watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania kwanini ni rahisi sana kuwatapeli watanzania?

    nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku, Jatu, forever living, n.k yani ni mwendo wa kupigwa tu, je ni uvivu au elimu? hapana maprofesa nao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaadhimisha miaka 3 tangu shambulio la Hamas nchini Israel, lililosababisha vifo 1,200, wakiwemo watanzania Joshua Mollel na Clemence Mtenga

    Tanzania inaadhimisha miaka mitatu tangu shambulio la Oktoba 7, 2023 lililosababisha vifo vya watu 1,200 na kutekwa kwa wengine 251 wakiwemo Joshua Mollel na Clemence Mtenga.
  3. JamiiForums Tanzania Watakapo tuacha tukichinjana kisa dini, wao watakuwa juu na helicopter wakisepa. KUWENI MAKINI WATANZANIA.

  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania wote tungekuwa na akili timamu, tungeweka kando tofauti zetu za kisiasa na kuwapigania kwa nguvu zote Lissu, Dr. Nchimbi na Pole Pole

    Hakuna Mtanzania asiyeona kwamba sasa nchi yetu Tanzania imeingizwa kwa ndani sana na utawala wa kikatili na kifisadi uliojikita kwenye kujifanya mabwana kati ya raia ambao wanapaswa kuwa watwana. Polisi wametusaliti na kuwa wauaji na watekaji wetu, wakijiunga na TISS katika udhalimu huu...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ofisi imenikatalia kwenda Mbeya kwa ndege kwa sababu ya ukubwa wa nauli - ATC sio lile shirika la Watanzania masikini alilolikusudia Magufuli!

  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dr. Mwigulu wasaidie wahadhiri na wafanyakazi wa Chuo Kikuu Makumira walipwe mishahara yao, hao nao ni binadamu na ni watanzania, miezi 3?

    Nimesoma malalamiko humu JF ya kuwa wahadhiri na wafanyakazi wa chuo kikuu Tumaini Makumira hawajalipwa mishahara yao tangia mwezi wa 7, hii ni hatari, huu si utu, si ubinadamu, ni uuaji, ni ukatili kwa binadamu. Dr. Mwigulu km unawajali hao watanzania na binadamu wenzako upatapo post hii mpigie...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo Watanzania hawajajua kosa la Nchimbi ni lipi?

    Kama unajua tupeni maelezo
  9. JamiiForums Tanzania Simba tumefungwa 1 bila na Polokwane huko. Tusiwadanganye tumedrw Watanzania

    Maumivu yaanaendelea Baada ya stars kula 5 bila Morocco.. wanaume wwma msimbazi Tumepigwa kamoja huko bila kanaumaa lakini ndiohivyo
  10. JamiiForums Tanzania Kwa asilimia kubwa Watanzania wana roho za kichawi

    Kila nikiwaza, nabaki kusikitika tu. Uongozi wa Magufuli, ambao aliuita serikali yake “serikali ya viwanda”, tangu alipofariki hakuna hata media moja kati ya zile zilizokuwa zikimpigia promo na kuitakasa serikali yake inayoweza kukuonyesha hata viwanda vitano tu vya enzi ya Magufuli. Wananchi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Uganda) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵

    Dongo la Mtu Necessary (Content Creator wa Kenya) kwa Watanzania: Vipaumbele vyetu viko wapi au tumerogwa? 🧵 Kuna video inayosambaa kwa kasi mtandaoni ya content creator maarufu wa Kenya, Mtu Necessary, akituvua nguo sisi Watanzania kwa dhihaka na dongo la kimkakati. Jamaa anasema ukiangalia...
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WATANZANIA 2 WALIOKAMATWA MOMBASA KWA KUDUWAZA ABIRIA NA KUWAIBIA KUZUILIWA SIKU 21 - Mali ya Zaidi ya Sh2M Yadaiwa Kuibwa

    Mahakama ya Mombasa imewaruhusu Polisi kuwazuilia kwa siku 21 raia wawili wa Tanzania wanaoshukiwa kuhusika na madai ya kuwaduwaza abiria wa mabasi na kuwaibia mali zao. Uamuzi huo unawapa wachunguzi muda zaidi wa kukamilisha uchunguzi kuhusu tukio ambalo linahusisha mali yenye thamani ya zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi Mpya za Ajira 4,500 Zaja kwa Watanzania

    Tunatarajia kupata nafasi nyingine 4,500 kwa ajili ya Watanzania ambazo ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha taratibu. Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano ndiyo inaratibu zoezi zima kwa kushirikiana na wizara za kisekta ikiwemo ya Mambo ya Ndani pamoja na ile ya Mambo ya Nje na...
  15. JamiiForums Tanzania Hatutaruhusu wala hatutakubali mtu au chama cha siasa Tanzania, kuvuruga umoja, amani na usalama wa wa nchi yetu

    Kwa niaba ya waTanzania wote wazalendo na mamilioni ya raia wema wa nchi hii, I warn all individual politicians, groups of political bandits, puppets within political parties, clueless and rudderless political party leaders, who have completely no development ideas or agenda about citizens, and...
  16. JamiiForums Tanzania Dudu Baya: Kwanza niwashukuru Watanzania, hii milioni tatu nitampelekea Baba yake na Banana Zoro, Prof Jay na mama yangu

    Msanii wa muziki wa Rap nchini, Dudu Baya, ametoa shukrani za dhati kwa Watanzania na wasanii wenzake Madee, Babu Tale, na Fid Q baada ya kumsaidia kumlipia faini ya mahakamani. Akizungumza kuhusu msaada huo, Dudu Baya ameeleza kuwa fedha kiasi cha Shilingi milioni tatu ambacho alikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  18. JamiiForums Tanzania Neville Meena: Watanzania wamepunguza imani na vyombo vya habari

    Akizungumza katika mjadala wa Kalamu zao zinaandika nini kupitia Star TV leo Septemba 27, 2026, Mhariri wa taasisi ya Media Brain, Neville Meena amesema Watanzania wapoteza imani kwa Vyombo vya Habari Anayetupima kwamba tunafanya kazi yetu vizuri ni yule tunayemwandikia. Ninachoweza kukiri ni...
  19. JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania! Tutapanda mti gani leo, ambao watoto wetu watakula matunda yake kesho?

    Maono ya Waraka wa masaa 120 ya mwezi September 2026 kutoka kitabu cha wenye mamlaka (Waamuzi). Tazama, siku zitakuja ambapo watu wa nchi watakusanyika katika majira ya mashaka, na nyoyo zao zitajawa na maswali kwa sababu hawatajua yaliyo mbele yao. Nao watasema, “Ni nani atakayetutangulia? Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…