wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Polisi watoa neno

    Familia yawalilia ndugu wawili walioripotiwa kutekwa Mwanza, Jeshi la Polisi laeleza kuendelea na uchunguzi.
  2. JamiiForums Tanzania Balozi za Ujerumani na Marekani zinao wajibu wa kufafanua juu ya wawili waliofutiwa visa na Tanzania

    Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS. kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wazanzibar wawili wajibakisha kuwania urais wa JMT

    Naandika Kwa uchungu sana, Mtanganyika mwenzetu TUNDU LISU anasoteswa mahakamani bila kosa lolote, Ili asigombee urais chura kiziwi apite, akajitokeza mh. Mpina Mtanganyika mwenzetu naye kawekewa Pingamizi la kihuni Ili kizimkazi aendelee kutapanya mali za Tanganyika Kwa waarabu. Watanzania...
  4. JamiiForums Tanzania MUHOOZI: KAGAME NA MUSEVENI NI MATAJIRI KULIKO ELONI MUSK HUYO ELON WENU NI MASIKINI KWA HAWA WAWILI

    Uzi tayari
  5. JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Vijana wawili walitoka 0 mpaka utajiri wa TSh 1.95 trilioni kwa BIASHARA ya KINYOZI.

    Washkaji wawili waliingia KINYOZI kama wateja… wakaondoka kama founders wa IDEA ya Mamilioni ya Dollar. startup kubwa huanza na swali dogo. Kwa hawa wahuni wawili Songe LaRon na Dave Salvant, swali lilikuwa: “Kwa nini kukata nywele inakua ngumu kuliko kusafiri na Uber?” Mwaka 2015, waliamua...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sijaoa nina watoto wawili, ndoa ya nini?

    Lengo kuu la ndoa ni kuwa na familia ila kama unaweza kupata watoto bila kuoa basi ndoa haina maana. Now nina watoto wawili na sijaoa, nioe ya nini? Lengo la ndoa ni watoto na ninao why nijipe stress za bure wakati maisha yenyewe ndo haya na kila siku watu humu wanalialia kwa wanayopitia...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna madogo wawili wanalipuka kutoka carrington huko, ni regeneration ya rooney na ronaldo, tukutane kwenue huu uzu baada ya miaka mitatu minne hivi

  9. K

    JamiiForums Tanzania Watu wawili ambao wanaweza kutuletea demokrasia na chaguzi huru sio wanasiasa!

    Kuna watu wawili ambao kesho wakienda kwenye TV au watoke na wasema maneno haya nchi hii tutakuwa na chaguzi huru na demokrasia. Watu hawa sio wanasiasa au wazee je wa hao ni nani na watasema nini 1. Mkuu wa majeshi atoke na aseme tena kwa upole sana. Aseme nchi yetu inapenda haki, nchi yetu na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kama kweli kaenda, Je yaweza kuwa Conspiracy Theory ili kuwavunja nguvu hawa wawili?

    Kuna tetesi fulani fulani kwamba Kuna jambo fulani limetokea kwa mteule fulani kwenda safari ya mbali ambayo kurudi ni majawaliwa. Kama ni kweli japo safari hiyo ni ya muhimu, if you read between the lines unaweza kujiuliza yaweza kuwa ni Conspiracy theory ili kuwavunja nguvu hawa wawili na...
  11. JamiiForums Tanzania Nyie Gazeti la 'Habari Leo' mnadhani Haji Manara aliposema kuwa hiyo Klabu wenye Akili ni Wawili tu na waliobakia wote ni Majuha (Fools) alikosea?

    TANGA; YANGA ya Dar es Salaam ni miongoni mwa klabu tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizokosa sifa ya kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unaofanyika Tanga asubuhi hii. - Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, aliwaeleza...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wawili Mbaroni kwa wizi wa Tsh. milioni 105 Dar es Salaam

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne, wakiwemo wawili wanaodaiwa kuhusika na wizi wa Shilingi milioni 105 na wawili waliokutwa na pikipiki za wizi, katika msako uliofanyika mwishoni mwa Julai na mapema Agosti 2025. Tukio la kwanza lilitokea Julai 27, 2025...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  14. JamiiForums Tanzania WAISLAMU WANARUHUSIWA KULA NGURUWE KWA MAZINGIRA HAYA

    Baadhi ya wanazuoni na maulamaa katika dini ya kiislam wanasema mtu anaweza kula nyama ya nguruwe endapo mtu atakuwa katika mazingira ambayo hakuna chakula cha aina yeyote zaidi ya nguruwe, apa mja anaruhusiwa kula nyama iyo kwa lengo la kupoza njaa na kujiepusha na kifo. Maana katika maandiko...
  15. JamiiForums Tanzania Lazima nioe wanawake wawili

    Mimi, Powell Gonzalez lazima nioe wanawake wawili. Wa kwanza atakuwa mtu wa kabila au asili yoyote lakini wa pili lazima awe anatokea Ujerumani. Namaanisha 'A German girl', elewa neno 'German girl' usikurupuke.
  16. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wamejitokeza wawili tuu lakini tayari hapatoshi

    Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche. Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena...
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

    Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030 Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero. #KAZI NA UTU, TUNASONGA...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

    Habari za leo wana jamii Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano. Mawasiliano 0624078385
  20. JamiiForums Tanzania SIO RASMI: Kati ya vijana wa tano wawili ni walevi chakari, mmoja anakunywa kistaarabu, mmoja ndio ameanza kugusa gusa na mmoja ndio afikirii kabisa.

    Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus. Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana. Ila ni kwamba vilevi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…