Kwanini watumishi wengi wa Umma sio wabunifu?

Kuna jamaa sngu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer
Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
Hivi unajua ajira serikalini mara nyingi hakuna interview?
 
Kwanini watumishi sio wabunifu?
SABABU....
1. Hufanya Kazi kwa maelekezo ya boss wao, kama huyo Muhasibu humsikiliza DT na DED

2. Hufanya Kazi kwa maelekezo ya Baraza la Madiwani, hivyo kama baraza lenu ni vilaza then output ni hafifu

3. Huwezi kujifunza mifumo ambayo ipo nje ya Utumishi wako, mfano; huyo jamaa Ako hawezi jifunza Tally, ERP, QUICK BOOK, PASTEL PARTNER wakati kaelekezwa kutumia MUCE tuu.

Kifupi tunafata maelekezo.
Maelekezo ya kufanya sawasawa na maelekezo yenyewe.

#YNWA
 
Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer
Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
Kwahiyo kutojua kutumia Account Package ni ukilaza??? Aiseee, kama amejifunza na akawa bado hajui una haki ya kumuita kilaza, ila kama hajajifunza huna haki ya kumuita kilaza bali ni mzembe tu ambaye ameshindwa kujiongeza akajua mfumo huo.

Vinginevyo ni chuki tu ambazo hazikusaidii.
 
Kazi zao hazina presha ndio maana hawawezi kuwa wabunifu na kufanya kitu cha ziada nje ya box kukuza kazi wanayoifanya, ingekuwa kazi za serikali ni mkataba wa miaka kadhaa halafu unaweza ku-renew kutokana na bidii yako bc kila mtu angekuwa mbunifu.
 
Siku wakianza kupewa kazi za mikataba watakua tu wabunifu...mtu anauhakika ht akiboronga hakuna wa kumtimua zaidi ya kumuhamisha atahangaika vp kua mbunifu?
Until then wazoee tu.
 
Kazi zao hazina target, kazi zao nyingi ni hakikisha huduma imetolewa unategemea ubunifu gani
 
Kuna jamaa angu kaajiliwa huko halmashauri kama account officer
Jamaa ni klilaza.hajui hata kutumia account package yeyote.
Kutokujua accounting package siyo ukilaza,wewe unajua kutumia MUCE au epicor?? Serikalini kuna mfumo maalum ambao nauhakika kama mhasibu wa serikali anaufahamu,ww kama unatafuta ajira ndo inabidi ujifunze mifumo yote sababu hujui utaangukia wapi,
 
Kazi zao hazina presha ndio maana hawawezi kuwa wabunifu na kufanya kitu cha ziada nje ya box kukuza kazi wanayoifanya, ingekuwa kazi za serikali ni mkataba wa miaka kadhaa halafu unaweza ku-renew kutokana na bidii yako bc kila mtu angekuwa mbunifu.
neno zuri sana .. ..
 
Kwanini watumishi sio wabunifu?
SABABU....
1. Hufanya Kazi kwa maelekezo ya boss wao, kama huyo Muhasibu humsikiliza DT na DED

2. Hufanya Kazi kwa maelekezo ya Baraza la Madiwani, hivyo kama baraza lenu ni vilaza then output ni hafifu

3. Huwezi kujifunza mifumo ambayo ipo nje ya Utumishi wako, mfano; huyo jamaa Ako hawezi jifunza Tally, ERP, QUICK BOOK, PASTEL PARTNER wakati kaelekezwa kutumia MUCE tuu.

Kifupi tunafata maelekezo.
Maelekezo ya kufanya sawasawa na maelekezo yenyewe.

#YNWA
Nadhani hili ndilo jibu sahihi maana halmashauri nyingi yaani sio tu uhasibu hata fani nyingine kuna shida, ila mara nyingi sio kosa lao kwa kuwa wengi huanza na moto wa kujituma lakini akianza kuletewa mambo ya baraza la madiwani na vikao vya WDC huku akiona kabisa ni kinyume na uweledi anaanza kulegea. Shida inaanza akizoea kazi na asiwe anajiongeza ndio basi tena anakuwa mtu wa kuvizia michongo
 
Kutokujua accounting package siyo ukilaza,wewe unajua kutumia MUCE au epicor?? Serikalini kuna mfumo maalum ambao nauhakika kama mhasibu wa serikali anaufahamu,ww kama unatafuta ajira ndo inabidi ujifunze mifumo yote sababu hujui utaangukia wapi,
ni MUSE wakuu[emoji23][emoji23][emoji23] msipotoshe maana
 
Kwa nini wawe wabunifu? Kitu gani hasa cha kuwasukuma wawe wabunifu?
 
Back
Top Bottom