Huu mnyukano unaoendelea ndani ya CHADEMA, Kwa maoni yangu, unachangiwa na mambo yafuatayo.
1. Inawezekana Kuna mambo ambayo Mbowe na watawala wamekubalina lakini yeye kama mwenyekiti ameshindwa kwashawishi wajumbe, au amewazunguka. Kwahiyo Kuna baadh ya viongozi au wajumbe,i watakuwa...
Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Kinachoendelea...
Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad.
Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine kukutwa kwenye Viroba, Lakini pia kukawa na matukio ya kihalifu Kibiti.
Serikali ikifanya uchunguzi...
Hapa duniani jamani tunapita tu....
Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..?
Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85%...
Daniel Arap Moi "alijiapiza" kuwa KANU ingetawala Kenya miaka mia moja! Iko wapi kwa sasa? Haikufikisha hata miaka hamsini. Iliondolewa madarakani na waliowahi kuwa wana KANU waandamizi.
Adolf Hitler alikuwa na nia ya kuwaangamiza Wayahudi wote. Japo aliwaua wengi lakini lengo lake halikutimia...
A man of the people
Enters his office
to sit on the throne
of Party and State,
His stick of power
Across the table.
He looks into the files
To see the demands
Of the millions of people
Who for years since Uhuru
Have just managed to survive
They ring out one message
Man of the people
You have...
Hizi comments hapa chini zimenitisha sana na zinaatoa picha halisi ya jinsi utawala wa CCM unavyochukiwa nchi hii. Sijui huo ushindi wa 99% kwenye chaguzi unatoka wapi!
Chuki ya wananchi kwa serikali na watawala ni jambo la hatari sana. Chuki hii ya watu wengi hutengeneza kitu katika ulimwengu...
Kwema Wakuu!
Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine.
Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania
Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na mtu lkn nasikitika mana wanaompa kiburi ndo watakaorud kama ilivokuwa kwa mwendazake na hatakuwa na...
Leo nimeona WATAWALA wana wahi kwenye eneo la MAJANGA kariakoo, ni kwamba wanaishi hapa hapa DAR es Salaam au waliletwa kutokea Dodoma?
Kama bado wapo Dar es Salaam, nani alienda Dodoma? na Kwanini wao bado wanaishi Dar es Salaam badala ya kuwa Dodoma?
PIA SOMA
- LIVE - Live Updates Kuporomoka...
Ndugu watawala wa jamhuri ya muungano wa Tanzania bado muna muda wa kujirekebisha.
Msipuuzie kelele za umma mtakuja kulia kilio Cha kusaga meno
Walinda nchi uchoka kulinda tawala zisizoeleweka.
Watu hawalali wakiwalinda watu wasio na maadili
Kwa jinsi mtawala unavyofanya mambo ya hatari...
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
Ndugu zangu watawala, hali ilivyo sasa katika Nchi yetu si nzuri sana kimahusiano.
Umoja,upendo na amani vinaweza kupotea kutokana na uzembe mdogo mdogo wa watu wachache.
Juzi katika harakati za kuzima maandamano ya CHADEMA askari polisi wametumia nguvu kubwa mno kana kwamba Nchi yetu imevamiwa...
Maandamano ni njia muhimu ya kuonyesha hisia na mawazo ya wananchi kuhusu masuala mbalimbali yanayoathiri maisha yao. Inapotokea hali ya kutokubaliana kati ya wananchi na watawala, maandamano yanaweza kuwa jukwaa la kuwasilisha malalamiko na kudai mabadiliko.
Hata hivyo, wapo wanaoshawishi...
Maaskofu wameuliza swali; Je, watekaji wamevizidi nguvu vyombo vya Dola?
Kwanza tuangalie watekaji wanamiliki nini?
1. Magari ya kifahari, LAND CRUISER, NISSAN n.k., na plate no. za TANZANIA ambazo wanaweza kuvuka hata mpakani mwa nchi na nchi bila shida.
2. Silaha nzito za kivita wanazoweza...
Bado nayakumbuka maneno aliyokuwa akiyatamka mara Kwa mara, Rais wa awamu ya 5, Mwendazake John Magufuli kuwa nchi hii ni tajiri sana, ambayo inaweza hata kuwa ni mfadhili wa nchi nyingine, badala ya kuwa Kila siku kuwa omba omba wa misaada.
Nitatoa mifano michache kuthibitisha kuwa nchi yetu...
Askofu ambaye kimsingi hanaga uoga wala kujipendekeza ametema nyongo.
Amesema anawashangaa watawala kuiogopa sana CHADEMA kwa kuwakamata wanachama na viongozi wa Chama hicho ambao walikuwa wanatekeleza hakim zao kikatiba.
UVCCM walifanya au walishiriki hiyo kongamano na hata ACT Wazalendo pia...
Swala
Surah An-Nisa (4:58):
"Hakika Mwenyezi Mungu anawaamrisha mtende haki, na kuweka usawa na kuwa na uwajibikaji katika mambo yote. Na kuwa na uaminifu kwa wale walio na dhamana, na kutenda kwa haki kati ya watu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda walio na haki."
Surah Al-Baqarah (2:81)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.