wauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Askofu Michael Msonganzila: Wauaji wa Albino walipatikana kwa urahisi sana, kwa nini wauaji wa watu wengine ndiyo hawapatikani?

  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kama wapalestina wenyewe wanasema hivi wewe Mwarabu-koko unapata wapi ujasiri wa kutetea Magaidi wauaji?

    Mpwa wa gaidi wa Kipalestina azungumza na kumaliza mabishano ya Wapalestina.
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awamu ya Kikwete ndio mzizi wa kuharibu mifumo thabiti ya Taifa hili kwa Maslahi yao

    Kwa Watanzania wenye umri wa makamo kama wangu, tunakumbuka kuwa, tangu Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu baada ya Bunge kuvunjwa madaraka ya Wabunge na Mawaziri yalikuwa yana seize mara moja huku nchi ikiendeshwa na Makatibu Wakuu. Pia mfumo wa kukaimu madaraka ya Urais uliwatambua Spika na...
  4. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania WARAIBU WENGI HAWAPENDI HUACHE VILEO

    Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe. Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Simba inaanguka taratibu na wauaji wake ni hawa hapa

    Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii. Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa moja katika kuishusha Simba taratibu lakini kwa uhakika Wa kwanza ni mwekezaji ambaye bila kupepesa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Watekaji Na Wauaji Wanaofahamika Wasiruhusiwe Kuingia Kanisani, Labda Kama Wanaenda Kutubu.

    Ni jambo lililodhahiri kwa wengi, juu ya nani ni watekaji na wauaji wa watu wanaowakosoa watawala. Bahati mbaya sana hawa wafuasi wa shetani, wanafanya kila jitihada kuubariki uovu wao kwa kwenda kwenye nyumba za ibada ili kuuficha au kuuhalalisha uovu wao. Na hawa ndiyo mara nyingi wakienda...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi liache mara Moja kuwafanya Watanzania Wajinga, Kama ni hizi sababu zenu, Kwanini hamuwakamati hao Watekaji na Wauaji?

    Inatia sana Hasira kuona Chombo Cha Dola ambacho kinawajibika kuhakikisha Usalama wa Raia, kinakua Cha kwanza Kutafuta sababu za kipuuzi kabisa na ambazo ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuzikubali kuhalalisha Utekaji ,na Mauaji ya Raia Nchini. Padre KITIMA nusura auwawe, kwamba ni wivu wa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Askofu Msonganzila: Wauaji wa albino walipatikana kwa urahisi sana, kwanini wauaji wa watu wengine hawapatikani?

    "Roho wa Bwana hataruhusu hayo, anapenda amani iwe kwenu. Hakuna amani bila haki na kama amani itakuwa kwenu, haki ni msingi wake, Roho Mtakatifu anataka awafariji hawa waliopoteza waume zao, wazazi wao, atawafariji namna gani kama hatuwajui, hatujui mfumo wao wa kuuwawa, na kwanini yanatokea...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dodoma kumekucha, CHADEMA yatikisa ngome ya CCM. Mamia wamsindikiza John Heche wakiimba 'CCM wauaji'

    Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema. No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu. Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mchungaji SDA akemea vikali wanaoteka na kuua watu asisitiza damu za waliouliwa zitawalilia wauaji Milele, asema kiongozi lazima akosolewe

    Huu Sasa ndio Utume na Injili!! Mchungaji wa Kanisa la waadventista wa Sabato Kinyerezi Maotola John Lumbe amesema wanaothubutu kukatiza uhai wa watu damu zao zitawalilia akisema 'inakuweje wewe unaenda kumuondoa mtu uhai wake, unampoteza mtu watoto wake wanalia mke wake analia mama yake anali...
  11. E

    JamiiForums Tanzania CCM inaungwa mkono na vyama vya kikomunisti tu?

    Katika mkutano mkutano mkuu wa CCM unaoendelea jijini Dodoma, karibu vyama vyote vilivyotoa salamu hapa ni vya kikomunisti. Vyama vilivyotoa salamu ni pamoja na Russia (All-Russian Political Party United Russia), China (CPC), Communist Party of China (CPC), Korea Kaskazini Korean Workers' Party...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akifa leo wauaji ni serikali ya Samia

    Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya...
  13. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao, Kila kukicha ni matukio ya kutekwa na kuuawa

    Watanzania wamekuwa wakimbizi kwenye nchi yao. Wanapigwa,wanauawa. Kila kukicha ni matukio ya kutekwa na kuuawa. Watanzania wanafungwa gerezani. Tazama masikini wakosoaji wa serikali wanavyokufa. Vijana wanafungwa, wanavunjwa miguu na viuno. Wanatupwa maporini ili waliwe na wanyama wakali,ili...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Nilizaaga nje nina uhakika wife hajui sasa nimerudi leo nimekuta picha ukutani na mtoto niliyezaa nje

    Nmeikuta Mahali jaman...nmecheka hatar😂😂😂 ila wanaume🤣🤣🤣🙌 Simulizi habar kuna mtoto nilizaaga nje nina uhakika wife hajui kama nilizaaga nikawa natunza kwa siri. Sasa nilisafiri na mtoto na mama yake kikazi wife akiwa nyumbani na nikawa na uhakika hajui kitu. Simulizi nimerudi leo nafika...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa usalama itamar ben gvir chama chake kujitoa Serikali ya mseto Israel apinga mkataba kusitisha vita utakaoruhusu magaidi wakubwa kuwa huru

    Wadau hamjamboni nyote? Itamar ben gvir ni waziri wa usalama Israel na Kiongozi wa chama cha Otzma Yehudit Anapinga makubaliano kusitisha vita na Hamas akidai Hamas watanufaika zaidi kwani magaidi 1,700 wataachiwa huru na hivyo kwenda kujipanga upya Asema kuwa makubaliano haya yanafuta...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  19. Knock life

    JamiiForums Tanzania Karma ni hatari wakuu, hakikisha unakuwa makini hasa nyie wauaji

    Nafikiri mmejionea wenyewe karma ilichomfanyia mtu wenu ambae baadhi yenu mlifika hatua ya kumfananisha na Mungu.
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nikashangaa kama waliomuua mtumishi TRA watajulikana kabla ya wauaji wa Mzee Kibao

    Kwanza nalaani haya mauaji yote Mauaji yote chanzo ni hapo Tegeta Wananchi kuchukua sheria mikononi na kuuwa sio jambo zuri, wote tunalilaani Mzee Kibao alikufa Toka mwezi September hadi Leo hatujaona hao watekaji na wauaji wa Mzee Kibao kukamatwa na japo waliacha kila alama. Mzee Kibao...
Back
Top Bottom