wawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
  2. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tukipeleka umeme vijijini, tutaua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kupata nishati ya umeme na tutatengeneza fursa nyingi zitokanazo na umeme

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi. Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki. Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya Wanamichezo hawa Wawili wa Tanzania nani amechanganyikiwa akili na nani anaonyesha kuwa Kichwani zimekamilika?

    Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tusaidiane kupima Akili za hawa Watanzania Wawili ili tujue nani ni Mwerevu sana na nani ni Kilaza mno

    Mtanzania wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA. Mtanzania wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa Maandishi...
  5. JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

    Hili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo? Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant." Kama kweli basi...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto Wawili Mapacha wamefariki Dunia wakati Mama yao akiwa busy live Facebook

    Watoto wawili mapacha wamefariki dunia baada ya kuporomoka kutoka ghorofa ya kumi wakati mama yao akijivinjari LIVE katika mtandao wa facebook. Mapacha hao Moise Petrice wa kiume na Beatrice Petrice pacha wa kike wamekumbwa na umauti huo baada ya kudandia katika dirisha lililokuwa wazi. Tukio...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki

    Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa ajali hiyo imetokea jana Septemba 8, 2021 saa 3:20 usiku. Amesema ajali hiyo imetokea katika barabara ya mwendokasi eneo la Lumumba kwenye taa za kuongozea magari. Ameitaja pikipiki yenye namba za...
  8. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watatu wakamatwa kwa kufanya Biashara ya kusafirisha Watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwasafirisha watoto wenye umri wa miaka 10 na kuwapeleka kutumikishwa kazi majumbani, kilimo na ufugaji katika maeneo mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema leo Septemba 7, 2021 wakati akizungumza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alpha Homes inahitaji wafanyakazi wawili (Accountant na Civil Technician).

    Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician. Sifa za waombaji; 1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kimenuka huko morocco:kocha msaidizi na wengine wawili waacha kazi uto

    Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao. Mbali na kocha msaidizi lakini pia mtaalamu wa mazoezi ya viungo Jawad Sabri na daktari wa viungo Fareed Cassem kwa sababu mbalimbali...
  11. JamiiForums Tanzania Mafyongo Ikulu: Wakurugenzi wawili wameteuliwa sehemu mbili tofauti

    1. Lutengano George;- kateuliwa Wilaya ya Bukombe-Geita na Wilaya ya Misungwi-Mwanza (21&108) 2. Dollar Rajab Kusenge naye kateuliwa Wilaya ya Kasulu -Kigoma na Wilaya ya Njombe- Njombe-. (46&115) Ikulu hawako serious. Zaidi, soma: News Alert: - UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Simba: Wako wapi wawekezaji wengine wawili waliotajwa kwenye kanuni za Tume ya Ushindani?

    Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days? Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto wawili wauawa Nzega, ng’ombe zachukuliwa

    Tabora. Watoto wawili wenye umri wa miaka kumi na mbili wameuawa na miili yao kuzikwa ndani ya nyumba baada ya kurubuniwa na kuchukuliwa ng'ombe walizokuwa wanachunga. Tukio hilo limetokea mwishoni mwa wiki eneo la Ndala wilayani Nzega usiku wa kuamkia jana Jumapili Julai 11, 2021. Kamanda wa...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wawili wa karibu Ikulu aliyekuwa rais Haiti kuhojiwa kuhusiana na njama za kumuua

    Wanajamvi habari za weekend Maafisa wa karibu ya ikulu Haiti Wako kizuizini wakihojiwa. Ni Jean Liguel Civil. Huyu alikuwa mkuu wa Rais Jovenel Moise security Coordinator. Anabinywa sasa hivi sehemu salama. Mwengine ni Dimitri Hérard, head of the General Security Unit of the National...
  15. JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kushirikiana na Sabaya mbaroni

    Watu wawili wanaodaiwa kushirikiana na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kufanya matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwamo makosa yajinai wanashikiliwa na polisi mkoani Kilimanjaro. Kaimu Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Kilimanjaro, Arterio Kawonga...
  16. JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi awa Katibu Mkuu UVCCM

    Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Kenani Kihongosi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM)...
  17. JamiiForums Tanzania Kisa cha ''magaidi'' wawili: Sheikh Ramadhani Rajab Chambuso na Sheikh Ahmada Kidege

    KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE ''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha Qur'an. Jibu likatoka kuwa hakuna anaewalipa ila wanaifanya kazi hiyo ili Allah awaridhie na kesho kiama...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

    Sheria za Olimpiki za Tokyo zinasema kwamba ili mwanariadha kufuzu kuenda Tokyo itabidi akimbie 100 metres chini ya sekunde 10.05. Wakenya wawili wamefikisha muda huo. Yaani kuanzia marathon hadi 100 metres this time tunajaza nafasi kote kote. Malazy endeleeni kulala
  19. JamiiForums Tanzania Kazi: Wanahitajika wadada wawili wa delivery

    Habari JF Narudi tena kwenu baada ya kupata wadada wa awamu ya kwanza kazi ya kuserve, Tunaendelea kupeana liziki nahitaji wadada wawili tena wa kutafuta oda za chakula hapa Dodoma twn na kusambaza. Ni kazi ambayo ina target yake angalau kwa siku upate angalau oda 30. Mshahara ni 220000 kwa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Kuna habari zinasambaa kuwa viongozi wawili wameachiwa na wapo huru. Habari zaidi zinasema mmoja wa viongozi hao ameoneka kwenye picha akiwa na Familia, mwenye taarifa zaidi plz. TAARIFA KAMILI YA KESI HII: - Breaking News: - Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, wawili waachiwa huru huku wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…