watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya michezo ya watoto Kigamboni

    Habari, Mwenye kufahamu tafadhali. Sehemu ambayo kuna michezo ya watoto Kigamboni. Asante.
  2. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iandae Mtaala wa Elimu uanaoibua vipaji vya Watoto

    Vipaji imekuwa ni ajira inayolipa katika inchi zilizoendelea,inchi nyingi zilizoendelea duniani zimewekeza kwenye kutambua na kuibua vipaji vya watoto. Andiko hili linaelezea umuhimu wa Serikali kuibua vipaji mbalimbali vya watoto kupitia vipengele vifuatavyo 1.UTANGULIZI. 2.TATIZO LIKO WAPi...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  4. JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja Watoto 225,003 wanaolelewa Vituoni wameongezeka Tanzania

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imesema hadi kufikia Aprili 2024, kulikuwa na Vituo 3,862 Vilivyosajiliwa kwa Kulelea Watoto 397,935 (Wakiume 175,517 & Wakike 222,418) na Vituo 206 vya Kijamii vyenye Watoto 11,675 Idadi hiyo ni ongezeko la Watoto 225,003 sawa na...
  5. JamiiForums Tanzania Unawajua Wanyama wasiolea watoto wao

    Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee. Nyani ye akiona mtoto mlegevu mlegevu anamwachia toka juu ya mti. Buibui yeye sometimes sio tu ana mu...
  6. JamiiForums Tanzania Watoto wanafunzi wa madrassa wamuua Imam aliyekua anawalawiti

    Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6 minor students of a madrasa arrested for murder of Maulana Mohammad Mahir, say they were fed up...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Nape; Msiwaachie Watoto wenu walelewe na mitandao

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki. Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Serekali pigeni marufuku huu wimbo, unaniaribia watoto

    Nyimbo sijui Nani kaimba ila Ni nyimbo maarufu Sana tu " huu mwaka eeh " Nikinukuu baadhi ya verse " Ukipata jimama likoboee ,likupe pesa utoboe " Sasa mttoto amekuwa ikiimba Sana hi verse. Na kwa kwa kifupi haina maaadili na nyimbo Ni nzuri ila msatari huu ktk wimbo siyo siyo mzuri. Haya...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike wanaokosa malezi ya baba wapo hatarini kuanza matendo ya ndoa katika umri mdogo na kupelekea mimba za utotoni

    WATOTO WA KIKE WANAOKOSA MALEZI YA BABA WAPO HATARINI KUANZA MATENDO YA NDOA KATIKA UMRI MDOGO NA KUPELEKEA MIMBA ZA UTOTONI Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali inaonyesha kwamba mtoto anayekosa malezi ya baba anakuwa hatarini kupata mimba za utotoni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini iliyoendelea kila nyanja watu wake hawazaliani sana lakini Afrika Maskini watu wanazaliana mno

    Moja ya inch Bora kabsa kichwani haswaa kwenye sayansi na hesabu ni south Korea. . Sadly ni kwamba wanaziliana kwa kiwango kidogo sana hii inapelekea kukosa watu bora kwenye gunduzi mbalimbali hasa za kisayansi Science mathematics na innovations ziko kwenye risky sana kupoteza hawa jamaa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania bila ulemavu wa neli ya mgongo (neuro tube defects) kwa watoto wanaozaliwa inawezekanika

    Kasoro ya kuzaliwa ni mabadiliko ya kimuundo ambayo yapo wakati wa kuzaliwa yanaweza kuathiri ukuaji na utendaji wa mtoto. Kwenye nchi yetu uchunguzi uliyofanyika mwaka 2015 kwenye Hospital ya Ifakara, Ilionesha kuwa Watoto wanaozaliwa na kasoro ni 5.6 % kubwa kuliko wastani wa Dunia nzima ambao...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 194 wapewa mimba kwa Mwezi 1 Wilayani Momba

    Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati gani muafaka kwa mzazi kuwabariki watoto wake?

    Ndugu zangu, Nimekutana na hii tafakuri juu ya baraka za mzazi kwa watoto. Tafakuri hii imejengeka kupitia mandiko ya vitabu vitakatifu kwa kile alichokifanya Isaka kwa mtoto wake Yakobo. Kwamba Isaka alipokuwa Mzee sana na kuona siku zake za kuishi zinaelekea ukingoni, akamtaka mwanaye...
  14. JamiiForums Tanzania Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho chote nimejitahidi kuwa mwaminifu na kuhudumia familia vizuri. Sasa vituko vya huyu mwanamke anagawa...
  16. JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kina baba tubadilike tupunguze ukoloni lasivyo kina mama wataendelea kuzoa points kwa watoto, uzeeni watamjali mama huku wewe uliyepambana unatengwa

    point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta watoto wanampigia sana mama yao, mtoto anakuwa bado anakuheshimu kama baba lakini shida ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Hongereni sana wakina mama wote kwa upendo mlionao kwa watoto wenu.

    Juzi mama wa mwanangu alikuwa anaenda dukani, mtoto nayeye akataka kwenda mama yake akamzuia dogo akawa mbishi. Ikabidi wakubaliane kwamba hakuna kubwebwa, mtoto akakubali safari ikaanza, kama dakika 6 tu dogo akataka abebwe. Mama akawa mkali, mtoto akatumia akili nyingi akaita mama mamaake...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

    Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi? Je, wanakuwa wanapigana? Je, wamekimbia na kuacha familia yao? Je, wanawatumia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Phil Foden ana miaka 23 tayari ana mke na ana watoto wawili , Wewe una miaka 28 bado upo kwenu huna mke wala mume unasema bado mdogo

    Tazama mwenyewe,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…