wateule

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Trump awalazimisha viongozi wateule wake kuvaa viatu vya brand anayoipendelea

    Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia kama zawadi ili kuwapa presha ya kuvaa. Marco Rubio ameonekana akiwa amevaa aina hiyo ya viatu...
  2. S

    Watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ni wateule tu ili watanganyika mkombolewe kupitia mateso na hata vifo vyao

    Usipokuwa na uwezo wa kufanya reasoning na kushndwa kuelewa historia, unaweza usielewe kuwa watu kama Lissu, Polepole na wengineo, ujasiri na uthubutu walio nao ni kazi ya Nature ( Mungu) ili kupitia shida na mateso yao au hata vifo vyao, mlio wengi mkombolewe. Hata wale waliouwawa Oktoba 29...
  3. R

    Maajabu, tume ile inakutana na wateule wanufaika wa utawala wà aliyeiunda

    Leo ni katelephone. Sasa huyu ana ukweli gani atakaousema wakati ni mnufaika wa utawala aliyeiteua Tume na ni mshukiwa wa matendo àliyoyaundia tume!
  4. The Burning Spear

    Wako wapi wabunge na wateule wa Samia mbona kimya?

    GT Mambo si poa hata kidogo hawajui pakuanzia, Samia kabweka ndo kawachanganya kabisaa hawajui waanzie wapi. Je, wawe Wakatili kama yeye au wapole hapo ndo patamu. Ila ukweli ni kwamba wakileta shobo za kijinga kitaa watakula jeuri yao wachague kusimama na wananchi au wabaki kimya na samia wao...
  5. Analogia Malenga

    Demokrasia itaanza na wajasiriamali siyo Wanasiasa

    Ameandika ndugu mmoja muathirika wa udikteta wa Belarus kuwa, Kwa miongo kadhaa nchini Belarus, kulikuwa na kauli ya kwamba: “Usiguse mamlaka — na mamlaka haitagusa biashara yako.” Lakini baada ya mwaka 2020, maelfu ya wajasiriamali waligundua kuwa hali ya kutokujihusisha kisiasa haipo tena...
  6. Roving Journalist

    Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. Technophilic Pool

    Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  8. Don Gorgon

    LGE2024 Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 wa kata 20 za Kinondoni waapishwa

    Wenyeviti wa mitaa wateule 106 na wajumbe 530 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wameapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha viongozi hao, Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye...
  9. Don Gorgon

    LGE2024 Wenyeviti wateule 106 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuapishwa Kinondoni

    Wenyeviti wa Mitaa wateule 106 kutoka katika kata 20 za Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, wanaapishwa leo Novemba 28, 2024 katika Ukumbi wa Soko Kuu la Magomeni. Msimamizi wa Uchaguzi wa Manispaa ya Kinondoni ambaye pia ni Mkurugenzi wa manispaa hiyo, Hanifa Hamza ndiye mgeni rasmi...
  10. M

    Kubadilibadili wateule kama kubadili suti hakuna tija

    Tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani inaelekea kazi ya kuteua na kutengua imegeuka kama sehemu mojawapo ya majukumu muhimu sana ya serikali hiyo. Mpaka imefikia hatua wananchi wanashindwa kuelewa haswa viongozi wao wa wizara, na taasisi mbalimbali ni akina nani. Maana imegeuka kama...
  11. Mystery

    Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
  12. covid 19

    Rais wetu mpendwa wateule wako wanakudharau sana sisi wananchi tunaona aibu..

    Kwa yanayoendelea ni dharau na kejeli kwa mkuu wa nchi hawa wateule wanamdharau sana wanakula hadi wanavimbiwa sasa wanalopokaa vile wanavyojisikia usalama msaidieni mhe. Rais jamani haiwezekani watu wanatolewa jalalani ili wamdharau rais wetu na mama yetu...
  13. Mganguzi

    Rais wangu unajitahidi sana tatizo kubwa ni upigaji na rushwa vinatisha ! Wateule wako kwa sasa Wana ukwasi wa kutisha!

    Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta hela ,unakopa ,unakusanya Kodi lakini pesa inatumiwa vibaya sana na wateule wako !! Wateule wako...
  14. Yoda

    Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

    Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ? Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani...
  15. Tlaatlaah

    Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  16. Roving Journalist

    Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  17. Samia atosha tukutane2030

    Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  18. Roving Journalist

    Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule - Ikulu, Dar es Salaam, Machi 13, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=gB61__EG4Uo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 13 Machi, 2024 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimuapisha...
  19. R

    Kwanini Marais wa Tanzania wanapenda kudhalilisha wateule wao?

    Mara nyingi Mteule wa Rais akiwaza na kutaka kutekeleza mambo kwa uwezo wake wa kufikiri lazima atumbuliwe au aonywe. It's like kuteuliwa ni sehemu yakuua maono binafsi ya mwanasiasa badala yake anapaswa kusifia tu. Nimeona namna Simai alivyodhalilishwa leo, kwamba alitaka aendeleze biashara...
  20. Patriot

    Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

    Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe...
Back
Top Bottom