MUISLAMU: USIKALIE MATUSI
Ambayo yanakupeleka jehanam
Kuukosoa Ukristo mlianza ninyi pale Mnazi mmoja hasa mwaka 1996 ambapo Mazinge alikula kofi zito kwa ahadi yake mwenyewe. Baada ya hapo mkaanza kufunga spika hadi karibu na makanisa. Mkasilimisha Wakristo wasio na ufahamu. Mwaipopo naye...