watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu andaa hotuba kwa ajili ya Watumishi wa Umma na wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama

    Kwanza naomba kuanza kwa kukupongeza kwa mikakati yenu ikiwemo kuzungumza na Viongozi wa Dini ili kuunga mkono kazi nyeti mnayoifanya ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Taifa letu. Watu hawa ni wa muhimu sana na kongole nyingi kwenu kwa mikakati hii. Pili kuna kundi moja nchi hii naomba...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais, Utumishi imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu

    OFISI ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi hiyo, Deus Sangu ametoa agizo hilo...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mafao haya manono ya wabunge ukilinganisha na ya watumishi wa umma, tukisema wabunge ni wabinfsi tunakosea?

    MAFAO YA KIINUA MGONGO; WABUNGE WANAOGELEA. Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania ni Sh272 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu kama mbunge wa Bunge la Tanzania. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti maalum ni 113. Wabunge...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zainab Katimba: Serikali Kutoa Waraka Kwaajili ya Watumishi wa Umma Wenye Ulemavu

    Serikali inatarajia kutoa waraka utakao waelekeza wakurugenzi wa Halmashauri nchini kutekeleza miongozo inayowahusu watumishi wa Umma wenye ulemavu ili wapate mazingira rafiki na wezeshi wanapotekeleza majukumu yao. Kauli hiyo imetolewa Februari 06,2025 Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka zishughulikie changamoto za Mfumo wa ESS, zinatusumbua Watumishi tunashindwa kujaza taarifa kwa wakati

    Kumekuwa na changamoto kwa takribani wiki moja sasa kwenye MFUMO wa ESS (Employee Self Service) kushindwa kupakia majukumu ya kiutumishi kwenye kipengele kilichomo ndani ya mfumo huo cha PEPMIS (Public Employee Performance Management Information System) bila kujua changamoto hizo zinatokana na...
  6. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Kupunguza kero ya Watumishi kuhama, Serikali ingefanya yafuatayo kwa faida ya wote

    Tuliona ajira za afya mwishoni mwa 2024, Pia Tumeona ajira za walimu zimetoka kwa baadhi ya mikoa mfano Dar, Moro, Pwani n.k na utaratibu ni ule ule, wanakupanga popote, sio ulipoombea wala ulipo, Kwa nini Kabla ya kutoa post za allocation za vituo kwa ajira mpya, mfano wanajua Dar, Shinyanga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RETREAT YA CHADEMA: Azimieni kuwatetea kundi kubwa la Watumishi wa Umma kuhusu kupandishiwa Mishahara mtanishukuru baadae

    Kiukweli hili ni kundi kubwa sana sema kisiasa Wapinzani hawalipi Umuhimu unaostahili. Kundi hili limeathirika kwa muda mrefu sana toka kipindi cha Magufuli takribani Miaka 10 kuna watu hawajapata Nyongeza yoyote ya maana zaidi ya hizo elf 20 ilihali kiuhalisia Gharama za Maisha zimepanda...
  8. copyright

    JamiiForums Tanzania Kwanini UTUMISHI wamezuia watumishi wa umma kukopa?

    WanaJF salam! Kuanzia mwishoni mwa mwaka jana Utumishi ilizuia mfumo wa manual wa kupitisha makato kwa watumishi wote na kutaka mfumo wa kielectronic kupitia ESS pekee ndo utumike katika kukopa na kupitisha makato kwa maHRO. Sasa katazo hili ndo linasababisha watumishi kushindwa kuuza madeni...
  9. Intricate

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma washauriwa kufanya kazi nyumbani Tarehe 27/28 Jan. Sasa si bora watangaze siku mbili za mapumziko tu.

    https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
  10. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Serikali: January 27,28 watumishi wafanyie kazi nyumbani

    Kufuatia Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati utakaofanyika Januari 27 na 28 hapa nchini, Serikali imeelekeza watumishi wa umma katika Mkoa wa Dar es Salaam wafanyie kazi nyumbani isipokuwa watumishi ambao mazingira ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya...
  11. Mkongwe Mzoefu

    JamiiForums Tanzania Je Serikali imewadanganya Watumishi Vikongwe Wastaafu Kuhusu Ongezeko la Pension na Hamna Kitu?

    Mwezi Oktoba 2024 serikali kupitia Waziri Kikwete walitangaza kwa mbwembwe kubwa kuwa watumishi wote wastaafu wanaolipwa pension yao kupitia Hazina wataongezewa kiasi cha 50,000 kuanzia January 2025 baada ya kilio cha muda mrefu sana kuwa hiyo laki moja haikidhi lolote kwa wazee hao walio...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma someni hapa Kuna Ujumbe wenu muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Msije mkasema hamkujulishwa au hamkuambiwa mapema! Niwatakie siku njema!! Makonda, RC Dodoma,Mkurugenzi Moshi Manispaa na wengine wengi. ====== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake...
  13. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi”

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama ambavyo Sheria, Kanuni na Taratibu za utumishi wa umma zinavyoelekeza. Waziri Mchengerwa ametoa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi - Mhe. Mchengerwa

    WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka watumishi wa umma wanaohudumu chini ya ofisi yake kutojiusisha na shughuli za siasa kama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Madai ya Chuo Kikuu Huria (OUT) kutolipa Watumishi stahiki zao, Chuo chatoa ufafanuzi

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amezungumza na JamiiForums kuhusu madai ya baadhi ya Watumishi wa Chuo hicho kutolipwa stahiki zao mbalimbali. Awali, Wanachama wa JamiiForums.com walidai kuna changamoto...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Meatu: TAKUKURU inachunguza tuhuma za Watumishi waliochukua fedha za michango ya Wananchi kujenga Shule

    Baada ya Mdau wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu kuomba Serikali kupitia kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa kufuatilia madai ya ‘upigaji’ wa fedha za Wananchi uliotokea katika Kata hiyo, suala hilo limetolewa ufafanuzi. Kusoma zaidi hoja hiyo...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania NMB acheni kuwahadaa watumishi wa umma kwa meseji za mikopo hadi milioni 200!!!

    Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo. NMB acheni kuwahadaa watumishi.
  18. F

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Watumishi wa Umma waliofukuzwa kazi kimakosa 2018-2023 kurudishwa

    Hapo sijui wanataka kufanya nini. Kuna ukweli wowote hapa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Zahanati ya Mtamaa (Singida) isaidiwe, Watumishi ni wachache, mazingira ni mabovu hasa kwa Wanaoenda kujifungua

    Eneo la Mtamaa lililopo Kilomita 20 kutoka Manispaa ya Singida kuna zahanati ambayo inahudumia wakazi wa eneo hilo ambayo inatambulika kwa jina la Zahanati ya Mtamaa. Nimefanikiwa kufika mara kadhaa katika Zahanati hiyo na kugundua mambo ambayo ni vizuri nikishea na Wana JF inaweza kuwa na...
  20. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Nawauliza watumishi wa Yesu Kristo: Mungu Mkuu kupita miungu yote, aliye hai peke yake, kwa nini wanaoneana Wivu katika kazi walizopewa!?

    habari ya wakati huu jamii forum leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
Back
Top Bottom