watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko: Tumepata kibali cha kuajiri watumishi 570 TANESCO kwa mwaka 2024/25

    "Hoja nyingine imekuwa ni upungufu wa wafanyakazi ambayo Waheshimiwa wabunge wameeleza, nataka nitoe tu taarifa kuwa tumepata kibali cha kuajiri watumishi 570 kwa mwaka 2024/25, utaratibu unakamilishwa, watumishi hao waweze kupangiwa majukumu yao. Serikali pia imepanga kuajiri watumishi wengine...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma na machawa msipojenga vighorofa awamu hii ya maza basi tena

    Yaani hakuna wa kumsumbua mwenzake. Mtu akipata mwanya anazichota tu. Aiseee hatari. Ndio maana sasa hivi mtu anaanzisha campaign yake yoyote anaibatiza tu kwa jina la mama anakwenda kuchukua pesa Mimi nataka nianzishe campaign ya "mama kaupiga, 2025 njia nyeupe" Ukiwapigania Watanzania...
  3. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo ya Hazina kwa Watumishi wa Umma inachukua Muda gani Kupewa?

    Wasalam mabibi na mababu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, Toka mwezi March tarehe 24 kulitoka tangazo la mikopo ya Hazina isiyo na Riba kwa watumishi takriban Halmashauri Nyingi Tu Nchini, Dirisha la kuomba kupitia Hazina Portal liliwekwa mpaka Tarehe 5 April. Baada ya hapo kukawa na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
  5. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Jamani hawa watumishi wa umma wameishalipwa ili niende kudai madeni yangu

    Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza. Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Huu Ukoloni na umangimeza wa kuwalipa mishahara watumishi wa JWTZ mapema na kuwasubirisha watumishi wengine ukomeshwe..

    Katika moja ya mambo ambayo nchi yetu imerithi kutoka kwa wakoloni ni hili la kuwalipa mishahara mapema watumishi wa majeshi hasa JWTZ na kuwaacha watumishi wengine wakisota kwa muda inatakiwa ukomeshwe kama sio kupigwa vita kabisa. Sote tunafahamu kuwa katika nchi yetu kumeundwa vyama...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu spika: Bado gharama za matibabu zinawasumbua wananchi, ataka madaktari na watumishi kuwa na utu

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu ametoa wito kwa madaktari na wauguzi kote nchini kuwa na utu wanapowahudumia wagonjwa, hususan wale wanaoshindwa kulipia gharama za matibabu kwa wakati. Akizungumza bungeni leo Alhamisi Aprili 17, 2025 wakati wa kipindi cha...
  10. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Changamoto kwa watumishi walioko vijijini kufanya biashara

    Unajua, kuwa mtumishi wa umma, haimaanishi utaishi kwa kutegemea mshahara tu, inabidi ujishughulishe either na biashara au kilimo. Kilimo kwa mtumishi inawezekana lakini kwa kutegemeana na eneo husika. Watumishi wengi wanakuwa wanakimbilia kufanya biashara ili angalau kuongeza kipato chao. Iwe...
  11. The Cock

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Madaraja ya Watumishi na Mseleleko 2025

    Itakumbukwa mwaka jana watumishi walioajiriwa 2005 kurudi nyuma waliseleleka hadi daraja G by default bila kujali daraja alilokuwepo! Je, ajira za 2006 na kuendelea tukae mkao wa kula mwezi ujao?
  12. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Stori za watumishi (waajiriwa) wakiwa eneo lao la kazi

    Leo nawaletea stori nne (4) ambazo zinawachelewesha watumishi (waajiriwa) kwenye maendeleo binafsi. 1. KUSIMULIANA STORI ZA MPIRA, MAPENZI NA POMBE: Hii ni kwa watu wengi, lakini kwa wafanyakazi (waajiriwa) imeshamiri sana. Waajiriwa wanapokuwa kwenye uhuru wa kupiga stori hasa wakati wa Lunch...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Siku Watumishi wa NHIF Walipofundwa Kuhusu Umuhimu na Ulazima wa Kuzingatia Kanuni ya Kasi na Viwango: Unadhani Nani Alielewa Somo Hilo Kati ya Hawa?

    Pichani: Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF, Ndg. Eliudi Sanga, akitoa somo Kuhusu Nafasi ya Kasi na Viwango katika mduara wa utoaji huduma (service delivery cycle time) kwa watumishi wa NHIF hivi karibuni. "Service delivery cycle time" refers to the total time it takes to complete a service request...
  14. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  15. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

    Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu. Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa...
  16. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Nimekatiwa maji na watumishi kisa mita yangu inadaiwa tsh elfu moja na Mia Saba hamsini

    Wakuu, Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi, Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi iajiri watumishi watakaosimamia Uchaguzi Mkuu ambao siyo watumishi wa umma

    Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume yao ina watumishi wa kudumu mpaka ngazi ya Kata. Kusitokee tena figisufigisu ya miaka ya 2020 na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhaba wa watumishi wa afya unavyochochea rushwa Maswa

    Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya. Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa ya CAG watumishi wa serikali hawalipwi madeni yao, na bado wanashabikia serikali!

    Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea? nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rahim Mwanga: Kustaafu hakupaswi kuwa chanzo cha matatizo ya kifedha, Watumishi jifunzeni kuwekeza mapema

    Afisa Masoko Mwandamizi, Kampuni ya Uwekezaji ya UTT – AMIS, Bw. Rahim Mwanga, akitoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, yaliyotolewa na Wizara ya Fedha na Taasisi zake. Watumishi wa Umma na Sekta Binafsi wameshauriwa kujifunza kuhusu uwekezaji mapema ili...
Back
Top Bottom