watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly Ntate Ampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa Miaka Miwili Madarakani kwa Aliyoyafanya kwa Watumishi

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Watumishi Sant Clara wangaliwe, watakuja kuua

    Jamani siku moja nilienda Katika Hospitali ya Sant Clara ambayo iko Mkolani Jijini Mwanza kwaajili ya Matibabu ya Mke wangu, baada ya kufika tulianzia mapokezi ambapo tuliandikiwa vitu vya kufanya tulianza na vipimo, tukapima vyoote tukamaliza, baadae tukaruhusiwa kwenda nyumbani salama kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly James Ntate azungumza na Watumishi Ofisi ya RAS Dar es Salaam

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI MHE. JANEJELLY NTATE AZUNGUMZA NA WATUMISHI OFISI YA RAS (KATIBU TAWALA MKOA) DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 08 Machi, 2023 amezungumza na watumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kikao...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mikopo kupitia pension kwa watumishi wa umma bado ipo?

    Habari za muda huu waungwana? Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na utaratibu wa mtumishi wa umma anapofanya kazi na kukatwa pension kwa miaka 15+ anaweza kukopeshwa sehemu ya pension yake na mfuko anaouchangia. Je, utaratibu huo bado upo? Najua humu wapo wajuzi wa mambo mengi na bila shaka...
  5. JamiiForums Tanzania Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wasiozingatia Maadili Kuchunguzwa

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama ameiagiza Tume ya Utumishi wa Umma nchini kufuatilia kwa karibu Halmashauri zote nchini na kubainisha Halmashauri ambazo hazizingatii maadili ya utendaji kazi katika utumishi wa umma ili waweze...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA, itabidi baadhi ya Ofisi, idara zake na watumishi zihamishiwe Ubelgiji

    Kwa kuwa ni dhahiri kwamba Lissu hawezi kukaa Tanzania kwa zaidi ya mwezi, endapo CHADEMA itathubutu kumpa uenyekiti wa chama, itabidi baadhi ya idara na watumishi wapate uhamisho wa kuhamia Ubelgiji, vinginevyo baadhi ya shughuli zitakwama, na itabidi maafisa na myaraka ziwe zinaoanda ndege...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA Kinondoni ni shida

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NIDA ni ufahamu mdogo wa baadhi ya watumishi au Rushwa?

    Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini. Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
  11. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya Watumishi wasio waadilifu TANESCO wachukua rushwa ya laki tano

    Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua! Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili apatiwe huduma ya umeme! Watumishi hao walifika katika nyumba ya NJAU wakiwa gari la TANESCO na...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu: Udanganyifu wa Mitihani ni sawa na uhujumu uchumi, Watumishi watakaobainika watafukuzwa kazi

    Prof. Adolf Mkenda akiwa katika mkutano na waandishi wa habari Dodoma, leo Februari 8, 2023, amesema: “Gharama za kuendesha mitihani ya kitaifa ni kubwa, kufanya udanganyifu ni sawa na uhujumu uchumi hivyo watumishi wa umma watakaobainika kushiriki katika udanganyifu wa mitihani hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge ashauri ajira za watumishi wa umma ziwe za mikataba

    Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na kuchunguza hizi 'Sick Sheet' za ujauzito kwa watumishi, asilimia kubwa ni za mchongo

    Ndugu Habari za wakati. Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo. Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Lissu umeshindwa kuwazungumzia watumishi walioshushwa mishahara na Mwendazake

    Nilitegemea ujio wako Tanzania, ungefanikisha kuwasemea wale wote walioshushwa mishahara yao na mwendazake. Nikuombe mkutano ujao wasemee katika hili ikiwezekana Rais aweze kuwarudishia mishahara yao Nawasilisha
  16. JamiiForums Tanzania Iweje Rais ateue walimu Ukuu wa Wilaya ikiwa Sheria inataka watumishi wa umma wasiwe wanachama wa vyama vya siasa

    Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihusishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia. Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
  17. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Meneja wa NHIF Dodoma na Watumishi waliokiri kuiba fedha hawajachukuliwa hatua za kisheria na kinidhamu

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri wa Afya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. Mwaka 2022 zililipotiwa taarifa za Wizi wa fedha za Umma zilizosganywa na Meneja wa Mkoa wa Dodoma pamoja na Watumishi wa Mkoa huo kufanya ubadhirifu wa fedha za...
  18. JamiiForums Tanzania Hazina acheni kuitumia CRDB na kuiacha NMB. Watumishi mmeona kinachoendelea

    Watumishi wa serikali wale ambao mishahara inapitia bank ya CRDB kuanzia saa tano salary imesoma ila wale wa NMB mpaka Sasa hakuna jipya Maswali Kuna Nini nyuma ya haya mambo zamani CRDB mtumishi akiomba loan walikuwa hawana masharti ya mshahara upitie bank yao ila Sasa hivi CRDB hawatoi loan...
  19. JamiiForums Tanzania Kigogo wa SMZ asema Watumishi wa umma kuanzisha mijadala ya kukebehi, kudharau mwelekeo wa Serikali ni kosa

    AFISA Mdhamini Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Thabit Othman Abdalla, amewataka watumishi wa umma kisiwani Pemba, kutoungana na watu wengine, katika kukebehi na kudharau mipangano, sera na mikakati ya serikali, kwani kufanya hivyo ni ukiukwaji wa maadili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushirikina wa wamiliki wa baa na grocery unaligharimu taifa. Serikali iingilie kati, watumishi wa umma wanamalizwa

    Watumishi wanarogwa na kusahau familia zao. Wanabaki kuwaza urabu na mbunye za mabaamedi. Wanashindwa kufanya maendeleo ya taifa lao. Wanapigwa vipapayu. Hapa bila serikali kuingilia kwa kudhibiti watumishi wataisha. 👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…