watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    Nani yupo nyuma ya utekaji na mauaji haya Tanzania? Kauli moja nini kifanyike?

    Wakuu habari, Sio wote JF wenda wanaguswa na yanayoendelea ndani ya nchi hii (zingatia wapo machawa wa ccm) Taifa sasa linajaa laana za watu kutwekwa, kuuawa (machozi ya damu). Nani yupo nyuma ya upumbavu huu? Nani anaratibu kwa faida ya nani? Kama ni kwa faida ya Taifa nakataa, kama ni kwa...
  2. Maadui zetu watatumia mwanya huu wa wimbi la utekaji na mauaji kutuangamiza

    Ndugu zangu tuwe makini Sana na wale tuliotofautiana kwenye biashara, mahusiano na mambo mengine ya kugombea madaraka maana watu hao watatumia upepo huo kutuangamiza na wakijua lazima watu wataona ni mambo ya kisiasa tu hivyo uchunguzi haotowakamata. Mungu ameniagiza niandike haya. Take care...
  3. H

    Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu wa Upinzani

    Kifo cha Viongozi wa Upinzani Tanzania: Hadithi za Kusikitisha za Kupotea kwa Viongozi Muhimu TUJIANGALIE TUPO PABAYA SANA LEO KULIKO JANA SONGA NAYO. Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na matukio kadhaa ya kutekwa na kuuawa kwa viongozi wa vyama vya upinzani, hususan CHADEMA...
  4. J

    Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

    Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake Hakuna Taifa Bila Watu Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika Soma Pia: Ally Hapi...
  5. PreGE2025 Waganga wakataa kuhusishwa na matukio ya mauaji ya watu yanayotokea karibuni nchini

    Waganga wa Tiba asili waomba kutohusishwa na matukio ya ukatili yanayotokea kwenye jamii kwani wao hawahusiki na kuwatuma watu wafanye ukatili badala yake wameomba kupewa thamani kama ambavyo madaktari wa Hospitalini wanavyothaminiwa kwani dawa zote za hospitali zilitokana na dawa za asili...
  6. Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi

    Wakuu kwema, Watu wasiyojulikana siyo maneno mageni kwetu, na mambo haya yameanza kitambo kuanzia enzi za Kikwete na Ulimboka (kusoma tukio hilo zaidi hasa kwa Gen Z soma hapa - Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana aliyetekwa na watu wasiyojulikana...
  7. R

    Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

    ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB) Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili...
  8. Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

    Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka kusikojulikana, kuwatesa na baadae kuwaua na kutupa miili yao porini au nyikani. Kama ndiyo hivi, maana...
  9. PreGE2025 Spika Dkt. Tulia na Wabunge wa CCM wagomea hoja ya watu kutekwa na kuuawa kujadiliwa. Wananchi Tuwaambie "YOU ARE FIRED"

    Hakuna haja ya kuwa na Bunge linalokataa kujadili Masahibu yanayo wakumba watoto wetu, kaka zetu na ndugu zetu kwa sababu tuu hoja imeletwa Bungeni na Mbunge wa upinzani Aida Kenan wa CHADEMA. Hii ni high level ya stupidity and contempt kwa wananchi hasa kipindi hiki wanalizwa na yanayo tokea...
  10. R

    Binafsi nina wasiwasi hizi simuliza za maiti kukutwa kwa Waganga wa Kienyeji isije kuwa kichaka cha kuficha na kuwavua uwajibikaji "Wasiojulikana"

    Najaribu kufikiri kwa mapana na marefu! Mimi siyo mwepesi wa kuamini stories za polisi na katu sitaziamini! Mnisamehe lakini, just thinking in wide dimensions of the state of affairs in our country from what has been happening of late!
  11. Serikali ilipobariki mchezo wa Kuteka na kupoteza wakosoaji, Wahuni nao wakaona hii ndiyo nafasi

    Baba mwenye nyumba ukianza kulala na wapangaji na Vijana wako wakajua, utapata wapi nguvu za kukemea watoto wako wa kiume wakilala na wafanyakazi wa ndani na wa kike watakapolala na wapangaji wa kiume. Hiki ndicho kilichotokea kwenye sakata la Singida na mengine ambayo serikali inayavumbua na...
  12. Msiojulikana mtajulikana tu, ni suala la muda

    Nyie msiojulikana mliojazana huko kwenye vyombo vya kutesa na kuua raia ni suala la muda tu kujulikana kwenu. Damu ya mtu sio maji ya kunywa, juice, soda ama pombe. === Mwanajeshi mmoja nchini Gambia, Luteni Malick Jatta amekiri kuua watu 50 mwaka 2005 kwa agizo la aliyekuwa Rais wa nchi...
  13. Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  14. Jeshi la Polisi limetoa taarifa tukio la kijana Samwaja aliye uwawa na kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake

    Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya matukio matatu ya watu kutekwa/kutoweka katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa wameuawa, likiwemo tukio la kijana Samwaja Sifael Said, Mkazi wa Kijiji cha Chalunyangu mkoani Singida kuuawa kisha kukatwa sehemu zake za siri na marafiki zake. Tukio la...
  15. Watanzania wengi wanaamini serikali inateka wakosoaji wake, na wale wakosoaji wasiotekwa huitwa watu wa vitengo

    Kwema Wakuu! Nazungumza Kwa uzoefu wàngu binafsi. Úkiwa mkosoaji wa viongozi wa serikali au serikali Kwa ujumla Bila kujali Nia yako kuwa ni Njema au mbaya, Bila kujali upo Chama gàni au hauna Chama. Watu kuanzia Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki wàtakuambia Bila kificho kuwa unajiingiza...
  16. F

    Taswira ya nchi yetu imechafuka sana hivi karibuni. Ni wakati muafaka kuwa na serikali shirikishi kwa kuzingatia maridhiano na Vyama vya Upinzani

    Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi. Suluhisho sio matumizi ya nguvu za dola, suluhisho ni masikilizano. Ili maridhiano kati ya chama tawala (CCM)...
  17. Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wa Waliotekwa na kupotea Waitwa kwenye Ofisi za CHADEMA Mikocheni

    Tangazo la Meya Mstaafu wa Ubungo hili hapa, Ukisoma Waambie na wengine waliopotelewa na jamaa zao
  18. Je, tutaendelea kuvumilia kutekwa na kupotezwa kwa Viongozi wa CHADEMA hadi lini?

    Hili ni swali ninalolipeleka kwa Wanachama wa Chadema pamoja na viongozi wao, Wengine wanaopaswa kujibu maswali haya ni Wapenda haki wote, Wakiwemo pia viongozi wa Dini Hawa wengine tuliambiwa walikamatwa wakijiandaa kwenda Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Vijana ya Kidunia, Lakini Polisi...
  19. Simulizi kuhusu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha Tanzania 2023/24

    Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili. Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu yake ,Samy ni mtanzania mwenzetu amefanya kazi kubwa nawaomba moderators wauweke hapa. ===========...
  20. Watu wasiojulikana wanafanya kile kile walichokuwa wanafanya Interahamwe wa Rwanda

    Baada ya Juvénal Habyarimana aliyekua Rais wa rwanda kuingia madarakani kupitia mapinduzi mwaka 1973 kwa kumpindua Grégoire Kayibanda kutokana na hofu aliyokua nayo dhidi ya madui zake ilibidi aanzishe kikundi kinachoitwa interahamwe hiki kikundi cha kihutu kilikua na lengo la kufanya kazi chafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…