watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    PostGE2025 Rais Samia ameshinda, Watanzania wameshinda Taifa limevuka na Maadui zetu wameaibika vibaya sana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake ,Rais Samia amewaunganisha Watanzania dhidi ya maadui zetu, Rais Samia Amewapa ujasiri watanzania wa...
  2. R

    Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200. ------------------------------------------------ The...
  3. Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  4. Mambo yalianza kuhariba baada ya hawa Marais kufariki. Chuki na hasira vipo mioyoni mwa Watanzania

    Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania. Baada ya hawa viongozi kufariki.
  5. Kwa Mwigulu watanzania tuna Waziri Mkuu Kivuli

    Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...
  6. Watanzania hatuelewi tunachotaka,ni roho mbaya tu

    *Habari wana great thinker; Mimi kwa mtazamo wangu Watanzania kinachotusumbua ni wivu wa kijinga dhidi ya viongozi na familia zao.Mathalani;watu wanamchukia samia na kumtaka atoke kwa sababu zifuatazo;Ufisadi,maisha ya kifahari ya watoto wao,utekaji,katiba mpya,uchaguzi huru na wa haki,kwamba...
  7. Chama cha Mapinduzi, mnaogopa MAPINDUZI? Mnatuonaje watanzania?

    Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki. Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii? Mna povu sana kwa sasa, what went wrong with this “revolutionary” party?
  8. PostGE2025 Marekani: Watanzania waandamana kwenye ubalozi wa Tanzania

    Watanzania na wanajumuiya wa Afrika Mashariki wamekuwa na maandamano makubwa mbele ya ubalozi wa Tanzania na wameweza kupeleka ujumbe kwa dunia kuwa SAMIA ni rais haramu na tunahitaji ndugu zetu waliotekwa warudishwe na waliouwawa miili yao irudishwe. DUNIA imeona na watanzania tumeona jinsi...
  9. Watanzania bara hawana udini

    Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. . Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty. Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week tukutane, na kujibiwa leo naenda kusoma biblia; tukutane usiku au kesho. Bara mkristo anajua rafiki yake...
  10. PostGE2025 Ndoto: Nimeota watanganyika wameandamana kimasihara

    Jana usiku sikulala mapema kwa kuwa nilikuwa naperuzu humu hadi saa nane usiku. Asubuhi nilienda kanisana kama kawaida yangu. Sasa kwa sababu sikupata usingizi mzuri usiku nikaanza kusinzia kanisani na hatimaye nililala fofofo kiasi cha kutosikia kilichosemwa na padre. Ghafla nikaanza kuota...
  11. Zifuatazo ndio documents zilizotoka kimataifa kukubali maandamano ya D9 tarehe 9/12, tumieni hiyo fursa watanzania

    Mataifa mbalimbali duniani kama Marekani, Umoja wa Ulaya, Ghana, Africa Kusini, Australia, Kenya n.k wameonesha kusikitishwa na vitendo haramu kama ubakaji, utekaji, mauaji, ufiraji, kesi haramu za kisiasa, uvunjwaji mkubwa wa haki za kidemokrasia n.k vilivyofanywa na utawala uliopo nchini...
  12. PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  13. Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  14. Meta watoa ufafanuzi wa maamuzi ya kufuta na kuzuia akaunti za watanzania

    Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the country if Meta refused to block accounts of 3 activists.
  15. Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
  16. R

    Watanzania wamesusia hadi matamasha ya wasanii wa Gospel

    Heeee kumbe sio wasanii wabongofleva tu bali hata wasanii wa injili nao wamesusiwa? Wasanii kazi wanayo safari hii
  17. PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  18. Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu

    Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu. Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
  19. PostGE2025 Niffer: 'Mimi niko vizuri' Mungu awabariki sana wote walionipigania

    Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
  20. Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…