watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama 'Mtanzania Mganda' naomba Dua zenu leo Watanzania ili Uganda Cranes nayo ifuzu, kwani leo ina Mtihani mkubwa sana Mandela Stadium

    Yaani Timu zote Tatu zina nafasi ya kupita ila iIiyo tu Mtegoni hasa Kimahesabu ni Uganda (Uganda Cranes) mtuombee.
  2. JamiiForums Tanzania Nasikia Sigara inayopendwa na pia isiyopendwa na Watanzania wengi ya 'SM' inaweza Kutoweka kabisa Tanzania na sasa wala haionekani tena

    Geniuses wangu wakubwa hapa JamiiForums mrangi, King Kong III, adriz, Benny Haraba etc kulikoni Fegi hii imeadimika?
  3. JamiiForums Tanzania Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi

    Hii nchi haihitaji kutetewa kwa namna yeyote sisi bado tuna akili za kitwana !! Kamwe usiache kazi zako na kujiita mwanaharakati katikati ya jamii hii ya watanzania Ambao furaha yao ni kula na kunywa basi !! Watanzania walishaelekea kibra tangu enzi za mkoloni !! Niseme sisi ni washamba ni sawa...
  4. JamiiForums Tanzania Muonyesheni Mh.Tundu Lissu mtiririko wa hizi video za Watanzania anaowapambania

    Kama nilivyokwisha kumsihi Mh.Tundu LISSU humu jukwaani, na kumtaka aiponye nafsi yake , kwani kundi la waTanzania masikini analotaka kulisaidia halina habari na Wala halijielewi. Hizi ni baadhi ya video ambazo zina akisi uhalisia wa maisha ya Kila siku ya Watanzania masikini. Ninaposema...
  5. JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  6. JamiiForums Tanzania Msigwa kama unashangaa waTanzania kutojaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzako mwamposa aujaze uwanja.

    WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini? Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu hapiganii Watanzania anapigania maslahi yake

    Lissu[TAL] huyu sioni kama anapigania Watanzania bali namtazama kama mtu anaye pigania maslahi yake. Maslahi yake ndio yanagonganisha interest zake na za watawala jambo linalo muweka matatizoni muda wote mpaka sasa. Huwezi kuniambia kuwa Lissu anapigana Watanzania watu wasio na habari hata...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana huzuni kuu, Wasilazimishwe kufurahi

    Watanzania, na hasa Wataganyika, wanapitia kipindi kigumu sana, kipindi cha huzuni na mateso, kuliko wakati wowote wa uhai wa Taifa lao. 1. Mtanzania mwenzao anayeaminika sana kwa ukweli, utetezi wa haki, na uzalendo usio na shaka kwa Taifa lake, amewekwa gerezani kwa uonevu mkubwa, na kisha...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  10. JamiiForums Tanzania Tujadili suala la makaa ya mawe, iweje wananchi wa eneo husika wawe masikini ila magari yanasomba tu

    Ikiwa eneo panapopatikana makaa ya mawe wananchi wanaendelea kuwa masikini wakutupwa . Je ni sahihi hili swala kuwa hivi.?
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Mashimo: Watanzania Tuitunze amani ya nchi yetu kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu

    Mchungaji Mashimo amefanya mkutano na viongozi wa Dini mbalimbali Agosti 13, 2025 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufikisha ujumbe wa amani kwa Watanzania hasa kuelekea kwenye kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba mwaka huu Chanzo: Kishamba Media
  12. M

    JamiiForums Tanzania Harambee ya CCM kilele cha kiburi na dharau kuu kwa Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania. Mmeona, mmeona wenyewe. Chama kile alichokiasisi Nyerere, kinaandaa karamu ya wenye fedha, kuiweka mbele, kila mmoja anapigana vikumbo kukaa mwza kuu ili Kumtafuna mama Tanzania. Mmeona wenyewe ndugu zangu, CCM na serikali yake hawana hofu, hawana aibu. Wanaalika mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Fikiria: wametumia Kodi Yako kununua chama,wamekupa Baiskeli wao wana V8. Leo wanakuchangisha. Mungu waokoe watanzania

    Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
  14. JamiiForums Tanzania Kuwatetea Watanzania inahitaji kidogo uwe na tatizo la Kisaikolojia

    Hamjambo! Moja ya mambo niliyojifunza kwa muda mfupi kuhusu utetezi wa Haki ni pamoja na uhusiano wa Haki na Saikolojia. Na hapo ndipo nikakuta mifano halisi katika jamii yetu. Nitakupa mifano kadhaa; 1. Huwezi tetea haki za Waumini wa Manabii wa upako ambao unahisi au unajua wanatapeliwa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: CCM aidha inakosa watu wenye akili wakaishauri au inaona Watanzania hawana akili

    Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
  16. JamiiForums Tanzania Je, 2025 CCM itafanikiwa tena kama ilivyozoea kulaghai watanzania wote 2+2=5?

    JE, 2025 OCTOBER 2+2=5? Kuna wakati huja katika kila ustaarabu unaokaribia kufa ambapo watu wanalazimishwa kupiga magoti mbele ya uongo. Wanaambiwa waukariri, wauidhinishe, wauamini, si kwa sababu ni kweli, bali kwa sababu mamlaka yanataka hivyo. Hapo ndipo Tanzania tulipo sasa. Tunaishi...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania wanapenda sana kujadili mambo kwa mlengo wa dini

    Kuna mtu alituma andiko kua mafanikio ya taifa stars ni kua waislamu wamepewa nafasi. Hilo ni andiko la ajabu sana na huyu mtu ningekua na mlaka ningempa onyo kali sana kwa kuleta fitna. Kwenye sakata la wake wa Ndugai wapo wanaosema ndoa ya kwanza ya kanisa ndio inayotambulika kwakua hawa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

    Jamani umasikini umefika huku hata baiskeli ni za kizamani
  19. H

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa waTanzania ni kujidanganya kuwa kodi zinazokusanywa ni zao wananchi

    Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie? Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp? WaTz mjitafakari!!
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Ukitazama ujinga tulionao Watanzania wengi katika karne hii utagundua kuwa Mwalimu Nyerere alipambana sana. Hakika Baba wataifa alipata tabu sana kusugua kutu na Msasa kwenye vichwa vya Watanzania. Imagine ujinga wakipindi chake ulikuwaje kama hivi sasa ni 2025 Watanzania karibia wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…