Baada ya mwanamke kujifungua mtoto wa pili, wengi Huwa na mabadiliko fulani ya kimtazamo, kitabia, na
hata kihisia ambayo baadhi ya wanaume huwa wanayahisi au kuyaona kama “kiburi.”
Wapo wanaodai kuwa uzazi huleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mwanamke – kimwili, kihisia, na kiakili...