Watanzania bado tunaogopa.
Zaidi ya miaka 60 tumewaamini, tumewavumilia, na tumewapa mamlaka ya kutuongoza. Lakini mpaka leo hali za maisha ni ngumu, ufisadi umetamalaki, rushwa imekuwa mfumo wa maisha, vijana hawana ajira, huduma za jamii ni dhaifu huku wakizidi kujiongezea mishahara na posho...