Kwa level ya Taifa, ukimpa mwananchi umeme, barabara, huduma za afya, maji safi, elimu bora nk, unampa uwezo wa kukuhoji utendaji wa serikali, ila Ukimwacha na njaa, unakuwa umempa kazi moja tu, kupambana kesho ale asife.
Hii ina apply pia kwa maboss wetu maofisini. Wengi sana wanafanya maksudi...