There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
Kama ukitaka kujua watanzania wanafiki kaishi nao nchi za nje ndio utajua watanzania wapoje. Nasema ili sio kwa kutunga ni ukweli mtupu.
Mtanzania hataki changamoto yoyote ya mabadiliko wa kuthubutu kama ugali na dagaa hupo nyumbani kwake.
Leo mtaani ukianzisha biashara ya mavi ya kuku...
GT.
Kwa masikitiko makubwa niwape pole wale wote waliofikwa na msiba pamoja na kujeruhuhiwa katika vurugu za uchaguzi.
Vujana walihamasika vizuri tujifunze tatizo moja la kiufundi maandamano bila vurugu yanawezekana ndiyo yatakayotupa matokeo chanya pia itawapa wakati mugumu.hawa wanaotumia...
Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/
Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
ccm
hii
icc
katika
kimataifa
kutuma
mahakama
mahakama ya icc
mauwaji
naomba
serikali
serikali ya ccm
tuendelee
tumia
ushahidi
wahuni
watanganyika
watanzania
wazalendo
wote
Chochote kinachofanywa na Mtanzania yoyote ilimradi kisukumwe na Watekaji/Wauaji wa Watanzania , kitajulikana .
Imegundulika, Baada ya Kuona hawatoweza kuwahakikishia Usalama wao na Mali zao dhidi ya Adhabu kuunga MUNGU
Watekaji/ Wauaji wamewapanga WASANII wajifanye wanapost wanayoendelea...
Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi.
Mahospitalini kumejaa maiti
kitaa kumejaa maiti
Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa .
Wengine wanaogopa kujitokeza...
Wanabodi
Kwa muda mrefu taifa letu limekuwa linakabiliwa na hili jinamizi la watu wasiojulikana, ambao wanateka Watanzania, wanatesa Watanzania, na wanaua Watanzania bila huruma.
Kila tukio wanalofanya, wakifanya mchana mbele ya watu, wanakuja na silaha nzito na magari kama ya polisi, na...
Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%.
Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao uligubikwa na tension kubwa, ukawa na hii unprecedented voter turnout? The only reasonable explanation ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mara nyingine Tena Tanzania na watanzania wamekataa na kugoma kabisa kuiangamiza Tanzania ,wamekataa kuchoma moto Taifa,wamekataa kuvuruga amani ya Taifa letu,wamekataa kuigeuza Tanzania kuwa Gaza, Wamekataa kuifanya Tanzania kuwa uwanja wa fujo,wamekataa kuifanya...
Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi
Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa .
Iwe kwenye huduma au siasa au chochote.
Kuanzia Leo uchawa utakoma
Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua.
Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena.
Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
Miilli ya Watu imezagaa mitaani, Polisi wanajifanya hawaoni walla hawajui... Hawa wameuawa Mbezi karibu na nyumba ya Mkurugenzi wa Usalama wa taifa Bw. Suleiman Abubakar Mombo. Binadamu mnakuwa na hasira hadi na maiti? Mombo anapita hapo kama haoni maiti kisa tu wanapinga ifisadi wake
01 November 2025
SIKU YA 4 : MAANDAMANO
UJUMBE MUHIMU SANA KWA WATANZANIA WOTE
https://m.youtube.com/watch?v=P5euUGyx3LQ
WaTanzania mwenzenu nina ujumbe muhimu.
Kwanza nawapongeza GenZ na leo ni siku ya nne na mnafanya kazi takatifu. Mmeonesha kiu ya mabadiliko. Historia itawakumbuka kwa...
Waliotekwa, waliouawa hatuoni wala hatuumi. Ila tumeona miondombinu ikiharibiwa na imetuuma.
Hii haikubali.
-Yaani hotuba zote za wenye mamlaka ya juu katika nchi hazigusii uharibifu wa uhai wa watu. Ila uharibifu wa mali na miundombinu.
-Hotuba hazionyeshi kukubali kuwa wapo waliotekwa, au...
Haikuwa kazi ndogo..
Waliokufa kwenye maandamano, majina yaa yaandikwe kwa Wino wa dhahabu.
CCM wametepeta. Viongozi wametepeta. Mafisadi wanatetemeke.
Sasa Tanzania ni iyenaiyena... 🎉🎉🎉
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.