicho cha upinzani...
MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo.
Pia soma >> GE2025 - Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
Mwana mtandao wa muda mrefu na mtoto wa mjini Rais msitaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete alishindwa kumwachia urais anayemtaka 2015 baada ya wazalendo wa nchi kuchukua hatua kali za kulinda nchi yao na wakafanikiwa kumleta kutoka kusikojulikana Hayati Magufuli na kumfanya awe Rais wa awamu ya...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).
Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi)
MAHAKAMA YAZIMA MPANGO WA ACT- WAZALENDO KUPORA OFISI YA CUF KILWA:
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara...
Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache.
Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?.
Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri Kuu kipi, kilichokaa, kujadili hayo yanayoendwa Badilishwa??
Je yanayobadilishwa ni Kwa Faida ya...
Tanzania ni Taifa la kipekee sana, Tanzania ni Taifa lenye watu wa tofauti na mataifa mengine Africa.
Tanzania ni rahisi sana kupata sapoti kubwa Kwa jambo dogo tu unalolifanya kwa uzalendo na kutanguliza maslahi ya Taifa mbele japo sapoti ya watanzania siyo physical ni sapoti ya masafa Yani...
Hilo naliandika kama Onyo Kuu!!.
Tupo katika Nchi ambayo Kwa Sasa Visasi vimeshika Kasi kwelikweli !!.
Tumeona hapa, wapo walikua wanashauri, ila wakaonekana ni waaasi, wapo walokosoa wameonekana ni WAHAINI na Kila Mmoja ameshughulikiwa Kwa namna yake.
Unaweza kujaribu kuwazaz Nini itakua...
Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!.
Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga,
Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi.
Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele.
Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini .
Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa.
Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
Kwa hii nchi ilivyo sasa inahitaji moyo wa Kizalendo sana mbele za watu wenye akili kusema wewe ni Mtanzania. Watakuuliza maswali ya kuudhi sana. Kuna watu wananiuliza je nmekuja nchini kwao uhamishoni?
Nakimbia kutekwa na kuuawa? Anyway. Kuna watu kadhaa wameniagiza kahawa from Tz wanataka...
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani.
Baada ya barua ya...
Kama wewe kweli ni mzalendo ndani ya vyombo vya usalama simama na katiba. Fuata kiapo chako sio boss wako umeapa kwa nchi na Mungu wako . Maboss wako ni binadamu jipimeni mnayo tumwa . Msikubali kuwa machine wakati nyie ni binadamu. Kataani kuiba kura, kunyanyasa watu na kudidimiza demokrasia
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam.
Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni.
Mwaka 2020 Kaboyoka...
Hakuna chama kinachoiweza CCM isipokuwa CHADEMA leo Kafulila na Happi wanajipakulia tu minyama mbele ya CHAUMMA na ACT WAZALENDO,
https://www.youtube.com/live/UP89m78r-Uk?si=NhbWNO83GsYHj3xL
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.