waungwana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  2. M

    Waungwana kama kanji hana mnara huyu jamaa ajengewe mnara chapu

    Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie Ina maana kesho naenda kazini by foot. Shikamoo kanji
  3. R

    Jeshi la polisi, nisikilize hapa kidogo, walinzi wetu na mali zetu

    Mnawaumiza wanaotetea haki, amani na rasilimali za nchi YENU/YETU kwa manufaa ya WANAMTANDAO na vizazi vyao/marafiki zao. Upinzani mnaouumiza unawatetea hata nyie. Mnaambulia laana na makombo, wakati watoto wa wana mtandao wanaendesha Bughatti, Citroen, Feralli, ..... and the like. Bado kidogo...
  4. Tambua Utapeli Mbalimbali Mtandaoni - Sitapeliki

    Karibu Wadau wa JamiiForums! Kama mpenda teknolojia na mtafiti wa masuala ya usalama mtandaoni, leo nimekuja kuwafunua kuhusu utapeli unaosambaa kwa kasi katika dunia ya kidigitali. Najua kuna watakao pokea elimu hii kwa mikono miwili, lakini pia kuna wale watakao pinga kwa ubishi na ujuaji...
  5. Naombeni kuuliza waungwana

    Kwa mfano kesho trh 12 June 2025 vijana waliochanguliwa polisi wanatakiwa kureport katika shule ya mafunzo ya polisi pale moshi, nina mwanangu anavigezo na hakubahatika kuchaguliwa, je nikisema nimnunulie requirements zote zinazohtajika waliorodhesha polisi then na yeye akaungane na hao...
  6. Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana

    Dada yangu anapitia kipindi kigumu anaomba ushauri wenu waungwana. Ana mume na wamejaliwa mtoto mmoja. Dada ameajiliwa sekta binafsi mshahara wake ni wakaida sana, Mumewe kwasasa amepunguzwa kazini hivyo ni jobless. Sasa Changamoto ni kwamba huko kazini Bosi anamtaka Dada kimapenzi, anamsumbua...
  7. Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

    Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau. Sasa anayejua yuko wapi...
  8. Msaaada wa haraka waungwana.

    Mimi kama mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba ushauri kwa ndugu zangu wenye experience kubwa ya maisha. Kutokana na tatizo la ukosefu wa ajira, tunatakiwa kutafuta taaluma zingine za vitendo ili tuweze kujiajiri. Zifuatazo ni fani ambazo nataka kuzisoma. 1.Fokolitf operator 2.ufundi wa...
  9. Hivi waungwana hii Stendi ya Nzega Mjini ndio ya Sh Bilioni 4 kweli? Au mimi sijui kuthaminisha vitu!

    Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii? Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
  10. Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  11. Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

    Wako wapi wanawake wife material?
  12. Hivi hiki Kiberiti Toyota Vits Engine 1 KR CC 990 vipi uimara wake kwa matumizi ya Mjini

    Natumai mpo vyema nyote wanajukwaa.Naombeni msaada kwa mwenye uzoefu na hivi VIBIRITI a.k.a BABY WALKER😁😁 Toyota vits ya 2013 engine 1KR CC 990. Natafuta kigari cha kuagiza Japani ila nimezurura huko beforward nimeona kukiagiza kanachezea millioni 8 na vichenchi kadhaa mpaka hapo Daslam...
  13. B

    Kozi ya Nursing and Midwife

    Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu Civics D, His F, Eng D, Chem D Biol C Kisw C Marh F Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
  14. K

    Mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu nataka kufanya biashara ya viatu vya kike. Naombeni ushauri

    Habari waungwana mimi nikijana ambae nimeshindwa kuendelea na chuo, na ninamtaji wa laki tatu na ninaitaji kufnya biashara ya viatu vya kike nifanyaje
  15. R

    Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
  16. T

    Nimepata mkopo Tsh 300,000. Naomba ushauri nini cha kufanya

    Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
  17. Waungwana nateketea

    Habari wakuu! Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo. Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa anafamilia yake tang zaman kwahiyo alkuw na huyu mwanamke kama mchepuko wake lakin baad ya mwez kupita...
  18. Nipo kwenye mahusiano ila mwanaume wangu ana kipato kidogo. Naombeni ushauri nifanyaje?

    Kuna mwanaume, tuna mahusiano tuna miaka miwili Sasa kwenye mahusiano, nampenda natamani tuanze familia. Kila nikiwaza kipato chake kinanikatisha tamaa mimi. Nina kipato Kwa Sasa hata kusomesha hao watoto tutakaopata lakini nikiwaza vipi kama nikifa ataweza kuwasomesha wanangu? Au wataishia...
  19. Simulizi za Waungwana: Kuku anayeatamia mayai ya mamba hujitafutia matatizo

    YAI Kwa kuwa alikwa mwanae,Chuwa hakumwita mwizi bali,alimwita mdokozi. Chuwa akasahau ya kuwa, kile kinachofanywa na mwanae hakina tofauti na kilichofanywa na kina fulani ila kwa kuwa mwanae ameiba mboga madhara ya wizi wake yanaiathiri familia tu na kwa kuwa kina fulani wameliibia...
  20. Simulizi za waungwana: Si kila asemaye asante basi katendewa wema

    ASANTE Baada ya kugundua mumewe anamsaliti, mke wa chuwa alimtazama mumewe usoni. Akamsogelea karibu zaidi, akambusu shavuni, kisha akamwambia “Asante sana mume wangu” Tofauti na busu la mkewe, ambalo lilimkumbisha Chuwa busu la Yuda kwa Yesu. Asante ya mkewe,ilimweka Chuwa njia panda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…