wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Act Wazalendo Tumieni Njia Hii Kupata Uungwaji mkono kutoka kwa Wananchi

    Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo 1: Achaneni na hoja ya kwenda mahakaman maana mnapoteza muda na hamtapata haki yoyote Ile 2: Viongozi wote wakuu mlionao...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 'Dorothy atimuliwa kimya kimya, Act Wazalendo yazidi kudhihirisha mfumo Dume'

    Wakuu ===== Hizi taarifa niza kweli kwamba Dorothy Semu ametimuliwa kimya kimya ndani ya ACT Wazalendo?
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uvira tena kimeumana wazalendo wachapana na FARDC kisa FARDC Kuwapa escort wanyarwanda

    Congo sijui kama kutakuja kutulia Jana wanajeshi wamerushiana risasi na wazalendo maeneo ya uvira baada ya wazalendo kuwashuku wanyarwanda waliojifanya raia kutokea Burundi kwamba wanaingia Congo kwenye mazishi walikuwa kwenye coaster sasa wazalendo wakawasimamisha lengo wawabane wajue kama NI...
  4. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

    Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli katika Serikali hii na kwenye CCM hii hakuna wazalendo?

    Japokuwa Serikali yetu haiongozwi na Malaika, lakini kusema kweli yapo mambo mengi yanayoendelea nchini yanayotia kichefu chefu, kukatisha tamaa na kusikitisha. Hali hii ya mambo imesababisha ukosoaji mkubwa dhidi ya CCM na Serikali yake kutoka kwa kada mbalimbali za wananchi na hata...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Luhaga Mpina amejiunga na chama kitambo sana

    Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho. Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sakata la Mpina kugombea Urais kupitia ACT Wazalendo latua mezani kwa msajili, watakiwa kutoa maelezo

    Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025. Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia kumbe iliwafunga Kimyakimya Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Gerezani Kwa sababu tu Walihamasisha Ndugu zao wasikubali kuhamishwa

    Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!. Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita. Yaani ni...
  10. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina apingwa kugombea urais ACT Wazalendo

    Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Leo Agosti 14, 2025 mgombea urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina na Mgombea mwenza Fatma watazungumza na wahariri wa vyombo vya habari

    Leo Agosti 14, 2025 Mgombea Urais wa Tanzania wa ACT Wazalendo Ndg Luhaga Mpina na Mgombea Mwenza, Ndg Fatma Fereji watazungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari. Mahala Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 4:00 Asubuhi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Jaji Warioba, Mangula, Butiku na wengineo Jitoeni kwenye CCM hii ya "Maokoto" Tujue kuwa nyie ni Wazalendo kweli!

    Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi. Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na chama kama kielelezo cha uadilifu, heshima na hekima. Lakini leo mnaona CCM inafanya mambo utadhani...
  13. bro alex

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyaona michango kwa CCM, wazalendo uchwara wenzangu zingatieni hili

    Hizi ni pesa, na mjini hakuna kitu cha bure. Wale waliotoa pesa wanajua zitawarudia vipi Ukitendewa ubaya na tajiri wa mjini—iwe ni kukanyagwa, kudhulumiwa mali zako, au kupigwa bila sababu maskini ni heri ukimbie tu. La sivyo, unaweza kupigwa risasi bure na hakuna kesi itakayofunguliwa Hebu...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Saga Saga kugombea ubunge jimbo la Ludewa kupitia ACT Wazalendo

    Katibu wa Siasa na Unezi wa Chama cha ACT Wazalendo Mkoani Njombe ndugu Ally Nathan Mhagama ( Dk Saga Saga) Agosti 10,2025 amekutana wananchi wa Vijiji vya Ugera na Mkongobaki wilayani Ludewa Mkoani Njombe kwa niaba ya wananchi wa wilaya hiyo na kuomba ridha ya kugombea nafasi ya Ubunge...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapokezi ya wagombea urais chama cha ACT Wazalendo pemba Uchaguzi mkuu 2025

    Tazama Mapokezi ya wagombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina (Bara) na Othman Masoud Othman (Zanzibar). https://www.youtube.com/live/BOLHrWxkvIs?si=O3Q9QNPMpG4CKgI0
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maalim kaondoka na ACT WAZALENDO YAKE

    Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake. Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa. 90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za Maalim Katika enzi za...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Vifo vya Wagombea Urais wa ACT Wazalendo nyie haviwafikirishi?!

    Leo asubuhi nimekumbuka trend ya wagombea urais wa ACT 1. Anna Mgwira RIP 2. Maalimu Seif RIP 3. Benard Membe RIP SItaki kuhusisha vifo na ugombeaji wao ACT lakini najiuliza kwa nini itokee hivi?
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo inakwenda kuwa Chama Cha pili kuongoza Dola Tanzania

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, amesema kuwa uteuzi wake kuwa mgombea urais kupitia chama hicho ni mwanzo rasmi wa safari ya kukiondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) madarakani, akisisitiza kuwa Watanzania wanataka katiba mpya na haki ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo ni chama sindikizi

    ACT Wazalendo ni chama sindikizi. Hiki chama hakitaweza kuongoza dola kwasababu kinategemea dola hiyo hiyo na viongozi wa chama nao maisha yao wanategemea dola. Hawataweza kudai vizuri mabadiliko kwasababu kwa naomna nyingine wanategemea pesa kutoka kwa hao hao watu wa mfumo. Lakini ni chama...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
Back
Top Bottom