watu weusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ELI COHEN

    Ni kitu gani cha maana tulichovumbua sisi watu weusi?

    Kama kijana ukitaka uimalike kifikra unapaswa uchukie na uwe kando na kile chochote kilicho kuwa na umaarufu katika utamaduni wa watu weusi ■Makalio makubwa ■Kulalamika kila tabu ni kwa sababu ya mzungu ■Uchawa ■Utapeli wa kidini ■Utapeli wa mafanikio ya kiganga ■Kuzaa bila mpangilio ■Kuoa wake...
  2. Yoda

    Kwanini watu weusi ndio wanaoongoza kubaguliwa zaidi duniani?

    Kwa nini ukienda popote duniani penye ubaguzi wa rangi utakuta wanaoongoza kubaguliwa zaidi ni watu weusi? Iwe blacks huko America au Ulaya, Wahindi weusi India au Waarabu weusi uarabuni Hali ya ubaguzi bado ni hiyo hiyo tu. Yani hata hapa Africa baada ya kupata uhuru kuna namna Wazungu...
  3. S

    Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

    Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya 1: wanatumia...
  4. ELI COHEN

    Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  5. Traxtion

    Watu weusi hatutaacha kudharaulika kamwe

    Hebu fikiria, mtu mweusi akienda Ulaya anabaguliwa, akienda Marekani anabaguliwa, akienda Japan, China, South Korea, India, Australia kila kona anadharauliwa, why? Lakini wao wakija huku tunawaheshimu sana. Ukweli ni kwamba sisi watu weusi hatutakuja kuheshimika kwa kulia lia tu eti watu weupe...
  6. ELI COHEN

    Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  7. ELI COHEN

    Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  8. ELI COHEN

    Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  9. M

    Angalia huyu kiongozi wa zamani wa Afrika ya kusini (Kaburu) alivyowaelezea waafrika. Bado tuna safari ndefu

    “Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana uwezo wa kiakili na kimasikini wa kuongoza jamii. Wape bunduki, watakutana na kuua wao kwa wao. Wape mamlaka, wataiba fedha zote za serikali. Wape uhuru na demokrasia, wataitumia kukuza ukabila, utofauti wa makabila, chuki, mauaji na vita.”...
  10. TheGreatest Of AllTime

    Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
  11. Poker

    Tuzungumze Asili ya watu weusi duniani kote

    Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na wazungu au watu weupe. 1- imekuaje IQ za watu weusi zikawa chini kulinganisha na watu weupe? 2- ni...
  12. ELI COHEN

    Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
  13. Sales man

    Watu wengi ambao wanawapinga mafasadi ni kwamba hawajapata hiyo nafasi ya kufisadi ila sisi waafrica (Watu weusi) kiasili ni wapigaji na wezi .

    Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi . Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono . Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
  14. Lord Denning

    GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  15. Knock life

    Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Ukisoma historia ya Rockefeller Family . Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks. Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa Ndugai Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa.
  16. P

    Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

    Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi? Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama. ILA SISHANGAI Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya...
  17. Ricky Blair

    Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

    Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen??? Discuss🤣🤣🤣
  18. Fbn

    Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

    Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
  19. M

    Watu weusi tuna roho mbaya sana. Wenzako akipatwa na baya wewe ndio unafanya harusi

    1.Ni watu weusi ndio tulikuwa tunauza ndugu zetu utumwani,siyo waarabu. Ni watu weusi ndio tunauuana hovyo hovyo kwenye bara hili la Africa. Ndio tunaoongoza kwa uvivu na ulaghai . Ndio tunaona ni Bora kuuza urith wetu kwa wengine, Hatuna roho ya kutosheka kwa chochote,tunapobarikiwa...
Back
Top Bottom