watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

    Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini

    Tunaingia mwaka mpya huku mtu akiwa ameuwa maelfu ya watanzania wenzake sio hivyo tu amewasingizia watoto wadogo wa miaka 13 uhaini. Sio hivyo tu amewafunga wababa wa watu wakina polepole kinyume cha sheria kwa hirq zake.
  3. JamiiForums Tanzania Kama kuvuta bangi ni "ujanja" na kunaongeza "akili " kwa nini wavuta bangi hawawafundishi watoto bangi na hawapendi kuitwa wavuta bange ?

    Moja kwa moja. Wavuta bange wengi wanadai mtu ukivuta bange unawaza vitu mbali akili inakuwa kubwa hata uwezo wako wa kufikiri na kupanga mipango chanya unaongezeka. Na wengine wanadai hata kwenye madoma darasani bangi inasaidia na wavuta bange wengi wanajiona wao maIntelligent kama Isac...
  4. JamiiForums Tanzania Dotto magari tuna kufahamu watoto wa kinondoni, Punguza kamdomo

    Kama wapo wakongwe wa kinondoni mfikishieni ujumbe huyu kubwa jingwa. Mimi si kashifu maskini ila asilimia kubwa ya watu waliotoka kwenye umaskini wakawa matajiri wana matatizo makubwa sana ya akili na roho mbaya kuliko wale waliokuta utajiri ukija wenyewe. Huyu jamaa anatakiwa kuwa makini...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  6. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku chache yule jamaa aanze kuwaambia kuwa mnaharibu pesa kupeleka watoto wenu english mediums

    "mimi watoto wangu wote wanasoma asante mkapa., hizi EMs ni utapeli."
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye huu msimu wa sikuku Wazazi tutunze Hela za Ada za watoto wetu hapo January si vizuri mzazi kuwa na maelezo mengi shuleni ya kukosa ada

    Wazazi Huu msimu wa sikuku usitulevye tukavuja Hela za Ada za watoto wetu. Ndiyo elimu ni Bure bila ada basi changia hata chakula ili mwanao ale shule hapohapo. Kama shule ya mwanao Haina food program basi pendekeza kwa ustawi wa mwanao na shule kwa ujumla. Baadhi ya wazazi wakishakula Hela...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Serikali inatazama watoto wote kwa jicho la karibu

    Na Witness Masalu, WMJJWM-Dodoma Serikali yaendelea kusimamia na kuhakikisha kwamba watoto wote nchini hususani wanaoishi katika mazingira magumu wanafikiwa na kupatiwa huduma stahiki. Hayo yamebainishwa na Kamishna wa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kichocho unaofadhiliwa na Wachina waongeza uelewa miongoni mwa watoto wa Zanzibar

    Katika onesho la rangi, ubunifu, na kujifunza, mamia ya watoto wa shule katika Kisiwa cha Pemba huko Zanzibar, walishiriki katika shindano la kunakili bango kwa mkono lililoandaliwa ili kuongeza uelewa wa kichocho, ugonjwa wa vimelea ambao unaendelea kuwa changamoto ya afya ya umma katika maeneo...
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto wa Kenya wakumbatia Kungfu huku uhusiano wa kitamaduni ukiongezeka na China

    Licha ya umbo lake dogo, Peter Murigi mwenye umri wa miaka minane aliwavutia watazamaji huko Kiambu, katikati mwa Kenya, alipopanda jukwaani kuonesha weledi wake wa Kungfu. Murigi alikuwa miongoni mwa washiriki mashuhuri katika Mashindano ya nne ya Kitaifa ya Wushu ya Kenya, ambayo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Wakina mama, kesho ni siku yenu ya kudai haki juu ya dhuluma na ukatili uliofanywa kwa watoto wenu

    Hii sio vita ya vijana peke yao, tarehe 29 waliopitia mateso zaidi ni nyie kina Mama ambao uhai na ndoto za watoto wenu ulikwapuliwa kwa ukatili mkubwa sana. Ukatili huu ukiongozwa na mwanamke mwenzenu D9 ni siku yenu ya kupigania damu ya watoto wenu iliyomwagika mbele ya macho yenu wakipania...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya serikali kupinga maandamano haramu vijana vichwa ngumu mkaandamane UN itawsaidia kulea wake na watoto wenu

    Tanzania inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni . Kuandamana ni haki ya kila Mtanzania ila ni haki ya serikali kupinga au kukataa maandamano kwa sababu za kiusalama na kijamii. Hakuna serikali itakayotoa kibali cha maandamano ya kuiondoa serikali husika. Mngetaka kuiondoa mngepiga kura na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi mnajua watoto kuanzia 2020 wana IQ kubwa ambayo unaweza kusema ni wasomi

    Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari. Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda. Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnaongea na binti zenu?

    Eti ? Huwa mnaongea nao ? Mnacheka ? Mnashauriana ? Siku moja nipo saloon Alifiki binti m,moja Baada ya kuketi Alipigiwa cm na baba yake na maongezi yao yalikua hivi HER > GOOD MORNING DADY HIM > MORNING DOTAA HIM > NIMEFIKA SALAMA,MWANZA MWANANGU....NA SIM YAKO INA SALIO ? HER > SIM...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

    Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali. Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile...
  16. JamiiForums Tanzania Watoto wa dot com

    Kwa wasio wahenga (Watoto wa Dot com) nawajulisha kwamba hawa ndio waasisi wa Taifa letu. Sheikh Abeid Aman Karume Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na Mwl Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Tanganyika
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini watoto wa marais au viongozi ndio wanaharibu nchi?. Hili limeonekana nchi nyingi

    Mimi nikitaka kujua kiongozi au raisi naanza kuangalia mwanae tu maana nitapata CV zake zote.Nchi ambazo zilikuwa na utawala wa hovyo utaanza kupata historia ya watoto wao.
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi pekee wananchi hupenda kuwaona watoto wa marais hawaendelei

    Huwezi amini kuna mahala nipo sasa hivi naambiwa waziri mstaafu wa kilimo kwa KUSHRIKIANA na Mtoto pendwa Abdul wananunua CHOROKOπŸ€£πŸ˜‚ NAKUMBUKA enzi za Jakaya tuliambiwa Rizi ndo mmiliki wa masheli mengi Tanzania nakumbuka mpaka alijitokeza kukanusha. Sasa tunaambiwa masheli yamehamia kwa Abdul...
  19. JamiiForums Tanzania Manara: Watoto wazuri wanazaliwa kila siku, Nitaoa ila lazima nifanye upembuzi yakinifu,

    Wakuu naona Manara hajakatia tamaa bado suala la ndoa, amedai watoto wazuri wanazaliwa kila siku anaachaje kuoa kwa mfano
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kidato cha nne kuanza mitihani kesho, 309,986 hawajulikani walipo

    Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne. Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…