watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali kurekebisha Sheria ya Watoto ili kudhibiti ukatili mitandaoni

    Katika kukabiliana na ukatili dhidi ya watoto mitandao Serikali imeunda kikosi kazi cha taifa cha ulinzi na usalama mitandaoni pamoja na kuifanyia marekebisho sheria ya mtoto ili iakisi mazingira ya sasa. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Dkt. Dorothy Gwajima amesema: “Malezi bora katika familia...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wana matatizo ya akili

    Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa. Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
  3. JamiiForums Tanzania Daktari mzuri wa watoto (Paedeatrician)

    Yupo ambaye namtumia but he is not that competent. Nani ni daktari competent wa watoto kwa Dar es Salaam. Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  5. JamiiForums Tanzania Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi

    Siku mbili baada ya kuibua tuhuma za watoto 8 wenye umri kati ya miaka 6-8 kufanyiwa ukatili wa kingono na mwalimu wao katika Shule ya Msingi Global iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam zimetolewa siku 7 za uchunguzi wa kina wa tukio hilo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalumu, Dkt...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ongezeni Shule za A-level Watoto wetu wapate Elimu wanayoitaka

    Nilitembelea ofisi za Elimu mkoa,nilikuta utitiri wa wazazi na watoto wengi wamejazana kilio chao kikiwa ni watoto wao kupangiwa chuo wakati vijana hawa walitamani kwenda kusoma kidato cha tano lengo ambalo pia nilikuwa nalo. Cha ajabu ni kwamba jibu walilopewa kila mmoja ni nafasi...
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse session ya JamiiForums Mei 26, 2022: Elimu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto

    Nini chanzo cha Saratani ya Jicho kwa Watoto? Dalili zake ni zipi? Hali ya Ugonjwa huu ikoje hapa Tanzania? Kufahamu haya na mengine zaidi, shiriki katika Mjadala na Wataalamu kuhusu Saratani ya Jicho kwa Watoto utakaofanyika Mei 26, 2022 kupitia Clubhouse, kuanzia Saa 12:00 Jioni Kushiriki...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa UNICEF ataka kuchukuliwa hatua za kuwalinda watoto baada ya shambulio la risasi katika shule ya Texas Marekani

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) Bi. Catherine Russell amehoji kuwa ni watoto wangapi wanapaswa kufa kabla ya viongozi kuchukua hatua ya kuwaweka salama watoto pamoja na shule. Akitolea mfano wa vifo vilivyotokea katika shambulizi la risasi...
  9. JamiiForums Tanzania Papa Francis aongoza viongozi Duniani kuwalilia watoto waliouawa Texas

    Baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatulia risasi Texas, Marekani, viongozi mbalimbali Duniani wameomboleza vifo hivyo wakiongozwa na Papa Francis ambaye amesema amesikitishwa na mauaji hayo. “Nimeumizwa sana na mauaji haya katika shule ya msingi, nawaombea watoto hao na watu wazima...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyeua Watoto 19 alikuwa akizomewa na wenzake kwa kuwa masikini na kuvaa nguo mbaya

    Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake. Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana aua watoto 19 wa shule ya msingi kwa kuwafyatulia risasi darasani

    Kijana mwenye umri wa miaka 18 ameua Wanafunzi 19 kwa kuwafyatua risasi katika Shule ya Msingi ya Robb Elementary iliyopo Texas, akifanya tukio hilo kwa kuhama darasa hadi darasa, kabla ya vyombo vya usalama kumthibiti na kufanikiwa kumuua na yeye pia. Seneta wa Jimbo hilo, Roland Gutierrez...
  12. JamiiForums Tanzania Misri: Mmiliki wa vyombo vya habari ahukumiwa kwenda jela miaka 3 kwa kuwanyanyasa kingono watoto yatima

    Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika kituo cha watoto yatima alichoanzisha. - Mohamed al-Amin ambaye ni mmiliki wa Future Media, CBC...
  13. JamiiForums Tanzania UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto ulimwenguni

    Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao. Kituo cha Utafiti cha UNICEF kimetafiti mataifa 39 ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi na...
  14. JamiiForums Tanzania Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

    Natumai kazi zinaendelea! Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa kutoa maagizo kwa Mahakama kuhusu mashauri yote ya Watoto, yupo sahihi na itasaidia?

    Kuna hii habari nimeikuta kwenye vuombo vyetu vya habari Nchini, ni kuhusu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa taarifa ya kutoa maagizo kwa vyombo vyenye mamlaka ya kusimamia sheria ikiwemo Mahakama. Unaweza kuisoma habari yenyewe hapo chini, nakubali kweli hoja yake ni nzuri na inaweza kusaidia...
  17. JamiiForums Tanzania Ajira kwa Watoto ni Uovu wa Kijamii Unaomuathiri Kila Mmoja

    Je, unaweza kufikiria maisha yako na mafanikio yako bila elimu uliyopata? Watoto wengi duniani, ikiwemo Tanzania, wanaibiwa fursa za maendeleo zinazoletwa na elimu bora kwa sababu wanasukumwa kufanya kazi ili kupata riziki ya kifedha. Kwa mujibu wa UNICEF na ILO, takribani mtoto 1 kati ya 10...
  18. JamiiForums Tanzania Katavi: Mganga alawiti watoto sita akiwapa matibabu

    Mganga wa kienyeji mkazi wa Majengo ya Mpanda mkoani Katavi, Akili Abakuki maarufu kama Jimmy (38) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwalawiti watoto sita wakati akiwapatia matibabu nyumbani kwake. Kaimu wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo, Sylivester Ibrahim amesema mtuhumiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
  20. JamiiForums Tanzania Katavi: Wastani wa Watoto 9 ufanyiwa ukatili kila siku

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezungumzia kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea katika Mkoa huo, watoto wakiwa sehemu kubwa ya waathirika. Amesema matukio 887 sawa na 65.17% ya matukio 1,361 yaliyoripotiwa kuanzia Januari hadi Machi 2022 yalihusu watoto. Takwimu hizo zimeonesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…