There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.
https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c
Anasema:
1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi..
2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
Leo nikiwa na pitia hoja za maandamano na mikwara ya polisi juu ya maandamano haya,nikatamani kujua uwinginwa hawa polisi,hakika nilishngaa,kwani Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, askari polisi mmoja nchini Tanzania anahudumia wastani wa wananchi takriban 1,300. Hii ni tofauti na viwango...
TCRA wanamuandama sana Mange kimambi.
Uchafu wa serikali anaopost badala ya serikali kuufanyia kazi ,TCRA wabapambana account ya Mange kufutwa.
Mange ameamua kumobilize followers wake kushambulia page za white house na za Rais Trump uko Instagram.
Aisee serikali na Samia wanakaangwa kwenye...
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025;
Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi?
Siamini kama Wananchi...
Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
Ameshiba mihogo. Leo anasema Magufuli ni kaka yake. Wewe makonda ni wakumuita magufuli kaka Yako kweli? Unakumbuka alivyokusitahi kama mwanae. Unakumbuka alivyokuunganisha wewe na Ruge kule chongoleani Tanga kwa kuwaita wewe na Ruge ni wanaye. Leo unamuita kaka Yako eti.
Tafadhali usimtumie...
Kapotea Mdude watanzania wapo Kimya.
Kapotea Ben Saanane wapo kimya.
Kapotea Azory Gwanda wapo kimya.
Orodha ni ndefu sana....
Je, Wakenya wangekubali ndugu zao kupotezwa namna hii na hao wasiojulika a?
GT
Watanzania tu watu wa ajabu sana utasikia ohh wazungu wamesema hivi mara vile unadhani wazungu wanaumizwa na haya yanayoendelea kwenu?.
Hawa jamaa ni opportunities wataandika tu matamko kutimiza wajibu ila ukweli ni kwamba kama ninyi watanganyika hamtakuwa tayari kuamua hatma ya nchi yenu...
Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma!
Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu.
Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul.
Kutokana na misimamo mikali ya...
Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization.
Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
Nchi hii imewahi kuwa na makundi makuu mawili ya watu waliopendwa sana na Watanzania, Nyerere, JK na Magufuli. kundi la pili ni la Mrema na Lowasa.
Nyerere alipendwa sana sababu ya kupigania uhuru, kutumia vipawa vyake vya akili na uongozi kwa ajili yao. Huyu alifanya makosa kadhaa ya...
Manabii akina Mwamposa, Lusekelo, Kakobe nk mko wapi watu wenu wanaowatajirisha wakiangamia?
Masheikh kama Sule, Kishiki nk mko wapi watu wenu wanaowapa pesa wanaangamia?
Ni wazi Mungu wenu wa uongo wa vitabuni hayupo kabisa.
Tunaomba viongozi wa kimila kusanyikeni kwa maombi kwa Mungu wa...
1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu).
2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa.
#OktobaTunatiki.
NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya:
"Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
Hapo vip!
Hapa nina imani kuna kwa ukweli fulani hivi!!
Hivi ni umuhimu wa kufukuzana na moto nchi nzima.
Kuna wazee walinieleza yakwamba hili ni tambiko la hatari mno.
Ndio maana mtu mjinga au mpumbavu mpumbavu anaweza kufanya jambo lolote akaangaliwa kwa uwogo na hofu kubwa.