wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanaokataa Maridhiano msiwaite sio wazalendo. Nanyi mlikataa maridhiano kabla ya Uchaguzi na mlikuwa mnaonywa, hamkusikia

    Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo. Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na wanakua wakali na kusema wale wanaosema D9 na kusema serikali iwajibishwe juu ya kile kilichotokea...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT wazalendo: Tunapinga Tume iliyoundwa kuchunguza matukio wakati wa uchaguzi. Si tume ya haki bali kuficha makosa na kuwalinda wahusika

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha ACT Wazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata iliyotangazwa leo. Tume hii inayojumuisha wajumbe wote kutoka ndani ya Tanzania, wakiwemo maafisa wa serikali...
  3. Guru Dev

    JamiiForums Tanzania Wazalendo na wakuu mlioko juu kabisa

    Nchi ikiwa imegawanyika..na raia wengi hawapendi mambo yanavyokwenda..na.wanakandamizwa..je? Haiwezi kua mwanya mzuri kwa maadui wa nje kupitia Humohumo kupitia kwa wananchi kuja kuingia nchi yetu kiulainiii kabisa huku wakipata sapoti ya wananchi?? Wa Tanzania hatuna mambo mengi..wala...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT Wazalendo: Mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC). Tutakwenda mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Kauli hiyo imetolewa na Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Profesa Omar Fakih, wakati...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tazameni hii Video wakuu: Gen Z Mbeya wanasherekea kumzika mwenzao , kwa Afrika Waasi ni Wazalendo waloamua pigania Haki zao

    Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo. Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo . Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
  6. canular

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  7. canular

    JamiiForums Tanzania Wazalendo wa Tanganyika historia itawakumbuka milele daima Amen

    Damu zenu wa Tanganyika wazalendo zitawasumbua watawala na wote walio husika katika hili mmekufa kishujaaa mkilipigania Taifa lenu la Tanganyika mwenyezi Mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa Mbingu na Ardhi mlinzi wa wote Bariki vijana hawa wa kitanganyika walio mwagwa damu na...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wanalia wizi Kura ya mapema: Watu wameletwa kwa Mabasi kupiga Kura bila mawakala ndani ya kituo

    Mohamed Hamis Mohamed, mgombea uwakilishi jimbo la Amani, Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo amelalamikia ukiukwaji wa utaratibu wa kupiga kura ya mapema katika kituo chake ya kupigia kura akidai kuwa kuna watu wameletwa kwa mabasi wamewaingiza ndani na kuanza kupiga kura bila uwepo wa...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Election Predictions: Unaweza usiamini, Kura za ACT Wazalendo kwa Urais wa JMT, ni kwa Samia, Mgombea wa Urais wa CCM!.

    Wanabodi Mimi ni Mzee wa trends and analysis, trends and analysis ya kwanza ya uchaguzi huu ni hii Thread 'Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!' PreGE2025 - Mwana JF, Be The First to...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina akwama Ugombea Urais ACT Wazalendo, Mahakama yatupilia kesi yake mbali

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma imeitupa kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo, ikieleza kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema. Mpina alikuwa akipinga kuenguliwa katika nafasi...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nawasihi wazalendo wote Tanzania jizuieni kwa sasa kujipost kwakua dhamiri zetu ni kiukomboa Tanzania tarehe 29/10/2025 imefika

    Mbinu wanayoitumia hawa Watekaji ni Kumuwahi Kila Mmoja anayeonekana ana Uthubutu wa jambo letu !!. Sasa katika hali ya Mmoja Mmoja ni rahisi wao kutumaliza na kuchomekea Woga. Sasa basi kwakua Dhamira zetu ni DHAHIRI na kwa namna tulipofikia 29/10 ni tukio la Ukombozi wa Nchi. Tuendelee na...
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Civid 19 na ACT Wazalendo ni wale wale!

    Civid 19 na ACT Wazalendo ni wale wale! wote wanatumia kuwasaidia CCM hakuna jipya
  15. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo (ACT Wazalendo): Nendeni kupia kura kwani ndo hatma yako kwa miaka mitano

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amewataka wapiga kura kote nchini kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu kwa haki na amani na kuchagua viongozi wao kwa makini ili kupata viongozi bora watakaowaongoza kwa miaka mingine mitano na kuleta maendeleo.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Wazee Pemba Kumshawishi Mgombea wa Urais wa ACT Wazalendo Kumpigia Hussein Mwinyi Kura ya “Ndiyo”

    Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake ya NDIO kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya kwani kila...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu!

    Wanasiasa wazalendo tumewajua uchaguzi huu! Wale wote wanaofanya vitu bila kijinufaisha wenyewe kama wakina Sugu, Popepole, Dr Gwajima, Lema, Lissu, Heche, Warioba na wengine wengi ambao wanapigania nchi na sio nafasi ndiyo wazalendo wa kweli kwa mawazo yangu. Lakini wale wote wanaonyanyasa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Monalisa Ndala aishtaki ACT Wazalendo ofisi ya msajili kwa kuvuliwa uanachama

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa. Mbali na hilo amesema amewasilisha...
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

    Nchi inatafunwa na wajanja hii huku wajinga wakipewa baiskeli aisee watu wanapiga mabilioni tu ndio maana wanahubiri amani huku neno haki hawalitamki
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

Back
Top Bottom