watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

    Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
  2. S

    Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
  3. Z

    Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

    Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo. 1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa. 2. Wanasiasa wenye uchu...
  4. Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni

    Watumishi wengine elimu zao ndogo lakini wanataka kulipwa mamilioni. Ni huzuni. Certificate anataka kulipwa milioni moja kwa mwezi. Diploma naye hivyo hivyo. Solution hapo ni kurudi shule tu ili ujipandishie mshahara mwenyewe.
  5. Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  6. Watumishi wa Umma, Toshekeni na mishahara yenu

    Wasalamu wana Jf, Katika hizi siku mbili kumekua na mixed feelings kuhusu ongezeko la mshahara lililosubiriwa kwa takribani miezi mi-tatu. Wapo wanaona ongezeko hilo ni dogo na ni mockery kwa "watumishi wa umma", pia wapo wanaodhani hao watumishi hawastahili, si tu ongezeko, bali hata hiyo...
  7. Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

    Nafahamu tu: (a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa; (b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa; (c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya. SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
  8. P

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  9. Rais Samia aliweka wazi kuhusu ongezeko la mshahara, 23.3% ni kwa kima cha chini tu. Watumishi acheni lawama mara moja

    Baada ya kuzunguka huko na huku hatimaye wamejua ongezeko la mshahara, lawama zimeanza na wengine kuanza kumshambulia Rais. Hii haikubaliki hata kidogo. Raisi aliweka wazi ongezeko la mshahara kwa 23.3% ni wale wa kima cha chini, Ila kutokujua kusoma na kuelewa kwa watumishi kukafanya ionekane...
  10. Kwa nilichokiona leo, Watumishi wa Umma wategemee nyongeza ndogo chini ya 10% na sio 23 kama wanavyotarajia

    Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na...
  11. Watumishi kutemwa kwenye ajira za Sensa 2022 ni jambo la afya sana

    Tuwe na huruma ndugu zangu, tusiwe na mioyo migumu kama korosho. Maelfu ya vijana wapo mtaani hawana ajira, wewe mtumishi wa umma , sekta binafsi ama uliye na biashara zako unang'ang'ana kuomba hizo ajira za muda mfupi (Siku 21 hadi 35)! Huna aibu? Serikali imefanya jambo jema sana. Watumishi...
  12. N

    Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
  13. Ni sawa Watumishi kukatwa kwenye zoezi la Sensa 2022

    Mimi binafsi nimefurahi sana baada ya kuona watumishi walioomba kazi ya Sensa wame wakatwa majina yao. Hii inaonesha dalili nzuri ya kutoa nafasi kwa vijana ambao bado hawana ajira wajipatie mitaji yao na Zaidi kutokana na fursa zinazotolewa na serikali. We umeajiriwa una uhakika wa hela kila...
  14. F

    Watumishi wa Umma kucheka au kulia

    Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023. Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi...
  15. N

    Penati nane za Rais Samia katika maslahi ya watumishi

    Hakika, Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Ni ile kauli ya Mama Anaupiga Mwingi usidhani ni msemo tu, sasa hebu tazama jinsi Mama alivyoweka historia katika maslahi ya watumishi wa umma ndani ya muda mfupi tu tangu ashike hatamu. Uchumi wa Dunia unapoyumba hakuna nchi inayobaki salama. Baada...
  16. J

    Unaweza kukuta kodi na Tozo tunazolipa zinaishia kulipa Mishahara na Posho za Watumishi!

    Nipo hapa Mwenge nafanya utalii wa ndani kwenye Stendi mpya ya Daladala. Kwa haraka haraka naona hapa patahitajika mwekezaji wa kumalizia kama ilivyokuwa pale Stendi ya Makumbusho Ndugu zangu juzi kodi na Tozo tunazolipa zinaishia wapi? We
  17. E

    USHAURI: Watumishi wa umma wapewe likizo miaka 3 wakajiajiri

    Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
  18. Waziri Dkt Stergomena akabidhi zawadi za Wafanyakazi Bora kwa watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), amewataka watumishi wa Wizara ya Ulinzi na JKT kuendeleza utii, weledi na uaminifu katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi, na kuepuka migogoro mahali pa kazi. “Pamoja na kuwa sina mashaka kuhusu nidhamu mliyonayo...
  19. Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
  20. Kwanini watumishi wengi wa Umma sio wabunifu?

    Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…