wazalendo

The Alliance for Change and Transparency, sometimes known as the ACT–Wazalendo, is the third-largest political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  2. JamiiForums Tanzania Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti Vijana ACT - Wazalendo

    Mdahalo wa Wagombea wa Uenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa kwa Chama cha ACT Wazalendo kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema, leo Februari 27, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=32rMuLtDJG0
  3. JamiiForums Tanzania Janeth Rithe ajitosa Uenyekiti Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo

    Janeth Rithe amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa ngome ya wanawake ya chama cha ACT- Wazalendo, huku akianika vipaumbele vyake 10 atakavyovitekeleza endapo atafanikiwa kuchaguliwa Machi 2, 2024. Miongoni mwa vipaumbele hivyo ni kuhakikisha ngome ya wanawake inakuwa muundo nchi nzima kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Nimekivusha Chama cha ACT Wazalendo kwenye mawimbi ya ukandamizaji wa Demokrasia

    HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT Wazalendo kipekee wote mlionisindikiza kutoka kila kona kujumuika nami hapa katika tukio hili la...
  5. JamiiForums Tanzania TRIBUTE: Pumzika Lowassa. Kazi umekamilisha, umeacha alama, mwendo umeumaliza. Watanzania wazalendo tutakukumbuka daima-1

    Pumzika Lowassa Pumzika, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza, Pumzika!. Toka kumetokea msiba wa Edward Lowassa hapa Jamiiforums tukimuita kwa jina maarufu la Mwamba wa Kaskazini, ile Jumamosi iliyopita, mpaka leo, akisubiri kupumzishwa kwenye makao yake ya milele, hapo kesho Jumamosi, mimi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo badilisheni jina la chama chenu kiwe na tafsiri cha Kiswahili

    Kirefu cha ACT WAZALENDO ni neno la kiingereza. Sisi Watanzania ni waswahili ni wakati muafaka Chama chenu kiwe kama CCM (CHAMA CHA MAPINDUZI) au CHADEMA(CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO). Jifunzeni kutoka kwa Vyama hivyo viwili. Sisi siyo Waingereza. Lini mtu wa Kibondo atajua maana ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mhandisi Ndolezi Petro atangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa

    Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024: UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
  8. JamiiForums Tanzania Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

    Friends and Our Enemies, Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'... Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti ACT Wazalendo Dodoma asimamishwa uongozi. Alitoa kauli kuyapinga maandamano ya CHADEMA

    Chama cha ACT Wazalendo kinafuatilia kwa karibu mwenendo wa mambo katika mjadala wa kitaifa unaoendelea kuhusu Miswada ya Sheria ya Tume ya Uchaguzi, Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani. Ikumbukwe kuwa msimamo wa ACT Wazalendo ambao unatokana na azimio...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeshtushwa na taarifa kwamba ACT Wazalendo wameungana na CCM kupinga maandamano ya CHADEMA

    Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi. Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke mashujaa wetu wazalendo waliopigana dhidi ya Mjerumani

    Friends and Our Enemies, Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa. 1. Alisongea Mbano 2. Abdallah Mchimani 3. Abdulhamid Mfaranyaki Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji...
  12. JamiiForums Tanzania Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

    Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge. Mechi...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mliopo JKT wa kujitolea (WAZALENDO)

    Ndugu zangu kwanza niwapongeze sana kwa moyo wenu wa pekee wa kutamani kwa dhati kabisa kuitumikia nchi yetu richa ya JESHI LA KUJENGA TAIFA kujidhatiti dhahiri kuwa awatoi Ajira😭😭😭 Kitendo cha JKT kutoa Rai kuwa awatoi Ajira huo ni kama mchujo wa kwanza tunaita🤣🤣🤣🤣 kwa ambae hatolizika maana...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo yasisitiza Miswada ya Uchaguzi kuboreshwa

    Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea kuisisitiza Serikali kuhakikisha Miswada mitatu iliyopelekwa bungeni kuakisi maoni na mapendekezo ya wadau wa demokrasia nchini. Miswada hiyo ni pamoja na Muswada wa Tume ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na mMdiwani, Muswada wa Sheria wa Vyama vya Siasa pamoja na...
  15. JamiiForums Tanzania 2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  16. JamiiForums Tanzania Taifa linahitaji mbadala wa CCM lakini sio hawa matapeli wa siasa Chadema,Cuf na Act wazalendo

    Kiuhalisia CCM haijawatendea haki watanzania , maendeleo yaliyopo hayalandani na rasilimali zilizopo. Leo hii tu maji, umeme na tiba zimekuwa za kupatikana kwa tabu? Miaka 60 ya uhuru? Madini Lukuki. Mbadala wa kuig'oa CCM anahitajika lakini sio hawa waganga njaa.
  17. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wana busara kuliko CHADEMA. Walimpisha Rais mafuriko ya Hanang

    TULIMPISHA RAIS SAMIA. "Nilifika Manyara jana, lakini, kwa kutambua Mh. Rais ana ratiba Katesh, hekima ilitutuma kusogeza mbele ratiba yetu ili kumpisha kisha sisi tuje leo kuona athari ya mafuriko, kuwaona wahanga na kutoa mchango wetu," Ado Shaibu, Katibu Mkuu ACT Wazalendo Katibu Mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

    Habari za wakati huu; Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza Mori mnamo siku kadhaa zilizopita.Kwa kweli kitendo kile kimelifedhehesha jeshi letu...
  19. JamiiForums Tanzania Mama na Mwana Wazalendo Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa pamoja walikuwa katika TANU mstari wa mbele wakipigania uhuru wa Tanganyika. Nyumba ya Bi. Mwamtoro...
  20. JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…