watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba huku kijijini kwetu,wake zake wawili vicheche, kila mama anamtoto amezaliwa nyumbani, watoto wakiume wanachuja "nafaka", aisee.

    Marafiki zake wanamchapia wake zake, Mabinti zake ni sukari ya mji, vijana zake akiwatafutia vibarua wiki moja wanarudi maskani kuchuja nafaka, hakika huyu msukuma ana balaa, sasa sijui ni usimamizi mbovu wa familia yake au wanawake zake ndio wanamharibia watoto All in all usiombee hii ikikute.
  2. JamiiForums Tanzania Wamama kuweni na huruma na watoto wenu.

    Nakatiza pande za mtaa wa Kongo. Nyomi la hapa si la mchezo. Watu tunatembea kwa kusukumana. Jua la utosi. Afu katikati ya msongamano unamkuta mama akiwa na mtoto mgongoni. Daah unaishiwa pozi.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ushetu: Wazazi na walezi wekezeni kwenye elimu ya watoto ili kuandaa watumishi wa baadaye watakaolisaidia taifa

    Wazazi na walezi katika Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza kwenye elimu ya watoto wao ili kuandaa Watumishi bora wa baadaye watakaoisaidia jamii na taifa kwa ujumla. Rai hiyo imetolewa leo Machi 21, 2025 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel...
  4. JamiiForums Tanzania Maelfu ya watu waandamana kaskazini ya Gaza kupinga vita, wakiimba hatutaki kufa na damu za watoto wetu sio nyepesi.Acha vita.

    Kulingana na shirika la habari la kipalestina la Wafa,maelfu ya watu yaliingia kwenye vichohcoro vya vifusi vya nyumba zao zilizovunjwa wakiimba kwa sauti huku wamebeba mabango wakisema hawataki tena kufa na hakuna kuhama. Kimsingi maandamano hayo yalikuwa ni kupinga vita visiendelee na wala sio...
  5. JamiiForums Tanzania Kitu gani cha kuchekesha au kutia aibu ulisikia mtoto mdogo anakisema?

    Kwenye msiba wa mzee flani mtaani, wakati watu wanaaga, mmoja wa wajukuu zake aliona mwili kwenye jeneza akasema kwa sauti kubwa “kwahiyo babu sasa hivi amekua Zombiii” wote tuliokua karibu tukabaki tunacheka tu!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Oresta Mhungulu, mtunzi na mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na ndefu, hadithi za watoto na makala za kielimu na kijamii

    Mwandishi, hadithi, mshairi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake, oneeni huruma watoto wenu basi!!!!

    Hivi, japo najua si mimi pekee, badhi ya wanawake, msio na chembe ya huruma kwa watoto wenu, japo mnasahau kuwa ipo siku mnacholingia hakitakuwa na thamani tena, mnafikilia kizazi mnachotengeneza!? Nikiwa kama single father, nimejitahidi sana, na bado naendelea, ila wazee, ukiona mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania, wanasisasa sasa wanabuni Upya Elimu ya Ufundi ( VETA) kwa watoto wa Maskini

    Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa elimu wa Tanzania: mtaala ambao umekuwa mbovu kwa miaka mingi. Tatizo kuu linatokana na kushindwa...
  10. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Makosa Ambayo Watoto wa Zamani Tulikuwa Tukila Bakora.

    1. Usiposalimia wakubwa asubuhi, unapigwa. 2. Usiposalimia wageni, unapigwa. 3. Ukinawa kabla ya wageni, unapigwa. 4. Ukilia bila sababu, unapigwa. 5. Ukinyanyuka wakati wa kula kabla ya wakubwa kuinuka, unapigwa. 6. Wakubwa wakiwa wamekaa wewe ukaenda kusimana pembeni, unapigwa. 7. Ukikaa...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini familia ambayo imedumu mke na mume ina watoto wengi waliozaa ukilinganisha na hawa sasa watoto wakizidi watatu?.jibu ni unyumba

    Ukichunguza ukaribu watu ambao ndoa kuvunjika na ikivunjika basi kunatizo tena sio tatizo ni kwamba mzee ndio tatizo kama baba wa kusimamia. Miaka ya nyuma wazee waliweza kumudu wake wengi na kila mke aliweza kupata anacho wekewa kuzalishwa idadi ya watoto ya kama movie ya fast ferious. Ila...
  12. JamiiForums Tanzania Wazazi tumesahau kuwaandalia watoto vitu vya kimaisha. Tunakomalia elimu ya gharama huku ajira ya kumpa mwanao huna,,Watoto wataenda sana VETA

    Kama wewe ni mzazi una maisha ya kawaida ya kipato chini ya milioni mbili kwa mwezi please please Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu ukisikia maneno aende VETA Wazazi wengi wana site hazijakamilika miaka 10 hadi 15 nyumba haijapauliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  14. JamiiForums Tanzania Tabia gani uliyonayo ambayo hutamani watoto wako wairithi kutoka kwako?

    Kila mtu ana tabia ambayo hata yeye mwenyewe haipendi lakini anajikuta anaitenda wakati mwingine bila hata kupenda. Kwa upande wangu mimi nina hasira kali mno, yani mtu akinikwaza natamani nimmeze mzima mzima, Huwa namuomba Mungu wanangu wasirithi tabia hii, kwa sababu waswahili walisema hasira...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani

    Watoto Kuwatii Wazazi kwa Namna Gani Maandiko Yanasemaje 1. Katika Wakolosai 3:20, maandiko yanasema: "Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana". 2. Lakini katika Luka 14:26, Yesu alisema: "Kama mtu akija kwangu naye hamchukii baba yake, na...
  16. JamiiForums Tanzania Kati ya Januari - Februari 2025 simu 169 zimepigwa kuripoti matukio ya Ukatili kwa Watoto Nchini

    TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI Dar es Salaam, Machi 11, 2025. Ndugu waandishi wa habari Tarehe 26 Februari 2025 ziliripotiwa taarifa kupitia vyombo vya habari za kufariki kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Watoto wapiga dufu kuomba ovyo kipindi cha mwezi Ramadan ni utamaduni wa ovyo

    Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka ofsini wasaidie hawa Watoto wanaomba omba waende shule wapate maarifa yake kuwafata baadaye kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wa kike usiku huu wanaenda msikitini kufanyaje kipindi hichi cha mfungo?

    Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana? Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi kabananishwa kwenye ukuta kuna kinjia kinatoka msikititi, walikua wanayajenga walivyoniona wakapiga...
  19. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Pot ya watoto wa kijijini! Shikamoo akina mama!

    Mliozaliwa mjini, hapo mtoto anafanya nini? Malezi ni yaleyale tu! Tukutane shelli! 😀
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…