CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 657
- 1,605
Hakika mambo ni mengi lakini Mungu ni mkubwa na ni mwema wakati wote
Just imagine alivyowavuluga wanadamu katika lengo la kujenga mnara mrefu pale mjini babeli
Basi ndio unaambiwa ndio pigo wanapigwa wale jamaa wqnaojua hii nchi ni yao
Mwanzo hawakuamini uwepo wa karma lakini leo wanajionea kwa mcho yao vile vitu walivyovipata kwa dhuluma kuiba mali ya wadanganyika vimeaanza kuwalamba
Tokea yule dada wa taifa atangaze hadharani yale magari kama ya wasanii wa Marekani, nasikia sasa hivi wanaogopa hata kuyaona, kila wanapopita nayo, wanadanganyika wanasema ni matunda ya Kodi zao wakati shuleni hakuna madawati
Ngoja tuachane na hayo kwani ligi kuu inaanza lini?