watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongereni Watanzania, tumejikomboa tayari🎉🎉

    Haikuwa kazi ndogo.. Waliokufa kwenye maandamano, majina yaa yaandikwe kwa Wino wa dhahabu. CCM wametepeta. Viongozi wametepeta. Mafisadi wanatetemeke. Sasa Tanzania ni iyenaiyena... 🎉🎉🎉
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kura za Maruhani zikitengenezwa. Jaji Mwambegele, hiki ndo mnawatangazia watanzania?

    Nilikuwa namheshimu sana Jaji huyu, lakini ndo anabariki hiki?
  3. Sam pizzo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuamke, tuachane na Katiba ya Ujamaa (Socialism)

    Katiba ya CCM ni ya kizamani (ujamaa) na ndio inatuchelewesha kuendelea kwa spidi kama nchi.Ukitembea nchi za wengine imekua ni aibu kwa mtanzania,achilia mbali kutawaliwa na mwanamke maana hata kwenye Imani zetu dini zinasema mwanamke ni msaidizi wa mwanaume.Rasilimali zinaliwa na...
  4. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Big up watanzania! Usiku huu tuelekee hapa

    Twende Gogoni usiku huu Twende alipo Lissu Nyumba ya Mafwele Nyumbani kwa Muliro Tumechoka! Tunataka mateka wote wakiwa live Britanicca
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu

    watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi

    Samia must go hasitulazimishe, watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi ili kubatilisha huu uchaguzi wa wizi
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Dar es Salaam: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Dar es Salaam una jumla ya majimbo ya uchaguzi (12) ambayo ni Jimbo la Kinondoni Jimbo la...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikombe cha mateso cha watanzania hakija-jaa ni moja ya sababu ya kufeli kwa maandamano

    Maandamano yamefeli mpaka navyoandika mda huu- kila mtu amejifungia ndani mfano lile tukio la wanakimara kushuka magomeni na kuleta vurugu na kuchoma magari pale kikombe cha mateso kwa wana-kimara kilijaa kukawa hakuna cha kupoteza hawakupanga ila ilitokea Lakini tunatakiwa kufahamu...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Captain Tesha awaacha watanzania kwenye mataa

    Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya. Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali? Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi? Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake? Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi

    Vita na mapambano ya mabadiiko MO29 Sio tu ya raia ni ya watanzania wote ikiwemo jeshi
  12. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania, tuwe wavumilivu huyu mama akimaliza muda wake ataondoka, tumwache afanye kazi

    kwa kikwete tumeibiwa sana kama nchi awamu ile ila sasa yupo wapi, hivo ndugu zangu nawaombeni sana tuwe wavumilivu muda wake utaisha tu, kabla huja hamasisha uvunjifu wa amani fikiria watoto, wazee, walemavu nk haya ni maisha tu tutakufa tutayaacha yanini kuumizana? natumaini hata watekwaji...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu wa Kanisa la Anglikana, Jacob Kahemele amewasihi Watanzania kupiga kura Oktoba 29, 2025, baada ya hapo watazungumza wanayoona hayako sawa

    Kutoka X: Askofu unakuwaje na mke mtumishi wa umma ? Halafu unaibuka kutetea serikali iliyompa cheo mkeo? Haoni haja ya kukemea utekaji, mauaji and the like, ameona la muhimu ni kupiga kura. Takataka mavi Huyu ana mke na watoto, lazima atetee tumbo la uzao wake. Mtombi tu kama watombi wengine
  14. simplemind

    JamiiForums Tanzania Timely Reminder Ndugu Watanzania

    The Quote
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sheli zimezuiwa kuuza Mafuta kwa Watanzania

    Kama unatumia generator ukienda sheli kununua Mafuta hawauzi. Poleni wafanya biashara mnaotegemea generator umeme ukikatika. Kisa maandamano sheli haziuzi Mafuta Kumbuka wamiliki wa sheli ndio hao hao wanamtandao. Hawajui kwamba sheli zinaweza geuzwa majivu tarehe 29? Tuendelee kuwepo...
  16. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hivi mna uhakika watanzania Oktoba 29 wataandamana?

    Nchi imechafuka inanuka damu kiasi kwamba ni ngumu kuvumilia haya. Yanayoendelea Lakini binafsi Nina mashaka na watanzania namna ambavyo tumekuwa Kama kondoo Hivi mna uhakika hayo maandamano yapo?
  17. H

    JamiiForums Tanzania Anayepigania waTanzania ni sawa na anayejichoma moto ili kuwaangazia njia vipofu

    N vigeugeu wa kutupa na wanafiki waliopitiliza hasa linapokuja swala la kupigania maslahi ya wote watakuacha uangamie kwa wao kupata na kulidhika na kidogo watakachopewa. Kuwa makini sana nao ikiwezekana ni kuwaacha waangamie ili wajifunze..
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnatutishia watanzania na magari ya kipolisi na kivita, mnataka kumuua nani ama mtaweza kutuua wote ?

    Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+? Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura.. Huu ni uchaguzi ama vita Free Polepole Free Heche Free Mdude
  19. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watanzania msifanywe wajinga shtukeni

    Maandamano yanayotaka kufanyika sio ya Mange Kimambi, CHADEMA, Kigogo, Sativa wala Recho Dangwa bali maandamano haya ni kwa ajili ya kuweka sawa baadhi ya mambo kwenye nchi yetu ambayo kuna baadhi ya watu wachache wanaona wenyewe ndo Wana haki pekee ya kufanya Jambo lolote ambalo wanajisikia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bandika kwenye hiki kichwa vitu ambavyo watanzania hufikiria

Back
Top Bottom