wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wamejitokeza wawili tuu lakini tayari hapatoshi

    Waliochoka ni wengi kuliko inavyodhaniwa lakini pia pongezi nyingi Sana ziende CHADEMA chini ya uongozi thabiti wa TAL na Heche. Hawa watu wamejua hasa kuliamsha dude na sasa hatimaye abiria ambao hawakutarajiwa kabisa wameanza kuomba lift Hii ni wake up call kamba hakuna going back tena...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC mlituambia kuwa Elie Mpanzu ana Miaka 22 sasa ila leo katupia Picha yake akiwa na Mwanae mkubwa wa Kiume na Wajukuu Wawili

    Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika Propaganda (Kudanganya) Mashabiki. Mlisema kuwa Mchezaji Elie Mpanzu ndiyo Kwanza sijui ana Umri wa...
  3. majumba 6

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

    Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030 Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero. #KAZI NA UTU, TUNASONGA...
  4. godiusngunda

    JamiiForums Tanzania Natafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka

    Habari za leo wana jamii Nawasilisha ombi langu la kutafuta wafanyakazi wawili wa kuuza duka la vitenge, jumla na rejareja, Kariakoo mtaa wa kongo na agrey. Mshahara maelewano. Mawasiliano 0624078385
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania SIO RASMI: Kati ya vijana wa tano wawili ni walevi chakari, mmoja anakunywa kistaarabu, mmoja ndio ameanza kugusa gusa na mmoja ndio afikirii kabisa.

    Ongezeko la unywaji limekuwa kubwa. Zamani ulikuwa ukikutana nae anayumba bara barani ni mzee mlevi ila siku hizi ni vijana wabichi. Wadada nao wamekuwa walevi kupindukia tena wake za watu wanakunywa kuliko faza haus. Sio kwamba pesa imeongezeka mifukoni vya vijana. Ila ni kwamba vilevi...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barua Wazi ya Mwanafunzi kwa Walimu Wake Wawili. 1 ni kwa Dean wake, na 2. TA wa Kipindi chake c Kwanza. Please Watendeni Watanzania Haki Hii!.

    Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events! 1. Utangulizi Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Uingereza yawawekea vikwazo Mawaziri wawili wa Israel Bezalel Smotrich na Mwenzake Ben-Gvir

    Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya Wayahudi huko Yudea na Samaria. Ben-Gvir na mwenzake akawajibu wa Ingę reza: "Tulimshinda Farao na tuka...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wawili washikiliwa kwa kushirikiana na Maafisa wa Halotel kuiba na kusafirisha vyuma vya minara

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na maafisa wa kampuni ya mawasiliano ya Halotel linawashikilia watuhumiwa wawili, Adam Seleman Mwakitusya [48] dalali wa kusafirisha mizigo, mkazi wa ilemi na Sheki Mikidadi Chura [53] dereva, mkazi wa mwakibete Jijini Mbeya kwa tuhuma za kuiba na...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili waangamizwa katika shambulio la anga la Israel

    Shambulizi la anga la Israel limewaangamiza Mahmoud Abu Nar, mwanachama mkuu wa Harakati ya Mujahidina aliyehusishwa na utekaji nyara wa familia ya Bibas. Na pia Wapalestina wanaripoti kuangamizwa kwa Mahmoud Abu Naar, mjumbe wa baraza la kijeshi la Mujahidina Brigedi na kamanda wa Gaza ya...
  10. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mnaomshambulia Abbas Tarimba, anajua uchungu wa mwana kuliko nyie, alishawahi kupoteza watoto wawili kwa mpigo

    Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

    Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?. Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema . Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO...
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tusichanganye kati ya Right Hand Man wa tajiri na Chawa wa tajiri. Hawa ni watu wawili tofauti!

    Right Hand Man ni mtu wa kuaminika, msaidizi wa karibu ambaye hukusaidia kutimiza malengo na shughuli zako. Anawajibika kwa spidi ya mategemeo yako. Ni mtu ambaye anaweza kumudu kazi za maana, na anakushauri kwa uaminifu bila kujali maslahi yake binafsi. Chawa, kwa upande mwingine, ni mtu...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Arusha 620,000 Mbunge mmoja Mbeya 540,000 wabunge wawili.

    Tume huru imekuja na mgawanyo wa majimbo. Arusha idadi ya watu 620,000 ina jimbo mmoja la uchaguzi. Mbeya idadi ya watu 540,000 majimbo mawili ya uchaguzi. Huu ni mfano mdogo ambao unadhihirisha tume yetu huru ya uchaguzi si tume huru hata kidogo. Ngongo kwasasa Kwamromboo 🐐
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari wawili wafariki kwa kupigwa na radi Simanjiro

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara Kamishna msaidizi Mwandamizi SACP Ahmed Makarani amethibitisha kufariki kwa Askari wawili wa Kikosi cha usalama barabarani, waliofariki kwa kupigwa na radi wakati wakiendelea na majukumu yao ya udhibiti wa usalama. Tukio hilo limetokea katika Mji Mdogo wa...
  15. dorge

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na shemeji wawili. Mmoja alikimbia mapema

    Huyu dogo ana 30s nashangaa kwann Hawa watoto wanaishi kama digidigi. Ni wawili hawana kazi mmoja ana 29 na kaakaaake na 33. Wanaishi kwa dadaayao ywaninkwangu. Huwa nampelekeanmoto da da yao na wanasikia. Hikinkizaz Cha kijinga sana. Unaona dadaako anwliwa na unakaa hapohapo. Mmoja...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Habari zenu wakuu? Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis. Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki. Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Familia yako imetekwa na unatakiwa kuchagua watu wawili wa kwenda nao kuokoa familia

    Familia yako imetekwa na kundi la wahalifu na unatakiwa kwenda kuwaokoa, katika hii orodha unapaswa kupata watu wawili wakusaidie katika kuokoa familia yako. Utamchukua yupi na yupi? Binafsi nitamchukua John Wick pamoja na John Rambo.
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kwa wastani kila mwaka wanakufa wabunge wawili

    Bunge la 12 limepoteza wabunge 10,ndani ya kipindi cha miaka mitano,wastani wawabunge wawili kwa mwaka. Halu ni hiyo hiyo kila bunge Wabunge na watia nia hawapendi kusikua habari kama hizi za kutishana Tuwaombee bunge lijalo asife hata mkoja ili vaada ya miaka mitano tuwaulize wametufanyia...
  19. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Watu hawa wawili mnawachukuliaje

    Mwanamke ambae anakazi ya kuhongo mwanaume akijua kabisa hapendwi na hajawai kula ata mia ya mwanaume huyo kiufupi mwanaume kashamuonesha kuwa hamtaki ila yeye ndio kamganda na kumuonga juu Huyu mimi namuona mwanamke ambeye hajiamini na muoga wamaisha mwanaume ambaye anahonga mwanamke uku...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
Back
Top Bottom