watoto

Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nini hiki kinaendelea kwa watoto na watu wazima?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuumwa hasa wanapata homa kali, kifua namafua. Kwa utafiti wangu nimeona watoto wa jirani na rafiki zangu watoto wao kama 20 hivi wakiwa wanapata shida hiyo. Majuma mawili yaliyopita watoto wangu wote wawili (Twins) wakawa wanapata homa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Clubhouse katika mjadala wa wazazi na walimu kuhusu kuwapa wanafunzi kazi za shuleni wakati wa likizo

    Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse. Kushiriki mjadala huu bonyeza...
  3. JamiiForums Tanzania Through Back Days: Watoto wa mwaka 2000 watajua huu mtego wa panya.

    Life is too fast
  4. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha; Mama anywesha wanae 5 sumu. Wawili wafariki dunia, watatu pamoja naye wanapatiwa matibabu

    Watoto wawili wamefariki dunia baada ya mama yao mzazi, Veronica Gabriel (30), mkazi wa Kijiji cha Mwabagaru, Kata ya Buseresere, Wilaya ya Chato, mkoani Geita kuwanywesha sumu kisha na yeye kunywa kwa madai ya ugumu wa maisha. Hata hivyo mama huyo amenusurika kifo licha ya kunywa sumu hiyo kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Natabiri miaka 50 ijayo watoto wengi hawatawapenda Mama zao. Upendo utarudi Kwa Baba

    Bila Shaka muwazima! Kama kichwa kinavyoeleza hapo. Natabiri miaka 50 ijayo wamama wengi watachukiwa na watoto wao wa kuwazaa. Ule upendo wa mtoto Kwa mama utafutika. Chuki itatawala. Upendo watauhamishia Kwa Baba zao ambao hata hivyo Kwa bahati mbaya hawatakuwa Baba wazazi isipokuwa Baba...
  6. JamiiForums Tanzania Enzi zetu Serikali ilikuwa inawasisitiza wazazi wawaruhusu watoto kurudi Shule kwa masomo ya ziada, eti leo hii inapiga marufuku

    Tangu lini Serikali yetu ikaanza kujali Afya za Watoto kuliko viwango vizuri vya ufaulu? Hii haijawahi kutokea na haitakaa itokee, tuache siasa kwenye mambo ya msingi, tusiue sisimizi kwa rungu, tutafute solution ambazo hazitawaweka kwenye wakati mgumu walimu wetu (maana watoto wakifeli serikali...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa letu linaharibiwa na watoto wa vigogo wa CCM waliorithiswa madaraka na wazazi wao. Tabia za kulifanya taifa letu la kisulutani inatugharimu

    Kasumba ya chama cha CCM kuwarithisha madaraka watoto wa viongozi inaligharimu taifa letu. Yawezekana huko nyuma wazazi wao walikuwa na uzalendo wa kweli lakini hawa watoto baada ya kuona kuwa siasa inalipa hasa baada ya CCM kuingiwa na na kubadilika kukumbatia ufisadi wazazi wao wakawalithisha...
  8. JamiiForums Tanzania Graduation za watoto wa chekechea (Shule binafsi) ni aina nyingine ya upigaji

    Shule za chekechea za binafsi zimekuja na kitu wanaita graduation kwa ya watoto wa chekekechea na huku wakimtaka mzazi kuchangia hadi 70,000 kwaajili ya kufanikisha sherehe ikiwemo kukodi joho. Binafsi naona huu ni upigaji, wizara husika iliangalie ili
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ummy: Wanafunzi wote waende likizo mwezi Desemba, masoma ya ziada no

    ||Sitaki kutia neno, Msikilize hadi mwisho Waziri wa TAMISEMI Mhe Ummy Mwalimu,
  10. JamiiForums Tanzania Udhalilishaji wa Watoto kwa njia ya maneno

    Udhalilishaji kwa njia ya maneno unatokea pale ambapo Mzazi/Mlezi au Mtu aliye karibu na Mtoto anapotumia maneno yenye kumuumiza Mtoto Kihisia kwa nia ya kumuonya au kumdhibiti Baadhi ya maneno yanayoweza kumdhalilisha Mtoto kwa kumuumiza hisia zake ni; Kumkemea au kumkaripia mbele ya hadhara...
  11. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi TBC mnajielewa kweli? Saa 4 usiku mnaonyesha cartoons wakati watoto wameshalala

    Kwa kweli mna bore muda huu hata mngeweka picha ya Bushman ingependeza mnaweka cartoons kweli Kodi zetu ndio mnazitumia hivyo?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

    Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ni chanzo cha masomo ya ziada kwa watoto

    Shule zinashindana kwenye ufaulu wa watoto kwa kushirikiana na wazazi wa watoto. Wanafanya hivyo kwa mbinu tofauti ikiwemo ya watoto kusoma masaa mengi hata weekend na long vacation, kuwakaririsha maswali ya mitihani na hata kuiiba mitihani yenyewe. Serikali Ina mchango mkubwa sana kwenye hili...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Watoto na Familia za Freeman Mbowe na washtakiwa wenzake Mwenyezi Mungu awatie nguvu sana!

    Kila siku huwa nianatafakari hali mnayoipitia. Hakika Mwenyezi Mungu awalinde, awaongoze na awatie nguvu sana ili msije jaa roho mbaya na zisizo na hofu ya Mungu kama za watesi wenu! Yote hii kwa sababu tu ya madaraka! Khaaaa!
  16. JamiiForums Tanzania Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

    Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Acheni tu Shule za Kishua kama za FEZA na St. Mary zifaulishe sana na zetu zifelishe

    Kwa nyakati tofauti Leo ( Jioni Saa 12 kuelekea Saa 1 ) nimepita katika hizi ( hizo ) Shule FEZA na St. Mary na kukuta Watoto wapo Kimya Madarasani mwao wanajisomea na nilipopita katika Shule za Kawaida ( za Mangumbaru ) nikawakuta Watoto wapo Madarasani wanavuta Bangi, wanaangalia Picha za...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali iache mzaha; kuruhusu watoto waliopewa mimba kurudi shule ni anguko la taifa la kesho

    SERIKALI IACHE MZAHA; KURUHUSU WATOTO WALIOPEWA MIMBA KURUDI SHULENI KUSOMA NI ANGUKO LA TAIFA LA KESHO. Anaandika Robert Heriel. Naiomba serikali, viongozi wakubwa msikie Jambo hili, tena msifanye mzaha. Huruma huruma za ajabu ajabu katika baadhi ya ishu ni hatari Kwa ustawi wa taifa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mganga wa kienyeji aua watoto wawili wa kambo na kuwazika ndani

    Habari za kusikitisha kutokea Kaliua Tabora Baba wa Kambo amewaua watoto wake wawili kwa kuwaziba pumzi na kisha kuwazika ndani ya nyumba kabla ya kutoroka kusikojulikana Tukio Hilo limetokea Novemba 17, 2021 Wilayani Kaliua na kuthibitishwa na RPC wa Tabora Richard Abwao Chanzo cha mauaji...
  20. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

    Kichwa cha habari kinajieleza, niunganisheni wadau.. nguo kali mno, nicheki kwa 0738664971 tunauza jumla na rejareja. Mfanyabiashara usipate tabu ya kufungiwa usichojua kuna nini ndani, nimekurahisishia nguo Kali kwa bei poa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…