wateja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Azam mnatusumbua wateja wenu na hii Azam max yenu

    Habari za jioni, Jana nimetembelea Azam Mgodi. Nikaona nijisajili na Azam Max ili angalau habari muhimu zisinipite kwenye kipindi hiki Cha uchaguzi, niwe naperuzi na kufatilia taarifa nikiwa popote nje ya nyumbani. Adha ninayoipata najuta kutumia mda wangu kufika Mgodini na kumaliza bando...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mix by Yass heshimuni wateja haya madisco hapo makumbusho stand siyo haki kwa raia

    Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa. Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele...
  3. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  4. JamiiForums Tanzania Wateja wapya TANESCO kukopeshwa majiko ya Umeme

    Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi 11,000...
  5. JamiiForums Tanzania Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  6. JamiiForums Tanzania Programu ya kutunza kumbukumbu kama wateja, bidhaa na n.k

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  7. JamiiForums Tanzania Mabinti Mnaotuuzia Condoms Pharmacy muwe mnatupa maelekezo zaidi kuhusu Matumizi ya Condoms sio Mnatuonea Aibu Wateja Wenu

    Wakuu, ngoja leo niseme jambo moja ambalo nimepatwa nalo hapa katikati nilipokua kwenye mihangaiko yangu ya kutaka kukipata kilinda afya yangu ili nisipatwe na STI bila kutarajia sababu sikujikinga. Nilitoka zangu nikaelekea Pharmacy moja kubwa tu na kwenye hii Pharmacy hua kuna shift ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ambayo haipatwi na deficit ya wateja

    Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
  9. JamiiForums Tanzania Biashara yoyote haiwezi kukua bila wateja

    Wateja ndio damu ya biashara bila wao hakuna mauzo, hakuna faida, hakuna ukuaji. Ikiwa unataka kuipanua biashara yako na kuongeza mapato, kuna njia kuu nne za msingi ambazo kila mfanyabiashara anapaswa kuzitumia: 1. Pata Wateja Wapya Hii ndiyo njia ya kwanza ya kukuza biashara. Wateja wapya...
  10. JamiiForums Tanzania Waganga rudisheni pesa za wateja wenu waliokatwa ubunge

    Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa. Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
  11. M

    JamiiForums Tanzania jerry spare parts and services yaja na zawadi ya ukaguzi wa gari bila malipo kwa wateja waliowahi kupata huduma kwetu!

    Kwa wateja wetu wote waliotufikia kwa huduma ya spare parts, matengenezo au ushauri wa kitaalamu – huu ni wakati wako wa kunufaika tena bila gharama yoyote! Tunatoa ukaguzi wa gari bure kama njia ya kuthamini uaminifu wako. Ni zawadi kutoka kwetu kwenda kwako, kuhakikisha gari lako linaendelea...
  12. JamiiForums Tanzania Jerry Spare Parts Wawazawadia Wateja Wao – Njoo Upate Engine Check na free car inspection Bila Malipo!

    Habari ndugu wanajamii, Katika kuhakikisha huduma bora na kuendeleza mahusiano na wateja wetu waaminifu, Jerry Spare Parts and Services tunayo furaha kuwajulisha kuhusu ofa maalum kwa wateja wote waliowahi kupata huduma kutoka kwetu! 📢 Ndiyo! Tunatoa Free Car Inspection na Engine Diagnosis bila...
  13. JamiiForums Tanzania Ofisi yako ya magari inaitoa hii? Jerry spare parts waja na ofa ya free car inspection kwa wateja waliowahi kuhudumiwa!

    Habari wakuu wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, napenda kushiriki nanyi taarifa njema kwa wale wote wenye magari na ambao wamewahi kupata huduma kutoka Jerry Spare Parts & Services, kampuni inayopatikana Makumbusho, Dar es Salaam. Kama sehemu ya shukrani kwa wateja wao waaminifu, kampuni...
  14. JamiiForums Tanzania Katika ufugaji usije kufuga sungura,kanga,bata na kondoo.Sababu wateja wake ni wachache

    Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Comercial Bank kuweni wastaarabu na wathamini wateja wenu

    1. Kama mnataka kutoa service wapeni wateja wenu taarifa. Pension/salary advance/nisogeze loan /jihudumie hakuna..is now ON/OFF. Kuweni na msimamo, consistency, kama haipo mwezi fulani waambie wateja wenu kuwa service hii imefutwa. Tunajua kuwa ni discretion yenu kuweka au kuondoa service hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Je unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) ?

    Kama unatafuta wateja mtandaoni (Facebook, Instagram) karibu nikusaidie kwa kuweka matangazo mtandaoni utawafikia watu wengi zaidi kupitia Facebook na Instagram kwa bajeti nafuu... Pia nitakuwa nasimamia akaunti zako za mitandao ya kijamii. Gharama kwa mwezi ni 150,000 Tsh. Napatikana: Dar es...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  19. JamiiForums Tanzania Maswali fikirishi kuhusu bank na wateja

    Ipi ni jibu sahihi, Bank zinatusaidia sisi (wateja) tunaoweka hela kwao, au sisi wateja ndio tunaowasaidia bank waendelee kuwa kwenye ajira na wao kuendelea kuwa na maisha mazuri? Pia kati ya mteja (anayeweka hela bank) na bank (anayetunza hela za mteja na kujinufaisha) ni yupi anayepata faida...
  20. JamiiForums Tanzania Makosa 13 Yanayowafanya Wateja Wasinunue Hata Wakikufuata

    Makosa yanayofanywa na wafanyabiashara wengi bila kujua, na namna bora ya kuyaepuka. Lengo letu ni kuhakikisha unapofikia hatua ya kumaliza mazungumzo na mteja, hauachi pesa mezani. 1. Kumlazimisha mteja kununua Hakuna mteja anayetaka kushinikizwa. Watu hununua kwa sababu wanataka, si kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…