watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Inawezekana kabisa binadamu mwenye IQ ndogo kuliko wote duniani ni Mtanzania

    GT Ni aibu kuitwa Mtanzania. The reference kwamba binadamu walikuwa Nyani nadhani ilichukuiiwa Tanzania.
  2. SI KWELI Askofu Gwajima amesema leo Septemba 27, 2025 atatoa ushauri watanzania kushiriki uchaguzi Oktoba 29

  3. Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  4. L

    GE2025 Rais Samia amefanyika Baraka kwa Watanzania na kugusa maisha ya watu na ndio maana watu wanafurika na kumiminika Kwenye mikutano yake

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu Wa Nchi Au waweza kusema Rais ana nafasi kubwa sana katika ukuaji wa uchumi wa Nchi na ustawi wa watu wake. Rais anayo nafasi ya kuwafanya watu kuwa na amani ,furaha na tabasamu ama kuwafanya watu kuishi kwa hofu ,vinyongo ,hasira na hata chuki kwa serikali yao na...
  5. M

    GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

    Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
  6. S

    GE2025 Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95

    Haya ni maoni yangu: Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano. Kwa Tanzania yetu hii...
  7. M

    GE2025 Chahali: Kuna Maofisa Usalama wa Tanzania wamekamatwa Marekani wakipanga kuwadhuru Wanaharakati Watanzania waishio huko

    Akiongea kupitia mtandao wa Youtube, Shushushu wa zamani wa Idara ya usalama wa Taifa, ndugu Evarist Chahali amesema kuwa maofisa wa kitengo wamedakwa huko Marekani wakiwa ktk plan za kuwadhuru Wanaharakati wa Kitanzania waishio huko. Chahali akasema kuwa walengwa ni watanzania waliokuwa...
  8. H

    Kosa kubwa la waTanzania ni kuwaamini viongozi mamluki wa CCM

    Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa maslahi ya CCM . Ya wapasa wapinzani wasimame wao wenyewe wasitegemee kina Warioba, Butiku...
  9. Hivi kumbe kuna watanzania hawajawahi kabisa kufika nchi za nje?

    Inashangaza kabisa eti mtu ni.mwalimu mkuu kabisa lkn hajawahi kufika hata hapo kenya au Malawi hata zambia. Nimeshangaa mno,ndo maana kumbe watanzania wengi ni waoga.
  10. M

    GE2025 Watanzania Oktoba 29 tutokeni kwa wingi lakini sio kutiki

    Ule muda wa ukombozi nadhzani ushafika hakuna nafasi tutaipata ya kuikomboa Tanzania kama hii huu ndo ule muda wa kuwakabia kwa juu nb. Kama huwezi kufanya pressing usije road bora ulale
  11. Watanzania tunachukuliwa Kama maboya fulani hivi. Mtu anatamka kwamba ntakupoteza ndani ya siku 90 watapiga kelele na wasahau

    Kwakweli hakuna jambo limeniuma sana Kama nilivyoangalia clip ya Maxence Melo anaongea kwa uchungu sana mtu kumpigia simu na kusema nitakupoteza usipofuta ujumbe fulan na watanzania walivyo makondoo watapiga Kelele mwezi mmoja miwili alafu wakusahau maana wana sahau haraka sana! Nikawaza watoto...
  12. GE2025 Golugwa: Wanachadema na Watanzania wote tusikubali kupigwa kama kuku

    Polisi msituchokoze hatuji kufanya fujo mahakamani Wanachadema na Watanzania wote tusikubali kupigwa kama kuku
  13. Waraka kwa Heche na Wapigania Demokrasia wote

    1 Heche na wenzake wapigania demokrasia, watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Watanzania wote walioko katika mapambano ya demokrasia na katiba mpya, pamoja na viongozi wao na wanaharakati wote: 2 Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi. 3 Namshukuru Mungu...
  14. GE2025 CHADEMA: Polisi iheshimu eneo la Mahakama na Watanzania wanaofika kufuatilia kesi

    TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kumshemlulia na kumdhalilisha Wakili Deogratius Mahinyila mmoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Tundu Lissu, baadhi ya viongozi na wanachama wengine. Leo Jumatatu, Agosti 15...
  15. GE2025 Ndg Wakili, Mwanasheria, Hakimu na Jaji, Hebu Mtueleze Wananchi ni Sahihi?

    Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?. Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?. Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote. Nawasilisha kutoka...
  16. GE2025 Luhaga Mpina: Tunayo magari ya kutuwezesha kufanya kampeni nchi nzima, kwanini tuchukue gari la watanzania?

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
  17. M

    KERO Waziri mwenye dhamana aingilie kati. CRDB imeshindwa kuhudumia Watanzania

    Unatoa pesa kupitia simu banking unaenda kwenye ATM unapata ujumbe kuwa umetoa pesa. Lakini noti hazitoki. Alafu zinakaa siku zaidi ya nne hazirudi kwenye akaunti yako. Utakula nini? Kama ndio pesa uliyobakiza kwa ajili ya matumizi ? Hii bank haifai na imeshindwa kuhudumia watu.
  18. R

    GE2025 Samia: Watu wengine huko wanalalamika kwanini Watanzania Mnajaza Viwanja vya CCM

    Mgombea Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzannia Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea kunadi sera kwa wananchi wa Iramba Mkoani Tabora, amewashukuru kwa muitikio wao Mkubwa katika Kampeni hizo " Wananchi wa Mkoa wa Singida, kila Wilaya nilipoingia wananchi ni...
  19. K

    Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania

    Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania. Kuteka watu , kutisha, kufungia vyombo na kutumia mahakama na Bunge vyote vimeshindikana. Kutumia pesa nako sasa kunashindikana. Kutumia Polisi na vyombo vya usalama sasa inashindikana. Ikulu imezungukwa na watu waongo...
  20. Watanzania mnalala mna raha gani? Je, nchi hii ni yetu kweli?

    Kwanza nitafafanua maana ya Taifa kuuzwa Ni Taifa ilo kupuuza matakwa ya wananchi wake na kufanya kazi wa faida ya kikundi kidogo Cha watu au nchi nyingine kwa maslahi yao binafsi na sio (Umma) watu wake. Kama haijauzwa kwanini watawala hawasikilizi malalamiko ya wengi(Umma) Kwanini kila kitu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…